Mhh..ukiweza, usiache watoto mikono mitupu dunia iwachachafye.
(Hivi sisi tunazaa halafu watajijua mbele kwa mbele kwenye sehemu ambayo hata huduma za elimu na afya KUBWA unalipia😂?)
Kama hauna riziki unalala njaa KWELI, hakuna 'food stamps' wanazosemaga kwa wenzetu.
Wape elimu sawa, halafu...