mazoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume ambaye hajafanya mapenzi kwa muda mrefu vs mwanaume mfanya mazoezi

    Wakuu naomba kujua kati ya mwanamme ambaye hajafanya mapenzi kwa muda mrefu vs anayefanya mazoezi ya viungo kila siku ni yupo anasukuma pampu vizuri wakati wa kula tunda au kugegeda? Mfano mwanaume ambaye ameoa alafu amekaa miaka miwili bila kupump vs mwanaume anayekwenda jim kila siku
  2. JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na biashara ya mazoezi ya mwili, nisaidieni kwa hili

    Nikawaida yangu kufikilia vitu vya kitofauti, najua kuanzisha gym station Ni gharama Sana ila mi nafikilia, hivi Nikiwa na ile mashine ya mazoezi ya kukimbia, siwezi pata wateja kweli? Yaani ile asubuhi mapema naifungua na jioni mpaka saa tano usiku, ila sijui Bei zake na Kama zinaweza patikana...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mazoezi na COVID19: Je, ni sahihi kuvaa barakoa wakati wa mazoezi?

    Kiafya, haitakiwi kuvaa barakoa ‘mask’ wakati wa kufanya mazoezi kwa sababu zinapunguza uwezo wa kupumua vizuri. Katika kufanya mazoezi, katika hali ya kawaida huwa na ugumu wa kuhema hivyo kwa kuvaa barakoa ugumu unaongezeka. Vilevile, jasho linaweza kulowesha barakoa haraka na kuifanya isifae...
  4. JamiiForums Tanzania Mazoezi ya FAMM (AMTL) Co. & Extreme Workout Boot Camp

    Mimi sina ya kuongeza sana hapa ili hii inaonekana inafaa sana. Nakuwekea video hii usikilize mwalimu huyu wa mazoezi akiongea kuhusu mazoezi anayoyafundisha. Huu mtiti unaonekana sio mdogo. Wanapatikana Maga Beach & Mwalimu anaitwa Shija. Angalia kuanza dakika ya 14 hadi ya 24
  5. JamiiForums Tanzania Klabu za Ligi Kuu England kuanza mazoezi yatakayojumuisha Wachezaji kugusana

    Klabu za Ligi hiyo zimepiga kura kwa siri kukubali timu kufanya mazoezi yatakayojumuisha wachezaji kugusana ikiwa ni hatua nyingine ya kukaribia kuendelea na Ligi hiyo. Wachezaji walirejea mazoezini wiki iliyopita lakini mazoezi hayo yamekuwa yakijumuisha vikundi vidogo vya wachezaji na bila...
  6. JamiiForums Tanzania Mo Simba Arena ikiwa tayari kwa mazoezi

    This is next level
  7. J

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

    Kirusi cha korona (Corona virus), ni kimelea chenye gamba na kutunza vinasaba vyake katika malighafi za RNA. Corona virus ni kisababishi cha magonjwa mbalimbali na vimelea hivyo vina makabila mbalimbali. Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) - JamiiForums COVID-19-...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi unajua kufanya mazoezi ni kujifukiza?!

    Simple logic! Yaani kitendo cha kufanya mazoezi na kutoa jasho ni kujifukiza. Msio complicate sana. Ishu kubwa ni 'mvuke' ili 'utoe jasho la kutosha'. Kimbia utoe jasho, hapo unajifukiza. Rusharusha miguu weeeeeee ili utoe jasho la kutosha'. Unajifukiza. Piga miti wewe kwa pump paap! paaap...
  9. JamiiForums Tanzania Shirika la Afya Duniani lawaasa Wananchi kuzingatia mlo kamili na mazoezi kwa watu wazima kipindi hiki cha Corona

    Mkurugenzi wa Shirika la Afya Dunia (WHO) Tedros Ghebreyesus ametaja vitu vitano ili kukabiliana na janga hatari la ugonjwa wa Covid-19. Tedros alisema janga hili la Corona limeichanganya dunia na kufanya maisha ya kila mtu kubadilika na kwamba ili kukabiliana na tatizo hilo ni lazima kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Yoweri Kaguta Museveni anatufundisha mazoezi ya viungo ya ndani

    Museven anatushauri tufanye mazoezi ya viungo ndani ya nyumba au nyumbani katika kipindi hiki cha ombwe la corona
  11. JamiiForums Tanzania Buyern waanza mazoezi

    Club ya Beyern Munich ya Ujerumani imeanza mazoezi yake kule Ujerumani baada ya kukaa mwezi mzima hii inaleta matumain kwamba ligi zinaweza kuanza kulejea mwishoni mwa mezi huu.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ya Ndani: Zoezi la kuruka kamba

    Tangu nilipogundua umuhimu wa mazoezi kwenye mwendo wa kawaida wa maisha, nimejaribu hili na lile, kuona linalonifaa zaidi. Katika jaribujaribu mara kwa mara nimeongeza vikolezo mbalimbali kwenye mazoezi yangu na kuyaboresha kidogo. Nimeongeza vikolezo hivyo kwa malengo ambayo binafsi nayaona...
  13. JamiiForums Tanzania Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

    Habarini waungwana katika jukwaa hili tukufu la utanashati na ulimbwende, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa tiba lishe, madawa, na mbinu nyinginezo za kupunguza uzito wa mwili, jambo ambalo bado halijaleta ufanisi kinyume na matarajio. Hivyo kwa uzi huu naomba tupate mbinu, njia...
  14. JamiiForums Tanzania Tukumbuke kufanya mazoezi kuimarisha miwili yetu, Hii ni kwa faida yetu sisi wenyewe

    Leo nikiwa kanisani nilikaa na bibi mmoja, mrembo ametengeneza nywele vizuri, kucha zina rangi na rangi ya mdomo. Bibi huyu alikuwa na fimbo ya kukunja kama kiti aliyokuwa anatembelea. Kuna wakati alihitaji msaada kidogo lakini alipochoka alikunjua kiti cha fimbo na kukaa. Alivutiwa na moyo...
  15. JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Wapenda mazoezi ya viungo tukutane hapa kwa maoni, ushauri, aina za mazoezi, faida zake n.k

    Wakuu binafsi nafanya mazoezi mengi sana, lakini sijui faida zake nafanya tu kwa kuwa mwili unachangamka na muda mwingi nakuwa mtu mwenye furaha tofauti na kipindi ninachoacha mazoezi. Faida nyingine ninayoiona ni kumbukumbu, kipindi ninachofanya mazoezi ninakuwa na uwezo mzuri sana wa kuhifadhi...
  16. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa mazoezi kwa watoto huathiri afya zao hivyo kuwafanya wawe dhaifu ukubwani

    Habari! Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa, watoto wanne kati ya watano wenye umri wa miaka 11-17 duniani hawafanyi mazoezi ya viungo ya kutosha. Shirika la afya duniani (WHO) limesema kuwa afya za watoto zinaharibiwa kutokana na ukosefu wa mazoezi hivyo kuathiri ukuaji wa ubongo na shughuli zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…