mawaziri

  1. JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA imenufaika au imepata hasara na ujio wa Mawaziri Wakuu wastaafu? Je, ina la kujifunza?

    Nadhani huyu ndiye atakuwa Waziri Mkuu mstaafu wa mwisho kuwepo Chadema. Nikitizama Salim, Warioba, Msuya, Pinda na hata Majaliwa sioni uwezekano wowote wa Chadema kupewa fursa ya kumhifadhi Waziri Mkuu mstaafu tena. Ukichunguza kwa makini utabaini kuwa ujio wa mawaziri wakuu umeiumiza mno...
  2. JamiiForums Tanzania Mkutano nchi za Afrika na NORDIC: Rais Magufuli awakaribisha wawekezaji kuwekeza nchini, kwa sababu kuna amani na ukuaji mzuri wa uchumi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameshiriki Ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa Nchi za Afrika na NORDIC unaofanyika akatika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es Salaam. ===== HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWA...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Rais si mkweli, Mawaziri si wakweli, Mkuu wa jeshi, mkuu wa polisi na polisi wake SI WAKWELI.

    Uongo umeshakuwa kitu cha kawaida katika nchi yetu, Serikali yetu haikuwahi kuaminika na itaendelea kutoaminika. Rais si mkweli, mbabe, ukandamizaji wa haki za raia, matumizi mabaya ya madaraka, matumizi mabaya ya fedha za umma (Bado tunadaiwa mabilioni kama siyo matrillioni ya shillingi...
  4. JamiiForums Tanzania Ludovick Utouh: Sijawahi wala sitakuja kujuta kuhusu ripoti ya 2012 iliyosababisha Mawaziri 8 kujiuzulu

    Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh, amesema wakati wote hajawahi kujuta na wala hatakuja kujuta katika ripoti yake ya mwaka 2012 iliyosababisha mawaziri wanane kujiuzulu. Utouh ametoa kauli hiyo jijini Dodoma leo Oktoba 26, 2018 wakati akizungumzia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…