Cuba ilitumbukia gizani kwa mara ya pili katika muda wa chini ya wiki moja Jumamosi, Machi 21, baada ya mtandao wake wa kitaifa wa nishati kushindwa tena, ukiwa umeathiriwa na miundomsingi iliyozeeka na kizuizi cha mafuta kilichowekwa na Marekani.
Usiku ulipoingia, mitaa ya Havana mara nyingi...