Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, Jumanne Mei 06.2025 kesi mbili (2) zinazomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu zinaendelea kwa njia ya mtandao Mahakamani hapo
Mmoja wa Mawakili wa utetezi Wakili Jebra Kambole...
Mawakili, Peter Kibatala na Jebra Kambole wanaomwakilisha Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu katika kesi za uhaini na kuchapisha taarifa za uongo mitandaoni wamelalamikia kauli zilizotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa wakisema zinaingilia kesi hizo katika Mahakama ya Hakimu...
Watu wote isipokuwa wawili tu ndio wenye akili huko timu makayabo.
Sijawahi kuona timu ambalo mtu wao akisema uongo wa kuwa feva watu wote waunakili unakuwa sehemu ya kauli zao.
Mfano walidanganywa eti mnyama hajawahi kucheza fainali kombe la CAF wakaamini na kuanza kupropaganda...
Mahakama itoe uamuzi wa hoja za mawakili wa Lissu, halacu DPP akate rufaa kama ilivyokuwa kwenye kesi ya Dk. Slaa.
Huku uhaini unasubiri upelelezi, huku t unasubiri rufaa
MAWAKILI WAKO KAZINI KWA HOJA HIZI-
1. Lissu kagoma kuhudhuria Mahakama kwa njia ya Matandao. Anataka aletwe Mahakamani kwa mujibu wa sheria.
2. MAWAKILI wametoa hoja nzito sana kwamba kwa kuwa shauri limepangwa kusikilizwa kwa awali [Preliminary Hearing] masharti ya kifungu cha 192 [1] cha...
Tetesi zimevuja kwamba hii kesi ni ya aina yake.
Duniani kote kesi kama hii huwa inaleta gumzo na kuvuta Attention ya Watu wengi ndani na nje ya Nchi.
Imesanuka kwamba takribani Mawakili wasomi zaidi ya 800 watashiriki ktk kutetea kesi ya Tundu Lissu hapo April 24, 2025.
Angalizo: Mawakili...
Kwa nchi ilipofikia bila hatua madhubiti, viongozi baadhi wa serikali wanaweza kuamua jambo lolote hatari la kuhumiza watanzania wenzao kwa kisingizio Cha kulinda amani ya nchi.
Wanasahau pasipo HAKI kutamalaki hiyo AMANI wanayo ubili ni sawa na kusukuma UPEPO.
Baadhi ya viongozi wa CCM...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza S. Johari amesema kuwa katika jitihada za kukuza umahili wa Mawakili wa Serikali nchini kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo usuluhishi wa migogoro na uandishi wa Sheria amesema kwamba Ofisi yake imeandaa mafunzo ya siku tano ambayo yatawaleta pamoja Mawakili...
Kwenye List mashuhuri za Mawakili Mahiri hapa Tanzania ukianza wale wa zamani utasikia ni akina Endrew Chenge, Akina Mkono, Dr Harrison Mwakyembe na akina Prof Kabudi.
Ukija kwa vizazi vya hivi karibuni list ni ndefu mfano
Peter Kibatala
John Mallya
Dickson Matata
Tundu Lissu
Peter Madereka...
Majaji wa Mahakama Kuu ni sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya Wakili, Jaji anaweza kumchukulia hatua za kinidhamu Wakili kwa kukiuka sheria ya uwakili The Advocates Act, siku hizi Mawakili wakishindwa hoja mahakamani wanatoka nje na kulaumu mahakama kuwa imekosea ili wananchi tuamini kuwa mahakamani...
Kumekuwa na changamoto kubwa katika suala zima la kupanga na kununua nyumba, mashamba, magari na kadhalika.
Hawa watu wanaojulikana kama madalali au 'mtu wa kati' wamekuwa wakifanya maisha kuwa magumu kila siku yaani ni kero kwa kifupi. Hawana huruma hata kidogo, imagine nyumba inauzwa milioni...
Katikati Hali ya kushangaza, mawakili wa Naibu wa Rais Mh Rigathi Gachagua wamekimbia kwenye bunge la seneti baada ya ombi lao la kuahirisha kikao Cha kumuondoa madarakani Makamu wa Rais mpaka Jumanne ya wiki ijayo kukataliwa.
Naona Gachagua kaamua kurusha taulo.
Pia soma: Naibu Rais Gachagua...
Ward tribunal kwa sheria ya sasa (mabadiriko ya 2021) wanafanya mediation.
Swali langu ni hili: Mediation ikishindikana, nani anapewa certificate ya ku certify failed reconciliation. Je ni yule aliyeleta hoja kwenye ward au hata yule mwingine anaweza kupewa certificate?
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu gazeti la Mwananchi Jumatano ya leo, 2 October, 2024
Watanzania walio wengi, hata wenye uwezo, hawazijui haki zao, kunapotokea vifo vya kizembe vya wapendwa wao, lakini hata wakizijua haki zao, Watanzania walio wengi ni masikini wa kutupwa, hivyo hata wakizijua...
Mawakili wa Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina wamejibu hoja za pingamizi la Serikali katika kesi ya Kikatiba aliyoifungua dhidi ya Spika wa Bunge la Tanzania na wenzake wawili, kuwa pingamizi hilo halina mashiko na wakaiomba Mahakama ilitupilie mbali.
Katika kesi hiyo ya Kikatiba, Mpina...
Mahakama Kuu ya Tanzania masijala kuu ya Dodoma imebaini upendeleo katika muundo wa Kamati ya Taifa ya Maadili ya Mawakili (National Advocates Ethics Committee) baada ya Wakili Peter Madeleka kuwasilisha shauri la kikatiba akipinga wajumbe wa kamati hiyo, akidai wana mgongano wa kimaslahi...
Sote tu Mashuhuda wazuri wa baadhi ya habari zinazotangazwa katika Vyombo vya habari na Mitandao ya Kijamii kuhusu Kesi zinazoendelea, ambapo kuna baadhi ya kesi nyingi hushtakiwa nazo watu pasipo hata wao kutenda makosa hayo.
Lakini Baadhi ya Mawakili wanaojua Vizuri Sheria na waliopita...
Naona chadema imejitolea kikosi cha mawakili wanaowawakilisha makada wake katika kesi nyingi, ili sasa wamuwakilishe Luhqga Mpina katika kesi zinazohusu mambo ya sukari, pia kesi inayohusu Mpina kufukuzwa Bungeni.
Haijafahamika kwa nini Mpina amechagua mawakili wenye mlengo na itikadi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.