mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukraine wapost video, ngoma ya Kharkiv wameifikisha mpakani na Urusi

    Jamaa wamefukuzia hadi mpakani, wamewehuka, nchi wanaikomboa, wanajitoa mhanga wa kufa afe wa kubaki aendeleze kizazi. Supapawa aliingia cha kike kwenye huu ugomvi maana wanajeshi wake wanapoteana hadi raha. ================= Avideo of a Ukrainian soldier bragging about how close Ukrainian...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza zile nyumba ambazo ukuta umepita mbele ya geti, moja ivunjwe ndani ya siku 7

    Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, Juma Makungu Juma, ametoa muda wa siku saba, ili kuvunjwa kwa nyumba iliopo Fuoni Migombani, kwa madai msimamizi wa nyumba hiyo, Hafidh Ahmed Mohammed, amejenga kinyume na utaratibu wa kisheria za mipango miji na vijiji. Ametoa agizo hilo baada ya...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa sasa nimeamini Wajaluo ni under dogs, Hawawezi chochote mbele ya Wakikuyu na Wakalenjin

    Sikuzijua hizi siasa za Kenya ila Leo ndio nimezijua Nadhani hata ile ya Kenyatta kumsapoti Raila ilikuwa ni strategy tu kusiwe na malalamiko mengi baada ya Ruto kuwa raisi.... Mpango ulishasukwa na matokeo yalishajulikana.. Kikuyu na Kalenjin ndio wataifaidi keki ya Kenya milele. Raila...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Sheria za msingi za adabu

    Sheria za msingi za adabu: 1. Ongea na watu kwa adabu, haswa ikiwa unaomba usaidizi. 2. Jitahidi sana usikatize watu wanapozungumza. 3. Kumbuka kusema asante ikiwa mtu amekuwa msaada kwako. 4. Ikiwa unahitaji kupita, sema samahani - nahitaji njia ,nafasi nyembamba!Usiseme Pisha nipite...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha udhalilishaji katika jamii

    Utafiti binafsi nilioufanya umegundua kuwa chanzo cha ongezeko la kasi ya matendo ya udhalilishaji katika jamii ni jamii yenyewe inajidhalilisha. Hii nikwasababu wanajamii wenyewe katika zama hizi wamekua wakijidhalilisha katika nyanja tofauti tofauti ikiwemo mavazi. Jamii ya sasa imekua...
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia achapishwa ukurasa wa mbele wa Gazeti la The Scotsman la Scotland

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la The Scotsman la Scotland umekuwa ukisambaa mitandaoni ukiwa na kichwa kinachosema "Rais Samia aongeza matumaini mapya kwa ushirikiano wa kiuchumi kati ya Scotland na Tanzania," Gazeti hilo linalosomeka kuwa ni toleo la 1 Novemba 2021 la gazeti la kitaifa la...
  7. JamiiForums Tanzania Tunaishi kuleee mbali nyuma, Wenzetu wanaishi kuleee mbali mbele.

    Lazima tukubaliane tunafikiri na kuishi kizamani sana wakati wenzetu wanaishi na kufikiri miaka mingi mbele. Haya yanayoendelea lazima tufahamu hakuna shida nyingine zaidi ya watu wenye uelewa mdogo kwenye mifumo na huku mitaani. Maendeleo ni process na mipango mikali kuikamilisha hiyo process...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia songa mbele, wengine watakushukuru na kuacha kelele za lawama tukifika Kanaani

    Mh. Rais, najua unatambua kuwa safari ya kuyafikia maendeleo siyo nyepesi, siyo tambalale wala mteremko. Mh Rais sisi watanzania huwa tunalalamika sana linapoanza jambo fulani na kuinua sauti za kelele kila mahali ili mradi tu kila mtu kaongea. Mh. Rais wetu, umekuwa muwazi sana katika serikali...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anayo kiu ya kuipeleka mbele Tanzania kimaendeleo, tumpe muda tutafurahi na kushangilia

    Ndugu zangu ukimsikiliza mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza, ukimuangalia namna anavyotenda utagundua kuwa amedhamiria na anayo kiu ya kuipekeka mbele nchi hii kimaendeleo. Mh. Rais anayo kiu ya kuona kuwa, hakuna mama mjamzito anasafiri umbali mrefu kufuata kituo cha afya au...
  10. JamiiForums Tanzania Twende mbele turudi nyuma, wanawake waliteseka sana

    TWENDE MBELE TURUDI NYUMA, WANAWAKE WALITESEKA SANA Anaandika, Robert Heriel Licha ya kuwa Mimi ni mfuasi mzuri wa mfumo dume lakini nachukizwa na tabia ya utesaji, unyanyasaji na uzalilishaji wa Wanawake. Mfumo Dume ni Amani, haki, upendo na heshima Kwa dunia yetu. Acha Wanawake wafanye...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Jana nilivyolia mbele ya kamera sikutegemea

    Kweli Mimi ni wa kulizwa kweli kisa ushabiki? Watoto wangu watanionaje huko mbeleni? Nimepigiwa simu kutoka pande za dunia wakinipa pole. Kwelii man utd na simba mmefikia huko? Kweli simba hile ni timu ambayo inajinasibu kufika Mbali CCL Kweli? Simba ambayo sasa haina sauti kwa yanga yani sisi...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Makambako: Mbunge alia fidia za wananchi mbele ya Rais Samia, Waziri amjibu

    Mbunge wa Jimbo la Makambako, Deo Sanga amemuomba Rais Samia Suluhu amuagize Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kulipa fidia kwa wananchi ambao maeneo yao yalichukuliwa. Mbunge huyo ametoa malalamiko hayo leo hii katika ziara ya Rais jimbo la Makambako. Kwa mujibu wa mbunge huyo, kuna maeneo...
  13. JamiiForums Tanzania Yanga msituaibishe mbele ya Rais wa FIFA

    HaABARI WAKUU. Leo kwenye mkutano mkuu wa CAF uliofanyika jijini Arusha. Na kuudhuliwa na kiongozi mkuu wa Fifa Giant El Fantinho. Viongozi wa CAF Motsepe nk. Waziri mkuuu amemkaribisha RAIS WA FIFA kushuhudia Mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga utakaochezwa August 13 jijini Dar es...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kenya: Uchaguzi wasogeza mbele muda wa kufungua shule

    Serikali ya Kenya imesogeza mbele muda wa kufungua shule hadi Agosti 15, 2022 badala ya Agosti 11 kama ilivyokuwa awali kwa kuwa bado mchakato wa kuhesabu kuwa za uchaguzi mkuu unaendelea. Waziri wa Elimu wa Kenya, George Magoha amewataka wazazi kupuuza taarifa walizopewa shuleni za kuwarejesha...
  15. JamiiForums Tanzania Mapambano ambayo yapo mbele yako

    MAPAMBANO AMBAYO YAPO MBELE YAKO! Anaandika, Robert Heriel Kabla sijaenda mbali, niseme maisha yanahitaji roho ngumu ya ustahimilivu, bila roho ngumu haya maisha yatakutoa Knockout katika hatua za awali kabisa Labda niweke hivi; 1. Kuwa hodari na jasiri. Usiwe muoga oga, kwenye maisha huna la...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake 7 kumtaka mwanaume mmoja. Unyenyekevu na utiifu vyahusishwa katika ndoa

    Hakuna mwanaume mkali mbele ya mwanamke mnyenyekevu na mtiifu. Kuna sababu nyingi zinazo pelekea wanawake kutoolewa na kuongezeka kwa idadi ya ndoa zinazo vunjika. Katika uislamu lengo la ndoa sio kutafuta utajiri wala kusaidiana maisha, lengo la ndoa katika uislamu ni kupata utulivu na familia...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Kipi kipewe kipaumbele kati ya Elimu-Taaluma na Elimu- Ufundi hapa Tanzania?

    UTANGULIZI Elimu ni njia utumiwayo na jamii kusambaza maarifa, ujuzi, mitazamo na maendeleo. Elimu hutolewa kwa njia kuu mbili, elimu rasmi ( itolewayo shuleni kwa miongozo maalumu) na Elimu isiyokuwa rasmi ( hutolewa nje ya darasa ( pasipo kufuata miongozo maalumu) Hapa Tanzania, elimu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Serikali iweke kipaumbele katika kilimo

    Leo nipo ndani ya jukwaa letu, jamii forums nataka kuchangia mawazo naamini mamlaka yetu hasa serikali na wadau wote inaweza kutibu kabisa baadhi ya changamoto kubwa hasa katika mfumo mzima wa sekta ya kilimo. Nina machache sana lakini naona ni ya msingi sana hasa yakitatuliwa hasa changamoto...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 5 mbele naiona Yanga SC ikiwa klabu yenye misuli ya kutosha kiuchumi

    Katika maeneo ambayo yanga wamefanikiwa kuset msimu huu ni kwenye management, klabu yoyote ikiwa na management goigoi lazima mambo mengi yatakwama, Matunda ya mafanikio ndani na nje ya uwanja ya klabu yanaanzia kwenye management. Kikosi cha uongozi kilichoko yanga kwa sasa kina kiu kubwa sana...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kumtegemea mtu kama Haji Manara ili mpira wetu usonge mbele ni kujitekenya wenyewe na kisha kucheka sana

    Kwa miaka ya hivi karibuni hapa nchi katika septa ya michezo kumekua na porojo sana kuliko uhalisia wa mwelekeo wa mchezo wetu wa mpira wa miguu tumekua, tukiweka nguvu kubwa katika kuwahamasisha washabiki na kuwaaminisha kuwa uwepo wao uwanjani na upigaji kelele ndio chanzo kutuletea ushindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…