mawakala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

    Wakuu, Tunafarijika kuwafahamisha kuwa tumerejea hewani baada ya kupata mashambulizi ya makusudi yenye kulenga kuzuia upatikanaji wa huduma kwa watumiaji wa JamiiForums (DDOS Attack) kwa takribani masaa 7, kuanzia saa 7 mchana hadi saa 2 usiku. Mashambulizi haya yaliyolenga kuidhoofisha...
  2. Happiness1

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika Mawakala wa super gro Mikoa yote Tanzania

    Wanahitajika mawakala wa super gro Mikoa yote Tanzania VIGEZO 1. Muaminifu 2. Mchapakazi 3. Mtaji kuanzia 550000/= Wasiliana na mkurugenzi wa masoko Piga au WhatsApp 0767379911
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kuchakata uongo dhidi ya Simba na mawakala wake, wapandieni dau wako sokoni wanajiuza

    Mara mojamoja tu Simba warushieni vijisenti hawa ndalakyuya, wako sokoni wanajiuza hawana tofauti na wale viumbe wa corner bar mwenye dau kubwa ndiye watamuheshimu na kumnyenyekea, wengi wao hawajui hata taaluma ya uandishi ni kitu gani, hopeless creatures Kwa sasa PESA ZA MWARABU...
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Vurugu zanukia Kenya, mawakala wa Odinga waishtumu tume kufanya uhalifu

    Mzee Odinga sijui kanusa kushindwa sijui Mawakala wake wamekuwa wakilalamikiwa na Tume kuzua vurugu kila mara kwenye ukumbi wa kuhesabia kura Bomas Wakala Mkuu wa odinga anasema Bomas imekuwa chumba cha uhalifu akimaanisha haamini mchakato wa uhakiki
  5. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Watalaamu wa masuala ya kifedha kupitia kwa mawakala naomba mawazo yenu katika hili

    Wakubwa kwa wadogo natanguliza salamu zangu kwenu nyote . Moja kwa moja niende kwenye mada husika . Ipo hivi hapa ofisi ninayofanyia kazi(sehemu ya biashara) dodoma area d kuna huduma za mawakala wa fedha zinafanyika hususan za simu na za kibenki.sasa leo kuna mtu kutoka singida kapiga simu...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Matrillioni ya pesa yanayokusanywa na makampuni ya Bima kupitia mawakala wao ni za serikali au ni za nani?

    Nimepiga hesabu za haraka haraka, na kugundua kwamba makampuni ya Bima hukusanya wastani wa Trilioni 3.5 kila mwaka kama malipo ya bima za aina mbali mbali, na pia malipo kwa ajili ya bima (hasa hasa kwa wahindi wanaochoma moto viwanda vyao kwa makusudi) kwa mwaka huwa hayazidi bilioni 100, na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania 'Uhuni' unaofanywa na Mawakala wa Kampuni za Bia unashangaza

    Wadau, salaam Kuna Mawakala wa kutangaza (promotion) bia za kampuni za bia nchini kama Tanzania Breweries Ltd na Serengeti Breweries. Yaani iko hivi, hawa Mawakala wao kazi yao ni kutafuta wasichana warembo na kwenda nao kwenye baa kubwa ambapo huwapa bia ili wazitembeze kwa wateja wa baa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini mawakala hawatoi risiti kwa mtumaji wa fetha?

    Kwa nini mawakala wa kutuma hela hawatoi risiti kwa mtumaji una ambiwa tu tayari imeenda. Au huyu mtumaji yeye siyo mteja na hana maana kabisa ila mteja ni yule anayepokea hela kwa sababu huyo yeye anapata stakabathi ambayo nayo ina mapungufu kwani inaoyesha tarifa za wakala tu wakati wakala...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mawakala wa movie za kutafsiri

    Habari za leo wanajamii. Kati ya post zangu za hapo nyuma niliongelea application niliyotengeneza ya kuondoa sauti za waigizaji kwenye movie za netflix ili niweze kuweka sauti za kiswahili. Kwa ufupi natafsiri movie kama wanavyofanya kwenye tv ila niuze mtaani. Tayari nimemaliza kufanya...
  10. flulanga

    JamiiForums Tanzania Tozo za Miamala: Mawakala hatuna majibu tukiulizwa na wateja kuhusu kurudisha makato ya zamani

    Mawakala tunalia hatuna majibu ya kuwapa wateja wetu pindi waulizapo 'vipi bado hawajarudisha makato ya zamani?' Mawakala tunabaki tunatoa macho na kujibu 'BADO' Tozo ya mihamala imeathiri kwa kiasi kikubwa wananchi na shughuli nzima ya biashara ya mihamala na biashara nyingine ndogo ndogo...
  11. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Polisi wavamia Ofisi za jimbo ACT Mbagala Kuu na kukamata Viongozi na Mawakala

    Ofisi ya Jimbo la Mbagala Kuu ya ACT Wazalendo imevamiwa na Polisi Mida ya jioni jana jumamosi na wakalazimisha kuwakamata watu wote waliopo ambao ni pamoja na viongozi na Mawakala kwa hoja kuwa wameweka mkusanyiko usio halali. Kwa hiyo Sasa RASMI mikusanyiko kote nchini HAIRUHUSIWI? Mkusanyiko...
  12. Chorter

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mawakala wa tangawizi kwa bei nafuu sana

    Tunajihusisha na uuzaji na usambazaji wa tangawizi, bei 1kg=800tsh Gunia kubwa(debe 12)=lak 1.4 Ni fursa kubwa kwa wafanya biashara za viungo na viwanda vinavyojihusisha na bidhaa za tangawizi kujipatia mzigo kwabei nafuu sana. Tunapatikana RUNGWE-Mbeya lakini mzigo usiozidi gunia 5...
  13. oscar classic

    JamiiForums Tanzania Mawakala wenzangu njoeni tuzungumze kuhusu haya makato mapya

    Wakuu. Ni matumaini yangu mu wazima wa afya. Moja kwa moja kwenye mada wakuu, katika bajeti ya Mhe. Mwigulu Nchemba alipendekeza kuwepo na tozo katika kila miamala ya kifedha itakayokuwa inafanyika, yale mapendekezo matekelezo yake yanaanza kesho 15 July. Sasa kilichonifanya niandike uzi ni...
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Hii sio fursa ni janja ya Mbowe kutafuta pesa. Yaani tumekuwa mawakala wa kusajili kadi za CHADEMA? Tuko hoi bin taabani

    "Ninawasihi vijana wenzangu najua tumepigika kweli kweli lakini awamu hii Chadema imeleta fursa. Kila kijana atakayekuwa wakala wa usajili wanachama wa Chadema, kila utakaposajili mtu mmoja unapata shilingi mia tano." Mhe. John Pambalu
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi yawataka mawakala wa vyama vya siasa na wasimamizi kuzingatia sheria za Uchaguzi katika Uchaguzi mdogo wa muhambwe, buhigwe na kata 5

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema vyama vya siasa vinavyoshiriki Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika majimbo ya Muhambwe na Buhigwe mkoani Kigoma na Uchaguzi wa Udiwani katika kata tano za Tanzania Bara, vina wajibu wa kuweka mawakala kwenye vituo vya kupigia na kujumlisha kura lakini mawakala hao...
  16. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania TCRA: Mawakala wa mitaani ruksa kusajili line za simu

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeondoa zuio la kampuni za simu nchini kuwatumia mawakala kusajili laini za simu mitaani. Akizungumza Jumatano Aprili 14, 2021 mkurugenzi wa mamlaka hiyo, Dk Jabir Bakari amesema mamlaka hiyo imeondoa zuio hilo na sasa kampuni za simu zitaendelea...
  17. Nyumba Nafuuu

    JamiiForums Tanzania Nyumba zaidi ya 30 za Kitanzania ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako

    Zifuatazo ni Aina Kadhaa za Nyumba za kuishi Familia ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako. Zipo ktk uwanja mpana wa STAILI, KIASI CHA KIWANJA, KIASI CHA VIFAA... Kutazama Ramani Zake za Ndani +255-657-685-268 WhatsApp 1 ==> vyumba 3, tofali 1700, bati 50 2 ==> vyumba 3...
Back
Top Bottom