mazito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Modern history of the Arabian Peninsula cannot be understood without looking at the central role of the British Empire

    Copy and Paste The modern history of the Arabian Peninsula cannot be understood without looking at the central role of the British Empire, as well as the continued involvement of ‘post-imperial’ Britain. As David Wearing has argued, Britain’s policy has been consistently conservative—providing...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Bandari Ilikuwa inaingiza tsh 1 trillion na inamtumia tsh 880 bilioni ndio sababu tumeleta DP World Ili kuongeza Mapato!

    Msemaji wa Serikali mh Msigwa amesema Bandari ilikuwa inaingiza faida ya takribani tsh 120 bilioni tu na TICTS Ilikuwa inaingiza tsh 300 bilioni tu na Bandari ina Magati 12 Msigwa amesema Bandari haijauzwa na haitauzwa kwa sababu sheria za Nchi haziruhusu Msigwa amesisitiza Bandari lazima...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu Mwafrika mwenzetu "anatisha", anaongea maneno mazito sana kuhusu ujinga wa Waafrika

    Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika pita pita yangu mtandaoni nimekumbana na hii video. Kwa mtazano wangu, huyu jamaa ana upeo, muono na mawazo mapana sana na ana kipaji cha kuzifikisha fikra zake kwa ufasaha na utulivu wa viwango vya juu kabisa. Ana uchungu na ujinga wetu Waafrika na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Musukuma afunguka Mazito Mkataba wa Bandari/Sijajongwa Gari, Nina Hela

    Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma
  5. JamiiForums Tanzania Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

    "niliambiwa na viongozi wa Yanga kuwa nauza mechi iliniuma sana na nikipokuwa nawapigia simu hao viongozi waliokuwa wanatamka hayo maneno hawapokei simu yangu. "Viongozi walikua wanamtukana mama yangu na kutoa matusi ya kumnyanyasa hata ingekua ni wewe ndugu mwandishi usingekubali kutukaniwa...
  6. JamiiForums Tanzania Jimbo la Hai na Mafanikio Lukuki, Mbunge Saashisha Anena Mazito Yaliyofanyika

    JIMBO LA HAI NA MAFANIKIO LUKUKI NDANI YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN MADARAKANI "Nawashukuru wananchi wa Hai kwa heshima kubwa waliyonipa ya kuwa Mbunge wao. Itoshe kusema asante na Mungu ambariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan" - Mhe...
  7. JamiiForums Tanzania Baba mzazi wa marehemu Milembe Suleman aongea mazito

    Mungu simama nasi, lea nasi baba, tunusuru na hili janga sisi na vizazi vyetu🙏 Viatu vya huyu baba havinitoshi === Marehemu Milembe Suleiman ambaye miaka kadhaa iliyopita alitrend mitandaoni kwa kumvisha pete mwanamke mwenzake ikiashiria anajihusisha na vitendo vya kisagaji, baba yake...
  8. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Arusha afichua mazito hali ya ushoga Arusha

    Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Felician Mtehengerwa, amesema hali ya ushoga katika jiji la Arusha ni mbaya kwa sababu inakadiriwa zaidi ya vijana 400 wanajihusisha na vitendo hivyo na kuwataka madiwani kuvikemea katika maeneo yao. Aidha, amesema kuanzia hivi sasa nyumba za starehe zikiwemo baa na...
  9. JamiiForums Tanzania Mswahili afunguka. Kwanini CCM kila siku na sio upinzani? Mazito 4 yafichuka

    Katika Hatua za awali za mradi wa MSWAHILI , wataalamu wa KEL wameamua kupima uelewa wa MSWAHILI kwenye masuala ya kisiasa. Mahojiano yalikuwa hivi: Msimamizi: ninaweza kufahamu kuna vyama vingapi vya siasa nchini Tanzania? MSWAHILI: Habari, Tanzania ina vyama vingi vya siasa, lakini muhimu...
  10. JamiiForums Tanzania Mambo mazito, Mawakili wa Thabo Bester wajitoa kwenye kesi

    Mawakili wanaosimamia kesi ya Thabo Bester wamemtaarifu mteja wao kujitoa katika kesi inayomkabili huku ikielezwa huenda akawatumia mawakili waliokuwa wanamtetea Dr Nandipha Magudumana. Hatua hiyo inamfanya Thabo kuanza kutafuta mawakili wengine baada ya Mawakili hao wa Ishmail kumtaarifu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Titles za degree za bongo zinatisha na zina maneno mazito ila ndani ya vichwa vya waliosoma hamna kitu, msitishwe na titles

    Kuna midigree inatisha ukisikia mpaka unajiuliza huyu mtu kweli namvyomjua ni kilaza hivi amewezaje kuviweka kichwani. Kumbe ukianza kuongea naye hamna kitu ila Cheti chake kinatisha. Mfano banking na financial services, sijui highway engineering sijui educational policies and planing etc...
  12. B

    JamiiForums Tanzania BAWACHA Jimbo la Kinondoni Yamjibu Mbunge Festo Sanga wa CCM

    Kauli ya Mbunge wa CCM Mh. Festo Sanga yapingwa vikali. BAWACHA yasisitiza kuwa CHADEMA inaongozwa na katiba hivyo mbunge wa CCM Mh. Festo Sanga atulie na kuacha propaganda katka kikao cha bunge kinachoendelea mjini Dodoma bali ajikite kujadili mambo ya maana kwa wananchi. Ndugu Festo Sanga...
  13. JamiiForums Tanzania Gerald Hando arudishwa EFM baada ya benchi la miezi mitatu, akiri kukosea kusema 'nchi inakopa sana'

    Mtangazaji mkongwe Gerald Hando amerudishwa EFM rasmi ambapo amekiri kukosea ======== Mtangazaji maarufu wa EFM, Gerald Hando leo amerejea kazini baada ya kukaa benchi miezi mitatu kasoro siku moja. Hando amesema kauli yake aliyoitoa ndio imemletea changamoto na ikaonekana amekiuka 'editorial...
  14. JamiiForums Tanzania Mpwayungu village omba msamaha kwa walimu, yatakukuta mazito

    Nimekaa nimewaza sana sipati majibu iweje Mwanaume kamili anawaza kua upande wa pili?..Nina marafiki wa kike kama watatu kwa nyakati tofauti nilisikia wakisema wanatamani wangezaliwa wa kiume, maana mambo yanayowakuta ni mazito. Imagine bwana mpwayungu sasahivi na hii mvua ungekua umechora saba...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula Asimulia mazito akiwa Jukwaa la Tangayika Law Society

    Wakuu kule youtube kwenye Channel ya Jambo Tv nimekutana na kisanga cha kutisha, kwanza ukisikiliza unaogopa na kutetemeka. Ni Askofu Emmaus Mwamakula akiwa amealikwa ku-address mkutano wa wanachana wa chama cha Mawakili Tanganyika yaani TLS. Sikiliza mwenyewe hapa.
  16. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe ya kutoshirikiana na vyama vingine yaibua mazito

    Kauli ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuhusu nia ya chama hicho kutoshirikiana na vyama vingine imezua mjadala kwa baadhi ya vyama vya siasa huku baadhi vikidai inatokana na ushirika wa chama hicho na CCM katika maridhiano na vingine vikiiunga mkono. Mjadala huo umetokana na kauli...
  17. JamiiForums Tanzania Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

    Hizi tuhuma ni nzito sana. 👇
  18. JamiiForums Tanzania Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

    Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia macho masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Analeta mahaba mazito, baada ya biashara yake kufungwa kutokana na malimbikizo ya kodi

    Huu si utapeli huu. Nimekuwa kwenye mahusiano na mmama mmoja, anayejishughulisha kwenye mambo ya biashara mbalimbali. Kusema ukweli tumefaidiana sana; ukiwa naye utapiga mpaka wewe mwenyewe uchoke, hana mapozi na anajua kusimamia nafasi yake kama mwanamke. Mwezi uliopita nilienda kumtembelea...
  20. JamiiForums Tanzania Urusi yaongeza mapigo mazito huko Ukraine

    Mapigano katika mji wa Mashariki mwa Ukraine wa Bakhmut ambayo ni ngome muhimu, yanaongezeka na Rais Volodymyr Zelensky anasema hali huko inazidi kuwa mbaya. Rais huyo anasema wanajeshi wa Urusi wanaharibu chochote ambacho Waukraine wanaweza kutumia kama ngao. Anasema wameendelea bila huruma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…