Wadau hamjamboni nyote?
Hali ni mbaya Kwa Mayahudi tuwaombee sana
IDF walidhani kupiga airport na kuharibu kiwanda cha mbolea wamemaliza kila kitu kumbe wenzao ni wajuzi zaidi yao
Suluhu pekee ni ayahudi kuwarejeshea Wapalestina ardhi yao tukufu na kuondoa haraka majeshi yao huko Lebanon na...
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na clip ya mahojiano inayomhusu mtoto wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe.
Nimeshangaa hadi sasa wafia chadema kama Erythrocyte hawajatuletea mahojiano hayo humu jamvini.
kama vile mbuni anavyoficha kichwa na kuacha mwili.
hebu...
Akitambulishwa bungeni na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha anayepewa sifa ya kuwa 'kiboko ya Ali Kamwe' amelitikisa Bunge baada ya kusimama, ambapo Wabunge walipagawa kwa furaha na kumpigia makofi mazito, ishara ya kukumbuka tukio lake na Msemaji wa Yanga...
Unyakuo ni tafsiri ya Kiswahili ya neno la Kiingereza "rapture."
Unyakuo ni tukio litakalotokea siku Yesu atakapokuja kuwachukua watakatifu, yaani watu waliookoka, na kuwapeleka mbinguni. Ni tukio litakalofanyika ghafla(kufumba na kufumbua)!
Maana itatolewa amri, sauti ya malaika mkuu, sauti ya...
Heshima zenu wakuu.
Leo nawaletea mpangilio(timeline) au mtiririko wa mambo mazito sana yatakayotokea Yesu atakapokuja. Maandalizi yanayofanyika nchini Israeli, ya kujenga hekalu la tatu, ni ushahidi wa wazi kuwa Yesu amekaribia kuja...
Katika mji wa Moshi, kumekuwa na hali inayotia wasiwasi kutokana na kuingia kwa malori mazito yenye uzito wa zaidi ya tani 10 hadi 40 katikati ya manispaa.
Hali hii imesababisha uharibifu mkubwa wa barabara na miundo mbinu ya maji taka, ambapo mji umejaa mashimo na hali mbaya ya miundombinu...
Kufuatia kitendo cha makombora kurushwa tokea Lebanon kuelekea Israel, Israel imeshambulia targets mbalimbali za Hezbollah kusini mwa Lebanon. Hezbollah hawajasema kuwa ni wao ndio waliorusha, lakini Israel inaamini ni Hezbollah. Netanyahu ameahidi kufanya mashambulizi makubwa zaidi dhidi ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais Biden amebakiwa wiki 2 tu kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais Trump
Ameamua kuidhinisha msaada wa Mwisho Kwa taifa takatifu kabla ya kuondoka
Mungu ibariki Israel
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Biden administration prepping $8 billion arms package...
Ukifuatilia waumini wa dini kubwa mbili za Ukristo na Uislamu utagundua huwa wanajikita au wanajielekeza katika mambo mepesi zaidi huku wakiwa hawatilii mkazo yale mazito ambayo yangeboresha maisha ya watu wanaowazunguka.
Mfano katika dini ya Ukristo kuna kitu kinaitwa Golden rule/ sheria ya...
Ripoti za awali zinaonyesha mashambulizi makali ya mizinga ya Saudia yakilenga Saada, eneo linalodhibitiwa na Ansar Allah kaskazini magharibi mwa Yemen.
Sambamba na hilo, ripoti zinaonyesha Baraza la Mpito la Kusini mwa UAE (STC) linaloungwa mkono na UAE limeanzisha mashambulizi ya kushtukiza...
Nilikuwa nafuatilia kwa ufupi baadhi ya viongozi na umri wao wa kuanza kubeba majukumu ya kitaifa nikagundua walikuwa na umri mkubwa.
Kwa mfano: Juliasi. K. Nyerere alianza darasa la kwanza akiwa na umri wa miaka 12. Na woote viongozi wa kizazi chake walianza shule kwa umri huo.
Rashid Kawawa...
Kijana mmoja anayeitwa Kimario amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa
=====================================
Depression - hali hii humpata mtu yeyote yule kutokana na kuwa na huzuni / majuto muda mwingi kwajili ya matukio ya kijamiii, familia...
Jana tarehe 14/11/2024 wakati wananchi mbalimbali wakiuaga mwili wa marehemu Lawrence Mafuru katika viwanja vya Karimjee. Askofu Mkuu wa Kanisa la Wasabato alitoa mahubiri mazito sana, moyo wangu unatamani sana kila mmoja ayasikilize pia natamani sana kila kiongozi aliye pewa dhamana haswa...
Assume dunia nzima au watanzania wote tupo kwenye msiba wako tunakwenda kukuzika sasa kwa ufupi tu ungepewa nafasi uandike mambo ya mwisho siku za mwisho za uhai wako ungesema hoja gani wosia wa kutuachia sisi tunaobaki.
je yupo mtu ambaye ulimpenda na yeye hakukupenda ungependa ajue au yupo...
NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Miundombinu), Mhandisi Rogatus Mativila amewaagiza Maafisa Ustawi wa Jamii kuhakikisha wanahamasisha uanzishwaji wa vituo vya kulelea Watoto Wadogo Mchana vya Kijamii katika vijiji/mtaa na kuwasilisha taarifa hii ifikapo Januari 30, 2025.
Mhandisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.