mazuri

Maji Mazuri is a small town in Kenya's Baringo County along the Makutano-Ravine-Kampi Ya Moto highway. This is the most southerly tip of the greater Baringo area. It neighbors Kericho's Londiani and Nakuru's Kamara areas. The settlement was formed by migrants who used to work in the Koibatek Forest, but were either retrenched or retired at one time. As such, Maji Mazuri is home to people from different ethnic groups of Kenya. The Agikuyu and Tugen people are the majority population in the larger Maji Mazuri location of Eldama Ravine division.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Changamoto ya kiafya iliimarisha ubinafsi hata katika maamuzi mazuri ya kisiasa na kiuchumi

    Changamoto ya afya ya moyo ya Mkuu wa tano wa utawala wa nchi yetu ilijulikana kwa kuchelewa sana (baada ya kifo chake) kuwa alikuwa na matatizo ya kiafya. Changamoto ya afya ya moyo ambayo ndiyo iliyomlazimu (hili nina uhakika kabisa ukirejea utaalamu wa kiafya) asiweze kusafiri mbali kwa...
  2. Rais Samia anapaswa tu kutuliza kichwa 'Patience', bado amefanya mazuri mengi. Atulize tu spidi bado ni kiongozi mzuri

    Mimi ni mmoja wa watu ambao huamini kwamba, mtu akichafuka mguuni sio kwamba amechafuka mwili mzima. Hivyo basi, uungwana ni kuzodoa uchafu wa mguuni lakini wakati huo huo kusifia utanashati pale pote pazuri tofauti na mguu ambao umechafuka. Hii inaitwa kuwa 'positive' katika kuyatizama maisha...
  3. S

    Magari mazuri ya harusi yakukodisha - Tanzania wedding car rental

    Je unategemea kuwa na Harusi au Send-Off hivi karibuni? Je unajiuliza ni wapi utapata huduma bora ya usafiri wa harusi yako? Jibu ni moja tu @magariyakukodi_carrental Wasiliana nasi sasa, kuuliza bei ni Bure kabisa! Call/WhatsApp : 0788457446 Office : Kijitonyama Bei kuanzia 150,000
  4. M

    John Pambalu una kelele sana unapoongea katika Tv mpaka tunashindwa kuyapata madini yako mazuri

    Kamanda John Pambalu kwani umeambiwa kuwa ukiwa unaongea tu kwa Utaratibu, Umakini huku ukiwa Umetulia hasa katika Runinga ( Television ) Sisi hatuwezi Kukusikia na Kukuelewa? Umeambiwa moja ya Sifa Kuu ya kuwa Kamanda wa CHADEMA na upate Umaarufu wa haraka ni Kuongea kwa Hasira, Kufoka...
  5. SoC01 Upataji fursa, ajira kwa haraka kwa matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii

    Namna nzuri ya kuitumia mitandao ya kijamii kupambana na soko la ajira pia kufumania fursa mbalimbali kutokana na uhitaji wako. Vijana waliohitimu vyuo vikuu wanalalamika hakuna ajira hii makala itasaidia vijana ambao bado wako vyuo na waliomaliza pia wakulima, wafanya biashara nk. Kwa...
  6. B

    Taja Mambo Mazuri na Mabaya ambayo Tanzania inaongoza

    Tanzania kama nchi inayo mambo mengi inaongoza. Yapo mazuri na mabaya. Taja mambo ambayo unaona ama unajua kuwa Tanzania inaongoza Afrika Mashariki, Afrika na duniani kwa ujumla. Kwa kuanza.. 1. Tanzania ndiyo nchi yenye wazungumzaji wengi wa lugha ya Kiswahili duniani. Ikifuatiwa na Kenya..
  7. Rais Samia anapaswa kuchukua mazuri yote katika hotuba ya Mbowe ya Mwanza

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania akila kiapo cha kuilinda katiba ya Tanzania Hapo awali nimefupisha hotuba ya Mbowe kama ilivyotolewa kwa waandishi wa habari pale Mwanza jana. Sasa niko tayari kuifanyia uchambuzi kulingana na taarifa za ziada nilizozikusanya kutokana na wadatishaji wangu...
  8. Tarimba: Kuna watu wana mawazo mazuri ila wengine ni porojo; Wananchi kuna manufaa katika kulipa kodi

    "Tukisimama pamoja kama Wananchi hakika tutasonga mbele kulipa kodi moja kwa moja ni kuijenga nchi yako. Tutakuwa wakali kwenye ubadhirifu. Bunge tulijadili bajeti ya kila Wizara takribani miezi mitatu yanayotokea leo ni utekelezaji wa bajeti iliyojadiliwa takribani miezi mitatu ndugu zangu...
  9. Watu umri wangu tuliokua wote wana maisha mazuri sana, sijui mimi nineteleza wapi

    Yaani kuna muda napata mawazo nimeteleza wapi yaani kila nikikutana na wenzangu tumekuwa wote wengine umri mmoja tu ila wako vizuri sana kimaisha. Sasa mimi sijui nilikosea wapi kuchanga karata zangu maana mpaka sasa napanga wenzangu wana mijengo ya maana magari ya kifahari mimi nipo Manzese...
  10. G

    Kwa Taifa lenye mipango na maono mazuri huliwezi kutegemea Machinga na mama lishe kwa uchumi endelevu

    Habarini wakuu, Kwanza nipongeze juhudi mbalimbali za taifa letu katika kujikomboa kiuchumi. Niwapongeze pia vijana wenzangu tuliomua kujiajiri kwa njia mbalimbali Machinga mama lishe boda boda nk. Nirudi kwenye mada yangu , katika kutafakari kwangu nimejaribu kuangalia Mambo muhimu...
  11. Maisha ya Ulaya hasa Norway ni mazuri sana, Bongo bado sana

    Moja ya vitu ambavyo sikuwahi kukubaliana navyo ni ile dhana ya kusema eti maisha ya Europe ni ya upweke. Upweke unautengeneza mwenyewe tu, ila ukweli ni kuwa maisha ya Ulaya ni mazuri Sana hasa Norway. Bongo bado Sana, tusiongopeane na kujipa moyo. Anayeweza kuja aje ashuhudie. Na inapaswa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…