Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa nyakati fulani limewahi kufanyia uchunguzi baadhi ya video zilizodaiwa kuchukuliwa kwenye baadhi ya maneno...
Tangu tupate Uhuru haijawahi kutokea Mkuu wa Majeshi (CDF) kulihutubia Taifa kwa njia yo yote ile. Jambo lililo wastaajabisha wengi ni pale CDF General Mkunda alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari na kumuunga mkono IGP katika harakati za kuua wananchi kwa kisingizio cha kuzima maandamano ya...
https://youtu.be/HxhQsqOlugM?si=S5Qr178OFL9BN_5w
Mzanzibari, Haji Omar Kheir swaiba na mshauri wa Samia kwenye masuala ya kisiasa aingie kwenye orodha ya wataowajibishwa kwenye mauaji ya maelfu ya watanzania yaliyofanywa na serikali.
Hakuna wa kusamehewa hakuna kusahau.
Lazima avae karoti!!
Kumekuwa na wimbi la baadhi ya members kubeza juhudi za umma, kudhihaki wale wote waliouawa kikatili na na serikali iliopo madarakani.
Wanaenda mbali zaidi na kutishia members wengine kuwa chamoto watakiona, kama haitoshi wamekuwa wakipita pm za watu na kuwatishia.
Wao naona familia zao na...
Wakuu,
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki moja kwa moja katika mauaji ya halaiki ya Watanganyika zaidi ya 2,000, yaliyotekelezwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama, pamoja na askari wa kukodi (mercenaries) waliotoka Uganda na Zanzibar, katika kipindi cha uchaguzi mkuu...
Maandamano ya baadhi ya Watanzania wanaoishi Uholanzi yameripotiwa kuanza muda huu nje ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) mjini The Hague. Waandamanaji wamebeba mabango wakipinga kile wanachokiita mauaji ya raia nchini Tanzania, na wakitaka uchaguzi ufutwe ili, kwa madai yao, “wananchi...
Kwa kweli CCM ya sasa haistahili hata kuwepo madarakani.
CCM sasa hivi ni Cha Cha Mauaji.
Kimeiagiza serikali inacho kiongoza kuua wananchi.
Chama cha Mauaji kinakosa kuwa chama kinacho wakilisha maoni ya wananchi.
GT.
Tunaomba watanzania wote kwa umoja wetu tushikamane kuhusu hili mauaji ya October 29 hayakubaliki hiyo December 9 tutoke kwa amani kuukemea huu unyama wa samia.
1. Asasi za kiraia zote muwe mstari wa mbele
2.TLS na THRC Mtuongoze mstari wa mbele kabisa
3. Akina mama wote mliouliwa...
Fuatilia historia ya Afrika Kusini na harakati zao za kutokomeza ubaguzi wa rangi.
Kuna kitu walikianzisha kinaitwa "Umkhonto we Sizwe". Hii ni project maalumu iliyoanzishwa baada ya mauaji yanayojulikana kama "Sharpeville Massacre" yaliyotokea March 21, 1960 baada ya serikali kutumia nguvu...
Wakuu
Hii issue ishakuwa serious
--------------------------
Mtangazaji wa CNN, Larry Madowo, ametoa wito maalum kwa wananchi wa Tanzania ambao wamepata matukio ya polisi na magenge yake kupiga risasi na kuwaua raia wakati wa maandamano ya amani Oktoba 29,, kutuma video, picha na nyaraka...
KAULI YA ACT WAZALENDO KUFUATIA MAUAJI YA TAREHE 29/10/2025 NA SIKU ZILIZOFUATA BAADA YA UCHAGUZI
Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kikao cha Kamati ya Uongozi Taifa, kilanaani vikali ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu uliofanywa dhidi ya wananchi kuanzia tarehe 29 Oktoba 2025, katika maeneo...
Picha hii ilichukuliwa tarehe 1 Novemba ikionyesha mahala ilipozikwa miili ya watu walouawa karibu na msikiti kwenye mji wa ElFashar nchini Sudan: Picha na Aljazeera.
Chuo Kikuu cha Yale kilichopo nchini Marekani ni moja ya vyuo vikuu vikubwa nchini humo kilojikita kwenye sayansi na uvumbuzi...
Kwanza nitoe angalizo mimi sio mwanachama wa chama chochote na hususan Chama tawala. Kwangu mimi nafahamu fika wanasiasa wengi wa kiafrika ni wachumia matumbo tu.
Tukija kwenye mada , Leo mange kimambi amepost habari kua askari wa kizanzibari wamefanya mauaji ya cold blood. Siungi mkono...
Huyu dada kaeleza kwa kirefu na kwa kina sana maiaji ya kutisha ya wananchi kutokama na maandamano ya kupinga uchaguzi usio huru, usio wa haki na dhulma nyingine zinazofanyika nchini hasa utekaji watu.
Msikilize hapa.
https://m.youtube.com/watch?v=MP6X79ezJJA&pp=QAFIAQ%3D%3D
Awali ya yote napenda kuweka wazi kuwa sishabikii maandamano wala mauaji ya raia wasiokuwa na hatia. Niliyoshuhudia au kusimuliwa na watu kuhusu maauji ya baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025 yanahuzunisha sana na yamenifanya niamini kuwa jeshi la polisi Tanzania linafanya kazi kitutusa sana...
MY SIDE: HALI JINSI ILIVYOKUWA TAREHE 29. MAANDAMANO, USALITI, UHALIFU NA MAUAJI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kulikucha vizuri. Hali ya hewa ya jiji la Dar ilikuwa tulivu.
2. Saa moja unusu nilikuwa nje kijiwe ninapokaaga siku ya jumapili(offday) lakini siku hiyo ya jumatano...
The last couple of days, tumeshuhudia ndugu, marafiki, na jamaa zetu, wakubwa kwa wadogo wakiuwawa bila huruma yoyote. 💔
MAY THEY REST WELL!
Tunayopitia ni magumu, ila kwa neema ya Mungu na kwakufarijiana, tutafika.😔
Kila nikiingia online nakutana na videos mpya za watu waliouwawa, ama...
Media za Tanzania zinapaswa kulaumiwa sanaa kwa kilichotokea na kinachoendelea kutokea haiwezekani media za nje ndiyo zitoe ripoti kuhusu maovu na mauaji yaliyotokea kwa vijana wetu, uchafu unaofanywa na serikali ya huyu mama lakini media za ndani zipo kimya kazi kupaka mafuta
Kwa hali hii...
Mbari ya Gen Z iliuawa na mbari ya watawala.
Mbari ya wasio chawa iliuawa na machawa
Mbari ya wasio CCM imeuawa na CCM.
Kuna mauaji ya kimbari Tanzania.
ICC inaweza kuanza kuchunguza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.