Wakuu msaada
Nina mbao pic 650 mninga grade B na C...zimenidodea...zilikuwa Mbezi nimeleta Manzese hali ni ile ile
Nifanyaje...wapi naweza pata mtej wa jumla
Rangi ni kitu muhimu sana kwenye ubunifu wowote wa mbao na mazao yake kwenye kutenhengeza vitu vingi
Kuna wenye mapenzi na rangi asilia ya mbao lakini kuna wenye kupendelea rangi za kupuliza na wengine hupendelea polish tu ama cilla
Sasa kuna hii teknolojia nyingine ya kuunguza ubao ama kuuchoma...
Kampuni ya ZANREC RECYCLING tunajishughulisha na utengenezaji wa mbao na nguzo za plastiki, ni mbao imara na zinadum kwa mda mrefu kama ilivyo plastiki huishi zaidi ya miaka 50, mbao hizi zinatumika kawaida kama mbao zingine, uzuri wa hizi mbao haziozi, haziliwi na wadudu, pia ni rafiki kwa...
https://www.youtube.com/watch?v=TLSD0tQq_Es
Moto ambao bado chanzo chake hakijafahamika umeunguza vibanda vya wafanyabiashara zaidi ya 30 katika soko la mbao Sabasaba Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.
Akithibitisha kutokea tukio hilo leo Jumatatu Machi 17, 2025, Kaimu Mkuu wa Jeshi la Zimamoto...
Habari wana JF
Kwa anaejua au mwenyewe uelewa juu ya Gharama za kujenga frame ndogo kwaajili ya biashara. Kwa kutumia mbao laini anisaidie ufafanuzi tafadhar.
Karibuni...
SIO MBAYA wajenxi kukumbushana wapendwa
Najua mpaka tunajenga tunahangaika sana sana kuweza kujenga
Hizi changamoto utazikuta wakati WA ujenzi
Ukiwa unaenda kununua mbao hasa pale buguruni
Nenda na mtr yako..na usiwambie kama una MITA yako malizeni ku bargain sh ngapi kwa futi mkifika kupima...
Tunauza mbao zilizokomaa zadawa buguruni
2/2 2900
2/4 5000
1 by 8 12000
1by10 16,000
Misumali inch 4 bei 3500
Misumali ya bati ya rangi pakt kg1 bei 10,000
..
Zote hizo ni ft 12
Piga sim 0743257669
Huu si ubunifu wala usanifu wa kubahatisha wala kukurupuka.. Kila mkono uliogusa mojawapo wa hizi kazi akili yake ilikuwa imetulia na roho ni nyeupe...
Huwezi kufanya hizi kazi kwa ufanisi huu kama rohoni mwako na kichwani mwako umejawa na stress za kila aina ... Na hata kununua pia😀
Hivi vigoda/stuli ni very special. Hakuna msumari hata mmoja uliotumika na bei yake ni kichaa.. Na wengi huvitumia kama urembo na si matumizi halisi ya kukalia.. Hivi havipigwi polishi bali hupakwa Silla
Vijana kama unatamani mafanikio na unamtaji mdogo na unatamani kuwa mfanya biashara mkubwa mimi kijana mwenzenu nipo hapa kukusaidia
najua kuna wengine mna mitaji hamjui wapi muwekeze na mpate faida ya haraka
Karibuni tuwekeze kwenye soko la miti ya mbao pamoja na nguzo za umeme
Kwa mtaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.