mbabe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    FUNDISHO: Kila mtu ana mbabe wake

    asili yake ni ubabe
  2. Sky Eclat

    Mbabe wako anapokuwa kwenye interview pannel, imeshakutokea?

    Kuna aliyekupa warning uachane na mke/mume wake, na wewe ulipandisha mabega. Sasa baada ya kuwa short listed kwenye interview unakutana nae tena yeye ndiye final say. Yamesha kukuta?
  3. Cannabis

    Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

    Mwanamuziki wa kizazi kipya, Harmonize afunguka kuhusu mkataba alioingia na WCB amesema alikuwa akipewa 40% ya mapato yoyote anayoingiza na WCB kuchukua 60% ameamua kuelezea hayo yote kutokana na watu kuwa dhana ya kwamba yeye ni msaliti. Amesema alifanyiwa fitna nyingi zilizopelekea yeye...
  4. Chinga One

    Deontay Wilder ni sawa na Dulla Mbabe aliechangamka!!

    Maneno mengi uwezo mchache,Wote wamechezea kichapo cha nguvu,ngumi haziitaji mbwembwe watakuja kufia ulingoni hawa watu. BTW. Hongera sana Tyson Furry kwa kunikalishia hii mutu kwa mara nyingine tena.
  5. SSH2025_2030

    Mama Kimbo

    Hongera sana kwa kujiweka fit
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Dulla mbabe hamuwezi Twaha Kiduku, atake asitake

    Herehoa! Leo nimeiangalia hii mechi ya hawa mabondia waliozoea kutambiana, nimefurahi kuona sijapoteza usingizi wangu bure. Pambano lilikuwa zuri Sana. Waandaaaji walijipanga kufanikisha hili, hivyo nawapongeza Sana. Lakini Kwa vile Mimi nami naishi Mkoa wa Morogoro Kwa kweli najisikia furaha...
  7. Chinga One

    Ni wakati sasa Twaha Kiduku azichape na Mwakinyo

    Au mnasemaje wadau? ==== 9 Sep 2020 Bondia namba mbili kwa ubora Tanzania Twaha Kiduku amesisitiza kuhitaji pambano na Hassan Mwakinyo ili afahamike nani bingwa wa nchi. Kauli hii aliitoa wiki mbili zilizopita ameirudia tena siku ya jumatano alipokuwa anafanya mahojiano na moja ya kituo...
  8. Erythrocyte

    Azam TV tafuteni mabondia wengine , Twaha kiduku na Dulla Mbabe tumewachoka , ni local boxers , nje hawafiki hata round 3

    Tunawashukuru sana Azam TV kwa kufufua mchezo wa ngumi , watu wameukubali na wanaunga mkono , lakini jaribuni kuwa wabunifu , haiwezekani mabondia wale wale wapigane mara zote . Mabondia hawa hata kama hapa mnawaona wazuri kwa ajili ya promotion za biashara zenu , lakini hawana uwezo wa...
  9. Analogia Malenga

    Twaha Kiduku aondoka na gari baada ya kumtwanga Dullah Mbabe

    Leo kama kawa nitakuwa nawaletea updates za pambano hili ambalo kimsingi mmoja ataondoka na gari. Aidha kutakuwa na mapambano kadhaa ya utangulizi. === TWAHA KIDUKU AMTWANGA DULLAH MBABE, AJINYAKULIA GARI Bondia Twaha Lubaha maarufu Twaha Kiduku amejinyakulia gari baada ya kumtwanga Abdallah...
  10. Sky Eclat

    Kibonzo: Mgogo aliyeshiba pesa amekua Matonya tena mbabe

  11. Analogia Malenga

    Dullah Mbabe: Mabondia wa Tanzania msiende Urusi na Kazakhstan

    Bondia wa Tanzania Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe amesema hawezi kwenda tena kupigana nchini Urusi na Kazakhstan kwa sababu mabondia wa kule ni wakali sana. Pia amewatahadharisha mabondia wa Tanzania wanaokwenda kule kuwa mabondia wa nchi hizo huwa hawapoi na huwa wanapiga ngumi kama...
  12. The Dictator

    Nani mbabe (Ep 2): African Lion vs Silverback Gorila

    Katika muendelezo wa wababe katika viumbe leo hii tunawakutanisha wafalme wakali wawili kutoka barani Afrika. Je, ni nani ana advantages kubwa kumshinda mwenzake? The king of the jungle or the dangerous Gollila nani atashinda pambano hili? Simba na Sokwe/gollila karibu wote wanakuwa na uzito...
Back
Top Bottom