INAUZWA (WOODMIZER) Machine ya kisasa ya uchanaji mbao

Brian Gabriel

New Member
Aug 3, 2020
2
0
Ni mashine yenye uwezo wa kuchana mbao nyingi kwa mda mfupi na kwa kutumia watu wawili tu.

Pia ni chombo kinachobebeka kwa maana ya kuhamishwa mara kwa mara.

Zipo za aina mbili Inayotumia petrol engine na motor engine. Ulaji wa mafuta ni mdogo sana.

Bei yake ni kuanzia million 17 za kitanzania. Ni bei nafuu kabisa kulinganisha na zinazotoka nje.

Zinapatikana Arusha.
Kwa maelezo zaidi piga simu namba
+255745247917 (Vodacom) au +255733143891 (Ttcl)

images.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom