Mazingira ya kuajiriwa ama kujiajiri Tanzania ni magumu sana.
Kwanza, Serikali imehodhi shughuli karibu zote za kiuchumi, leo kandarasi zote za ujenzi wa ofisi za umma inapewa TBA, NHC, Ardhi University au taasisi nyingine za umma. Kwenye ufundi wa vyombo vya moto na elektroniki ni TEMESA...