balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,569
- 13,294
Nimejaribu kufuatilia video hii aiseh inatia uchungu sana. Ila nadhani lengo la huyu kwenye video hii lilikuwa ni kuonesha namna ambavyo ufugaji unakumbwa na vikwazo. Tunatakiwa kuangalia namna ya kutengeneza mazingira rafiki kwa wafugaji. Inaumiza lakini hasa ndio maisha hamna namna