mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Iran: Watu 36 wajeruhiwa katika maandamano kupinga kifo cha mwanamke ambaye alishikiliwa na polisi kwa kutositiri kichwa

    Mataifa yanayoongozwa kidini huwa kama mazombi vile, mwanamke anauawa kisa tu hakufunika kichwa, watu wamejeruhiwa kwenye maandamano ya kupinga mauaji hayo. ====== At least 36 people have been injured in the Kurdistan Region of Iran, in the northwest of the country, during protests sparked by...
  2. Mauaji yanayoongezeka yatokanayo na wivu wa mapenzi nini kifanyike?

    Wakulungwa wa Jamii forums, wasalaam. Kama tujuavyo hizi topic za mauaji kwa jina la wivu wa mapenz naona zimekua too much sasa Dodoma week hii nadhani kama sikosei yalikua matatu Mbeya napo mtu kaamua kunywesha sumu familia nzima. Mimi kwa mtazamo wangu naona panatakiwa kufanyika jambo kwa...
  3. Kwanini vyombo vingi vya habari siku hizi vinareport sana matukio ya Mauaji na Vifo?

    Niende moja kwa moja kwenye hoja, siku za hivi karibuni kila ukiingia mitandaoni kama Instagram, YouTube, twitter, na hata hapa jamii forums, au ukiangalia channels nyingi za habari hapa Tanzania lazima ukutane na taarifa nyingi za mauaji ya kikatili au watu kujiua (suicide). Kwanini vyombo vya...
  4. R

    Mbeya: Mwalimu aua mke na watoto wawili, naye ajiua kwa kunywa sumu

    Kitongoji cha kibumbe, kata ya Kiwira wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya mke, mume na watoto wawili wakutwa wamefariki ndani ya nyumba na miili yao ikiwa imeharibika. Mdogo wa marehemu (mke) kutoka Mbeya Mjini alisema zaidi ya wiki moja alikosa mawasiliano na familia hiyo ambao wote ni walimu, hivyo...
  5. SoC02 Tuimbe wimbo wa amani na upendo kabla hayajatokea mauaji ya kikatili

    Ukatili ni hali ya kusababisha kwa makusudi mateso na kukosesha raha dhidi ya mtu mwingine,ilihali lipo suluhisho la wazi linaweza kupatikana kwa urahisi Unaweza kuwa ukatili wa kukatisha uhai wa mtu au mnyama, ukatili wa kingono , ukatili wa kunyima haki mtu ,kundi la watu au taasisi...
  6. Polisi wabanwa, wakiri madai ya kuhusishwa na Mauaji, waamua Kujichunguza

    Wananchi Walitetea Jeshi,wataka wazazi Kutolinda Wahalifu
  7. Urusi ifanye jitihada za kuokoa hawa wanajeshi 10,000 hatutaki kuona mauaji ya kimbari

    Kwenye juhudi za kuokoa miji yao, Ukraine wameishia kuzingira wanajeshi 10,000 wa Urusi. ======== Two days after punching through Russian defenses outside the city of Kharkiv, Ukrainian forces have fought all the way to Kupyansk, a critical node in Russia’s supply lines in Kharkiv Oblast in...
  8. Mganga wa jadi jela kwa kosa la kumuua mwenzake wakigombea mwanamke

    Mganga wa kienyeji, Ismail Ramadhani (27) amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mwanaume mwenzake bila kukusudia, wakiwa wanagombania mwanamke. Ramadhani ambaye ni mkazi wa Vingunguti jijini Dar es Salaam, amehukimiwa kifungo hicho leo Jumanne...
  9. Mbeya: Amuua mwanafunzi mwenzie kwa shoka baada ya kushindwa kumbaka

    Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Sinde jijini Mbeya, Faraja Kasole (16), ameuawa kwa kukatwa na shoka shingoni na mwanafunzi mwenzie aitwaye Humphrey Ngogo (17) mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya sekondari Iduda, baada ya kushindwa kumbaka. Chanzo cha mauaji hayo...
  10. Mbunge Mteule wa Kimilili akana mashtaka ya mauaji dhidi yake

    Mbunge wa Kimilili, Didmus Barasa, anayedaiwa kumuua kwa Risasi Brian Olunga amekanusha mashtaka hayo huku Wakili wake Nathan Tororei akiomba aachiliwe kwa dhamana Upande wa mashtaka umeomba Mahakama hiyo kumpa Barasa dhamana ya gharama kubwa kutokana na aina ya kosa analodaiwa kutenda pia...
  11. Askari 10 wakamatwa kwa mauaji ya watuhumiwa Colombia

    Mbali na askari hao pia, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini humo, Jenerali Jorge Luis Vargas ameagiza Kanali wa Polisi Benjamín Núñez atafutwe na akamatwe kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya vijana watatu. Askari waliokamatwa wanadaiwa kuwapiga risasi na kuwaua vijana watatu wakiwa chini ya ulinzi...
  12. Serikali iunde tume kuchunguza tuhuma za mauaji yanayodaiwa kufanywa na askari wa hifadhi ya pori tengefu la Selous. Hali ni mbaya

    Selous hifadhi ya pori tengefu au pori la akiba kwasasa ndilo pori linalotegemewa sana na TAWA. Kama kawaida ya binadamu hakosi alternative pale anapozidiwa njaa au shida. Vijana wanaingia kwenye hifadhi mbalimbali kutafuta chochote kitu ili wapate kujinasua aidha kwenye njaa au wajinasue...
  13. Hii ngoma nzito! Ukraine yashutumiwa kwa mauaji ya mtoto wa Alexander Dugin

    Urussi wameishutumu Ukraine kwa kuhusika na mauaji ya mtoto wa Alexander Dugin nguli wa siasa za kijamaa ambaye ndiye anayeaminika kuchochea vita vya Ukraine, huyu mwamba kama humjui alishawahi kutamka Ukraine inatakiwa ifutwe kwenye uso wa dunia ,USA wamempiga ban ya kuingia mataifa ya ulaya na...
  14. Uhalifu wa Mauaji wafikia 11.5 Afrika Kusini

    Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Polisi nchini humo, Bheki Cele imeonesha kuwa mauaji yaliongezeka kwa 11.5% katika robo ya kwanza ya mwaka wa Fedha 2022/2023 kupitia takwimu za uhalifu. Cele amesema watu 6,424 wakiwemo Askari 18 waliuawa katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 ambayo ni ongezeko...
  15. Tanga: Miili ya watu yaokotwa ikiwa kwenye Viroba

    Gazeti la Nipashe la Agosti 17, 2022 limebeba kichwa cha habari "Miili ya Watu yaokotwa kwenye viroba" TANGA: MIILI YA WATU YAOKOTWA IKIWA KWENYE VIROBA Miili ya watu wawili imeokotwa ikiwa imefungiwa ndani ya mifuko ya sandarusi 'viroba' katika Kitongoji cha Dibabara, Kijiji cha Kwastemba...
  16. Dereva wa Daladala aliyemuua mkewe Dar kisha kukimbia, akamatiwa Lindi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Maarifa Hadith Matala (45), Dereva wa daladala, mkazi wa Kimara Suka Golani Wilaya ya Ubungo kwa tuhuma za mauaji ya mpenzi wake, Sharifa Twaha Nyamaishwa (31), Kondakta wa Daladala aliyekuwa mkazi wa Kimara Suka Golani Wilaya ya Ubungo...
  17. Masasi: Mfululizo mauaji ya kikatili kwa Wanawake, Polisi wataja wivu wa kimapenzi

    Kufuatia mfululizo wa mauaji ya kikatili hasa kwa Wanawake Wilayani Masasi Mkoani Mtwara, Jeshi la Polisi limedai kuwa vyanzo vingi ni masuala ya mapenzi. Kauli hiyo imetolewa baada ya tukio lingine la mauaji kutokea usiku wa kuamkia jana Agosti 11, 2022, ambapo mwalimu wa Shule ya Msingi Mbaju...
  18. Mtwara: Hofu ya mauaji ya kikatili Wasichana yatanda Masasi

    Mfululizo wa matukio ya mauaji ya kikatili hasa kwa Wasichana yaliyotokea hivi karibuni Wilayani Masasi Mkoani Mtwara kumetajwa kusababisha taharuki na hofu kwa wenyeji. Kwa mujibu wa taarifa za vifo hivyo tangu Januari hadi Agosti mwaka huu wasichana watano na mvulana mmoja wamekutwa wameuawa...
  19. Mali: UN yasema waliohusika mauaji ya raia 33 ni Wanajeshi wa Mali na Mgambo wa Urusi

    Imebainika kuwa Jeshi la Mali na "Askari Wazungu’ ambao inadaiwa ni Wanamgambo wa Kundi la Wagner la Urusi ndio waliohusika na mauaji ya raia 33, ambapo kati yao 29 wakiwa ni raia wa Mauritania na Wanne wa Mali. Hayo yamebainika katika ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) iliyoelezea kilichotokea...
  20. Lindi: Maofisa wa Magereza wanaotuhumiwa kwa mauaji wafikishwa Mahakamani mara ya nne

    Maafisa watatu wa magereza wanaotuhumiwa kwa mauaji ya mfungwa Mkoani Lindi, Abdallah Ngalumbale, wameendelea kusota rumande baada ya shauri la kesi yao kusikilizwa kwa njia ya mtandao, leo Agosti 3, 2022. Watuhumiwa hao wamefikishwa Mahakamani kwa mara ya 4 ambapo Hakimu Mfawidhi wa Mahakama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…