mbegu

  1. JamiiForums Tanzania Mtoto ni wa nani, aliyeweka mbegu na kupotea au aliyemrutubisha tumboni na kutoa matunzo?

    Kumekuwepo na changamoto nyingi za kifamilia, mojawapo ikiwa ni wanaume baadhi kujikuta wakitunza na kulea watoto ambao si wao. Aliyeweka mimba ni mwingine na aliyerutubisha mimba mpaka kulea mtoto akawa mwingine pia. Kati ya hawa wawili, ni yupi anastahili kuwa baba wa mtoto?
  2. JamiiForums Tanzania Hivi wapi nitapata sehemu ambayo wanafanya huduma ya kupandikiza mbegu za uzazi kutoka kwa mwanaume kwenda kwa mwanamke

    Guys ni wapi kwa hapa Tz nitapata sehemu wanapandikiza mbegu nimekaa nimetafakari kwa umri wangu huu miaka 23 sijawahi kuwa na demu wala wa kusingiziwa na sina mpango wa kuoa,ninachotaka kufanya ni kutafuta mwanamke mzuri mrefu namlipa akapandikizwe mbegu zangu alee mimba alafu nimchukuwe mtoto
  3. JamiiForums Tanzania Nauza mbegu za kiume narudi Tanzania mwezi august

    Narudi bongo mwezi august natoa HUDUMA ya kuuza mbegu za kiume Kwa wanawake hii nimeikuta USA nakuja nayo Tanzania mloganzila wanapandikiza wanawake mbegu kama sikosei. Ila kutokana na mazingira ya Tanzania kutokuwa salama kiutekaji hii inakuwa changamoto.
  4. JamiiForums Tanzania Hii Simba na hamasa ni mbegu

    Nilichoshuhudia leo parade ya Simba Sports nimejiuliza sana kwanini hamasa ya mashabiki wa Simba ni kubwa mno by far! Lakini nikamkumbuka yule mtu aliyeijenga hii na haya ni matunda yake! Haji Manara! Hizi timu zina hamasa lakini Manara alipanda mbegu ya mashabiki vichaa wa Simba na zaidi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbegu za matango pori

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza anayejua zibapopatikana aniambie.
  6. JamiiForums Tanzania Mbegu za maboga zenye rangi ya kijani

    Nimeona wauzaji wa mbegu kwa ajili ya chakula wakiuza hizi mbegu za maboga zenye rangi ya kijani zinazotoka India. Hizi mbegu wameziachakata hivyo hazifai kuotesha Nani anajua wapi zinapatikana zinazofaa kuotesha. Soko lake baada ya mavuno liko vip, mje mtupe ABC
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbegu za habbat soda au black seeds dawa ya haraka ya acid reflux

    Habari za weekend ndugu zangu Anayesumbuliwa na acid reflux atafute hizo mbegu kiswahil zinaitwa habat soda English zinaitwa black seeds....nimbegu ndogo ndogo nyeusi tii kama mkaa ukiziona haraka haraka utahis ni punje za mkaa....hiz mbegu nzur sana kwa acid reflux mimi binafsi zilinisaidia...
  8. JamiiForums Tanzania Jaribu kutumia red royale east west ( mbegu ya papai) kama unataka kulima papai. Na huu ndio muongozo wake

    Good evening Leo ninapenda tuandike kuhusu fursa ya kilimo cha papai. Na,hapa nitagusia zaidi kilimo cha papai hybrid. Katika kilimo cha papai kuna hatua za kuzingatia ili mtu aweze kupata matokeo ya msingi. Hatua ya kwanza ni maandalizi ya shamba na maandalizi ya mbegu ( east west red royale...
  9. JamiiForums Tanzania Nilikua sijui tofauti ya kufuga nguruwe wa mbegu na wa nyama

    “Nilikuwa nafuga, lakini kuna vitu vya ziada nimejifunza — hasa tofauti kati ya kufuga nguruwe kwa ajili ya nyama 🥩 na kufuga kwa ajili ya uzalishaji 🐖📈. Hilo limenifurahisha sana na nitaenda kulifanyia kazi mara moja. Nilikuwa nafuga bila malengo mahsusi, lakini sasa nimepata mwanga 💡. Nina...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora za mbogamboga

    Hello habari. Kampuni ya KENI AGROPARK LIMITED inawakaribisha wote wenye maduka ya pembejeo(agrovets) pamoja na wakulima binafsi kuweza kujipatia mbegu bora za mbogamboga zilizothibitishwa ubora(certified seeds) katika kampuni yetu. Mbegu zetu ni OPVs zenye ubora wakuaminika na zikiwa katika...
  11. JamiiForums Tanzania Zizini TV: Kwenye zizi la ng'ombe, Chui ndiye Mhubiri mkubwa wa "Amani na Utulivu"?

    Na. M. M. Mwanakijiji Sijui ni 'genius' gani huyo ambaye ameanzisha hili la kuwa "tunataka amani kwanza". Kwa wiki hasa baada ya Oktoba 29 kumekuwa na jitihada kubwa ya kujaribu kugeuza mambo kinyumenyume. Sasa tunaambiwa "amani kwanza" ndio mambo ya "haki" yaje baadaye. Hili sijui limeanzaje...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama watawala walijua wanaua mbegu ya ukombozi na kuizika basi ndiyo inachipua kwa kasi

    Kama watawala walijua labda wakipiga risasi na kuuwa watu eti watanganyika watapata wogo,basi walishindwa kusoma nyakati za tawala zote kandamizi zilizotangulia kama wao,yaani hii mbegu inayochipuwa kwa kasi sana. Hawataweza kuizuia kamwe na inaenda kuwaacha uchi kama walikuwa wanapambana na...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nakuhakikishia Samia, kamwe hutofanikiwa kupandikiza mbegu ya Udini kwetu. Tumekukataa wewe na Chama chako

    Baada ya kuona Watanganyika hatukutaki, baada ya kuona Dunia imekukataa naona usivyo na akili umeamua kupandikiza mbegu ya udini ili ututoe Watanganyika kwenye mstari. Usichokijua ni kwamba hukuwateka na kuwapoteza watu wa dini moja tu. Hujaua watu wa dini moja tu. Umeua, umeteka na kupoteza...
  14. JamiiForums Tanzania Hata mkoloni hakuondolewa kwa mtutu, bali Gen Z, Mbegu ya Ujasiri: Last Man Standing Kati ya Nyota za Mashahidi

    Tulikua vitani, tukipigania uhuru kwa amani. Rafiki zangu waliuawa kikatili na askari. Mikononi mwao hawakubeba hata jiwe la kupigania, lakini walipigwa risasi viunoni, vifuani, na hata kichwani, ili kututisha, ili kutunyamazisha, ili kutuvunja moyo. Walio tangulia nawaombea mbele ya MUNGU...
  15. JamiiForums Tanzania NATAFUTA MBEGU ZA MLONGE NIPO MWANZA

    kama inavyosomeka kwenye kichwa, Natafuta Mbegu za mlonge zikiwa kwenye tunda lake (drumstick) nanunua kwa gunia kama una magunia kuanzia 50 ama unaweza kupata magunia 50 nicheki 0692594263
  16. JamiiForums Tanzania Mbegu Tunayoipanda Ndiyo Tutakayoivuna - Siku Zote Tujitahidi Kupanda Mbegu Bora na Njema

    Hello JF Members, Ujumbe wangu upo ndani ya hii story fupi. Kulikuwa na mama mjane, maskini sana, aliyeishi na watoto wawili wadogo kijijini. Mama huyo alikuwa mchuuzi wa mbogamboga. Kila siku, alihangaika kupata angalau shilingi 500 ili apate unga wa jioni. Siku moja, mama aliuza mboga zake...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Prime Mushrooms Tanzania; Wataalamu wa uzalishaji wa mbegu bora za uyoga.

    Prime Mushrooms Tanzania ni kampuni inayoongoza katika uzalishaji wa mbegu bora za uyoga nchini. Tunajivunia kutumia sayansi na teknolojia ya kisasa kuhakikisha tunazlisha mbegu zenye kiwango cha juu, salama na zenye matokeo ya uhakika kwa wakulima wa uyoga. kwanini uchague Prime Mushrooms...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mashudu ya mbegu za michikichi yanapatikana

    Hello, guys. Tunacho kiwanda kidogo kinachozalisha mafuta yatokanayo na mbegu za michikichi ziitwazo mbosa/mise. Katika uzalishaji huu tunapata pia mashudu. Mashudu (palm kernel cakes - PKC) yanapatikana baada ya kukamua mbegu kupata mafuta. Mashudu haya yanafaa kuchanganywa na malighafi...
  19. JamiiForums Tanzania Mbegu nzuri ukubalika kila sehemu

    Kama huna mtoto mpaka sasa, na hakuna mwanamke aliyekuja kukuomba uzae nae, juwa kuwa mbegu yako si nzuri. Ata kwenye mashamba, huwa tunachagua mbegu nzuri na kuiotesha, hivyo hivyo na kwenye mifugo, tutaangalia ile mbegu nzuri na kuipandikiza kwenye jike. Pia, na kama unatumia pesa nyingi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa nyama ya kuku inabidi tuanze kufuga wenyewe

    Siku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha. Kila kitu kimemuwa fake. Hata hawa wanao itwa Kuku wa kienyeji wana uzwa kwenye mabar wengi ni " Chotara"ambao nao pia watakuwa na madhara kama wa kizungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…