mbaroni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ghana: Wafanyabiashara 5 mbaroni kwa Kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data

    Wafanyabiashara watano huko Accra wamekamatwa na polisi kwa kushindwa kujiandikisha kwenye Tume ya Ulinzi wa Data (DPC) na kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data. Wafanyabiashara hao ni wawakilishi wa CareFlight Ghana, kampuni inayotoa huduma za kliniki na ambulensi, Embassy Gardens, kituo cha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Malema aitaka ICC imtie mbaroni Netanyahu kwa mauaji ya Gaza

    Nov 10, 2023 02:53 UTC Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Afrika Kusini ametoa mwito kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na mashambulizi ya kinyama yanayoandelea kufanywa na utawala huo pandikizi...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania DCEA yakamata kilo 423.54 za skanka, 16 watiwa mbaroni

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya (DCEA) imekamata kilogramu 423.54 za bangi iliyosindikwa inayofahamika kama skanka katika operesheni maalum zilizofanyika kwenye mipaka na fukwe za Bahari ya Hindi. Mbali na dawa hizo za kulevya, mamlaka pia imewakamata watu 16 wanaojihusisha...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watu 7 mbaroni tuhuma za kumteka mwanamke Dar wakitaka kupatiwa dola milioni 3.5 kutoka familia ya mhanga

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa saba kwa tuhuma za kupanga njama, kumtishia kwa silaha, na baadaye kumteka mwanamke aliyefahamika kwa jina la Hani Hussein (29) Mkazi wa Masaki, Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashilia...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Walimu mbaroni wakidaiwa kufanyisha wanafunzi wa Sekondari Mitihani ya Darasa la 7

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia walimu wanne kwa tuhuma za kuwafanyisha mitihani ya darasa la saba wanafunzi watatu wa sekondari katika Shule ya Msingi Igulumuki Wilaya ya Sengerema mkoani humo. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Ijumaa Septemba 22, 2023; Kamanda wa Polisi...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Vijana 8 kizimbani kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja kwa kushirikiana

    Watu nane wakazi wa eneo la Porikwapori wilayani Kiteto mkoani Manyara, wamefikishwa katika Mahakama ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja kwa kushirikiana. Watuhumiwa hao kwa pamoja wamesomewa shtaka hilo leo Jumatatu Agosti 28, 2023 wakiwa mahakama ya Wilaya ya Kiteto chini ya...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbeya: 40 Mbaroni tuhuma za wizi kwa kuingilia Mfumo wa TEHAMA

    Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaja ubadhilifu wa fedha mkoani Mbeya, watu 40 wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kuhusika kwenye wizi huo wa Sh450 milioni wa fedha za umma. Akizungumza leo Jumatatu Agosti 28, 2023 Mkuu wa Wilaya ya...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Watatu mbaroni mauaji ya wanandoa Shinyanga

    Shinyanga. Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga kuwashikilia watu watatu kwa mahojiano kuhusu tukio la mauaji ya wanandoa wawili yaliyotokea katika Kijiji cha Mwagimagi Wilaya ya Kahawa mkoani Shinyanga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi amesema mauaji hayo yalitokea usiku wa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mbaroni akidaiwa kuiba transfoma

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, linawashikilia watu saba kwa tuhuma za wizi na uharibifu wa miundombinu ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco). Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Juni 17, 2023, Kamanda wa Polisi mkoani humo, Wilbroad Mutafungwa, amesema watuhumiwa hao wamekamatwa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watatu kortini kwa kumteka Mfanyabiashara

    Wakazi watatu wa Morogoro wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na shtaka moja la unyang'anyi wa kutumia silaha na kumteka mfanyabiashara. Washtakiwa hao ni Sufian Kidevu (30) mkazi wa Kizuka mkoani; Celestini Kamuli (32) mkazi wa Kizuka na mfanyabiashara Husein...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mbaroni kwa kukamatwa na meno ya tembo yenye thamani ya milioni 247

    Polisi Mkoani Katavi kwa kushirikiana na askari wa Hiifadhi ya Taifa ya Katavi, wamewakamata watu wanne kwa tuhuma za kukutwa na vipande 13 vya meno ya tembo vyenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 247. Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Katavi, Ali Hamad Makame, alisema hayo mkoani hapa mwishoni mwa...
  12. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Watatu Mbaroni kwa mauaji ya mfanyakazi wa Mgodi wa GGM Milembe Selemani

    Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watatu waliofanya mauaji ya mfanyakazi mmoja wa Mgodi wa GGM kwa jina la Milembe Selemani katika mtaa wa Matulole, Kata ya Buhalahala mkoani Geita. Aidha Mtuhumiwa wa nne (Pastory Lugodisha), baada ya kupata taarifa ya kukamatwa kwa wahalifu wenzake...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mchina anayetuhumiwa kwa kukufuru atiwa mbaroni nchini Pakistan

    Raia wa Uchina anayefanya kazi katika mradi wa umeme wa maji amekanusha madai yaliyotolewa na wafanyikazi wenzake wakidai alikufuru kwa kutoa maneno ya kashfa kwa Mungu na Mtume Mohammed hali iliyopelekea maandamano huku watu wakidai auwawe. Nchini Pakistan Madai ya kukufuru yamesababisha...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Umma Senegal, funzo jingine kwetu

    Alisema baba wa taifa, "binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja." Kwa hakika Afrika ni moja na waafrika ni baba mmoja mama mmoja. Haikuwa tofauti kwa kinara wa upinzani Senegal Ousumane Sonko hadi nguvu ya umma ilipoamua kutoa hukumu yake ya haki: Ousumane Sonko sasa yuko huru baada...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Watiwa mbaroni kwa kuvunja ofisi ya kijiji na kuiba vifaa vya Mradi wa Umeme-REA

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili Bahati Geofrey (36) Mkazi wa Kiwira na Emmanuel Mtofu (33) Mkazi wa Karasha ambao wanatuhumiwa kuvunja Ofisi ya Kijiji na kuiba vifaa vya Mradi wa Umeme – REA. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amesema awali mnamo...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa kuwalawiti watoto wake wa kiume wawili

    Jeshi la polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Abel John mkazi wa Kata ya Ngokolo katika Manispaa ya Shinyanga kwa tuhuma za kuwalawiti watoto wake wa kiume i kwa zamu watoto wake w mmoja akiwa na umri wa miaka 11 na mwingine miaka 8 baada ya kuachana na mkewe.
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji Mbaroni akidaiwa kubaka mgonjwa wake

    JF SUMMARY Jeshi la Polisi linamshikilia Sabihi Mpando, Mkazi wa Chipuputa kwa tuhuma za kumfanyia Ukatili wa Kingono Mgonjwa mwenye mwenye miaka 17 aliyekuwa akimtibu wakiwa Makaburini. Kaimu Kamanda wa Polisi, Hamis Ramadhani, amesema, Mganga alimlaghai mwathirika na kwenda naye eneo la...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mwalimu mbaroni akituhumiwa kusababisha kifo cha mwanafunzi kwa kumpiga mateke

    Utata umeibuka kuhusu kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari iliyoko Pasua, Manispaa ya Moshi, Walter Ebenezer, anayedaiwa kushambuliwa kwa mateke kwenye mbavu na mwalimu wake kisha kupewa adhabu ya kupiga ‘push up’. Kutokana na kifo hicho, ndugu wa mwanafunzi huyo...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Aliyetoweka na kufanyiwa matanga hatimaye alipatikana mbaroni Polisi

    Hii nchi ni ngumu sana. Kumbe yawezekana hata kina Ben, Azory, Lijenje na wengine waliotoweka kama huyu kuwepo mahali, mikononi mwa dola. Hapa ni maneno ya Dk. Mpango kutokea ikulu ya Chamwino leo: Tuendelee kupiga kelele yawezekana hata ndugu, jamaa na marafiki zetu hawa wangali hai...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mwanakijiji mbaroni kwa kukamatwa na meno ya tembo

    Mwanakijiji wa Kitongoji cha Ipota, Kijiji cha Ikuba, Wilaya ya Mlele, Mkoa wa Katavi, Shija Ntumbili anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kukamatwa na meno ya Tembo mawili. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi, Ally Hamad Makame amewaambia Wandishi wa Habari kuwa mtuhumiwa huyo...
Back
Top Bottom