mazoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Video: Ukiulizwa kwanini haufanyi mazoezi jibu lako litakua ni lipi ? Mdau amejibu kwa kushangaza sana

    binafsi nakosa muda mixa kauvivu na pia sina company ya watu wa kwenda nao mazoezi, je wewe sababu yako ni ipi video: https://vt.tiktok.com/ZSVLwaS17/
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo

    Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo, nina kilo nyingi ambazo sizifurahii kabisa ila kila nikipanga na kuanza mazoezi na diet nafanya wiki moja au mbli upepo unakata najikuta tu nasema nitafanya kesho au ngoja nile kawaida leo tu, baada ya hapo ni mwendo wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa wapinzani wenzetu hivi nyie hamli, hamnywi, hamfanyi mazoezi?

    Ndugu zangu wapinzani, hebu mnisaidie kuwaelewa kidogo. Kila siku tunasikia nchi imeharibika, maisha hayaendi, watu hawana furaha, hakuna kinachowezekana… lakini sisi huku maisha yanaendelea kawaida kabisa. Tunafanya kazi, tunapata hela, tunakula, tunavaa, tunalea familia, tunafanya mazoezi...
  4. JamiiForums Tanzania Je, mazoezi yana msaada wowote katika kupungua uzito?

    Daktari Selestin Mpiri anaeleza kuhusu umuhimu wa ulaji sahihi (diet) ikilinganishwa na mazoezi katika kupunguza uzito. Mazoezi pekee hayawezi kurekebisha au kufuta madhara ya ulaji mbaya. Ili kupata matokeo ya kupunguza uzito, lazima uunganishe diet nzuri pamoja na mazoezi. Ulaji (Diet) Una...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Naulizia wapi naweza kupata mashine ya mazoezi ya kukimbia au kutembea

    Wadau wa michezo habari zenu. Nauliza kwa hapa Dar ni wapi naweza kupata mashine ya kumfanyia mazoezi ya kukimbia au kutembea kama zile zinazopatikana gym. Naomba kuelekezwa mahali na duka lilipo.nahitaji kua nafanyia mazoezi nyumbani badala ya kwenda gym. Msaada tafadhari. Mtu akiniambia bei na...
  6. JamiiForums Tanzania Arusha Walking Fitness route Tuanze Mazoezi ya Kutembea Kila Weekend Ili Kuweka Mwili Sawa!.. waliopo Arusha tu

    Habari wanajf!!! Nimeamua kuanzisha group ili ili tuweze kufanya mazoezi ya kutembea pamoja kila siku ya weekend (Saturday na Sunday).
  7. JamiiForums Tanzania Leo Nimetembea kilometa 25 nimefikisia mwezi kwenye mazoezi.

    Kila siku nilikuwa nakimbia 10km Mpaka leo nimetimiza mwezi kwa kutembea km 25 Sasa mwezi ujao nataka kuhamia Gym Ndugu msomaji una ushauri gani kwangu?? Karibuni
  8. JamiiForums Tanzania Ni kawaida mwili kuchoka, kuhisi homa na mafua baada ya kuanza mazoezi ya kukimbia?

    Nauliza tu wakuu nisijekufa bure
  9. K

    JamiiForums Tanzania Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za Nyuklia

    Baada ya Ukraine kuwashambulia URUSI kwa drones na kwenda kupiga kwenye Shule ya Watoto wa Primary usiku wa kuamkia Jana, leo Rais Putin kaidhinisha vikosi vyote vya Nyuklia kuanza mazoezi na kujiandaa kumshambulia Adui yao atakayeivamia nchi yao lakini haijawekwa wazi Adui huyo ni nani...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi mazoezi yanavyoweza kumfanya mtu kuonekana younger

    Watu wengi wakiona picha za “before and after” za watu walioanza kufanya mazoezi, mara nyingi hushangazwa na jambo moja, mtu anaonekana mdogo kuliko zamani. Wengine huonekana kama wamerudisha miaka yao nyuma kabisa. Swali ni, hii hutokeaje? Ukweli ni kwamba mazoezi yana mchango mkubwa sana...
  11. JamiiForums Tanzania Tangia nianze mazoezi na kupiga pamba Kali nguo zinanikaa naona mademu wananishobokea sana

    Yaani nilikuaga nikitongoza demu lazima anichomolee Sasa hivi nimeanza mazoezi kitambi kimetoka napiga pamba Kali aisee huwezi amini wakuu mpaka wake za watu wananishobokea nilikua najiona na gundu kumbe ilikua kitu kidogo sana halafu nilichogundua wazee ukimfata demu akiwa na wenzake utoboi...
  12. JamiiForums Tanzania POTOSHI Ni kweli kuwa Wanaume wanatakiwa kutofanya mazoezi ili kulinda afya

    Kupitia mitandao ya kijamii, hususan Facebook, kumekuwepo na ukurasa uliochapisha video inayowahamasisha wanaume kutofanya mazoezi, ikidai kuwa kufanya mazoezi husababisha watu kutokuwa na afya njema. Katika video hiyo, mhusika anarejelea zamani akisema kuwa watu wa kale hawakufanya mazoezi, na...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga azuia uwanja wa mpira wa Halmashauri kutumika kwa mazoezi ili achungie mifugo yake

    Umepita mwezi sasa uwanja wa mpira wa Halmashauri ya mji umezuiliwa kutumika. Hii ni mara ya pili, mwanzo ilizuiliwa Mkurugenzi akaruhusu mazoezi kufanyika na ukafunguliwa. Ghafla tu umefungwa kila watu wakifuatilia hakuna sababu zinazoeleweka kuhusu kuzuilia watu kutofanya mazoezi hali ambayo...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vitambi mnakera, fanyeni mazoezi

    Mwanamke kitambi kikubwa mnakera kuwatizama ila hamjui tu. Hakuna mwanaume anaependa mkewe awe na kitambi utazani ujauzito kumbe kitambi , kama ndo hivi vitambi vyenu wacha tuchepuke tu. Shape namba 9 aweee mtabaki kuwa single maza tu
  15. O

    JamiiForums Tanzania Tukiwaambia fanyeni mazoezi mnabisha cheki huyu bibi dada., ukipewa unaoa

    Mshana Jr Kuna viumbe vitamu hadi uzeeni shauri yako. UNAWEZA zeeka ukiwa na umbo lako Binti wa zamani uongo Mbaga Jr dronedrake Wazee WA kubeti nyetukeni
  16. JamiiForums Tanzania NGAO YA NDANI: Jinsi mazoezi yanavyolinda viungo vyako dhidi ya majeraha

    Mazoezi si tu kwa ajili ya kuonekana vizuri, bali ni uwekezaji katika usalama wa ndani wa mwili wako. Kwa kujenga misuli imara na mifupa migumu, unatengeneza ngao ya asili inayoweza kukuokoa dhidi ya madhara makubwa ya ajali au mapigo ya ghafla. Katika ulimwengu wa afya, mazoezi mara nyingi...
  17. JamiiForums Tanzania Wakati tunachukuà mazoezi ya kikomandoo kuruka toka kwenye ndege mwenzetu parachuti ilikataa kufunguka akafa

    Kozi ya paratruping Zimbabwe iligharimu maisha ya mwenzetu parachuti ilikataa kufunguka na ya emergency ilikuwa na hitilafu alidondoka umbali wa futi kama 500 akafa. Leo ni kumbukumbu. Miaka kadhaa nyuma.
  18. JamiiForums Tanzania Moja ya faida kubwa ya mazoezi ukiachana na kujikinga na magonjwa ni, Kukinga viungo vya ndan kupata madhara

    Unapokua mtu wa mazoezi sana, faida kubwa ni kujiepusha na magonjwa yasioambukizwa kama vile matatizo ya insulin kupanda na kushuka ghafla(DIABETES)[KISUKARI], baadhi ya kansa na magonjwa mengine mengi basi faida ingine kuu ni misuli kukakamaa: faida yake niviungo ya ndan vinapata ulinzi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Ni nadra sana mtoto anaefanya mazoezi kupata magonjwa yasioambukizwa

    Watoto ama vijana walio chini ya miaka 30, wana advantage moja kubwa sana katika afya! KUPONA MAPEMA mtoto akiumia kama ni wa mazoezi basi haihitaji hospitali hua anapona mwenyewe hata kama ni tatizo kubwa kama kuvunjika hua matibabu yao ni haraka na wanapona mapema, hivo basi wewe kama mzazi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Jeshi bora Afrika ya mashariki, JWTZ likiwa linajiimarisha katika mazoezi ya kijeshi,

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…