Mawakala wenzangu njoeni tuzungumze kuhusu haya makato mapya

oscar classic

JF-Expert Member
Mar 21, 2020
732
1,326
Wakuu.

Ni matumaini yangu mu wazima wa afya.

Moja kwa moja kwenye mada wakuu, katika bajeti ya Mhe. Mwigulu Nchemba alipendekeza kuwepo na tozo katika kila miamala ya kifedha itakayokuwa inafanyika, yale mapendekezo matekelezo yake yanaanza kesho 15 July.

Sasa kilichonifanya niandike uzi ni haya makato yanayoongezeka kwa mteja anayetoa pesa, makato yamekuwa makubwa sanaa. Wasiwasi wangu ni wateja kuamua kukacha kuweka pesa kwenye simu kitu kitakachopelekea kushusha kipato chetu sisi mawakala.

Wakuu hii imekaaje aisee!?
 
View attachment 1853651

IMG-20210714-WA0013.jpg
IMG-20210714-WA0013.jpg
 
Wakala atapiga sababu wengi wa wateja hawatatuma pesa tena kwenye mitandao yao. Watampelekea wakala akatume
Kwanza watu wengi hata kabla ya izi tozo walikuwa wanatuma pesa kwa mawakala,
Ni watu wachache sana wanatumaga pesa kutoka kwenye simu zao moja kwa moja.
Hata hivyo miamala ya kutoa ndio ina mlejaa mkubwa kidogo.
So Wakala hana faida yeyote hapa
 
Lengo hasa ni watu watumie Bank au kupata fedha maana ni kama mkomeshen......

Jamaa katoa boko sana

Hayo makato ya kutuma na kutolea ni bora umpe boda apeleke au upande gari uende tu.... Miamala ita drop sana
 
Back
Top Bottom