mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watu 13 kizimbani kwa mauaji ya watu watatu

    Watu 13 akiwemo Mtemi wa Sungusungu na Mwenyekiti wa kijiji cha Isakamaliwa mkoani Tabora wamefikishwa Mahakamani wakishtakiwa kwa mauaji ya wafugaji watatu wa Kata ya Isakamaliwa, wilayani Igunga. Mbele ya Hakimu wa Wilaya ya Igunga, Lyidia Ilunda Mwendesha Mashtaka wa Polisi wilayani humo...
  2. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Makaburi yenye kina kifupi - Mauaji ya Familia ya MCStay

    Hiki ni kisa nilichoanza kukifuatilia mwaka 2012, japo familia ilipotea mwaka 2010 na haikujulikana wamekufa au wametoroka hadi mwaka 2013 ambapo mabaki ya miili yao yalipatikana yakiwa yamezikwa jangwani. Baada ya uchunguzi Bw. Charles Merritt ambaye alikuwa rafiki wa Joseph Sr alipatikana na...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa mauaji ya mke amtumia sms mama mkwe

    Moshi. Ni matukio nadra kutokea katika jamii, baada ya mtuhumiwa anayesakwa kwa udi na uvumba na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mkewe, kumwandikia mama mkwe ujumbe mfupi (SMS), kuelezea ushiriki wake katika tukio hilo. Mtuhumiwa anadaiwa kutuma ujumbe huo wakati polisi wakiwa tayari wamechukua...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi: Kagera yaongoza kwa mauaji na kujinyonga, Mwaka 2022 kulikuwa na matukio 190

    Kaimu kamanda wa polisi wa mkoa wa Kagera Maketi Msangi amesema mkoa huo unaendelea kuongoza kwa matukio ya mauaji, kujinyonga na kujeruhi, ambapo kwa kipindi cha mwaka jana kulikuwa na matukio yasiyopungua 190. Akizungumza katika kikao cha kujadili namna gani ya kukabiliana na vitendo vya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Geita ndio unaongoza kwa mauaji nchini, kuna haja Serikali iufanye kanda maalum

    Baada ya kuona habari ya vijana waliomuua mama yao jana kisha na wao kuuawa huko Geita Naona mkoa huu ndio unaoongoza kwa mauaji nchini Mikoa ya kanda ya ziwa imekua kinara wa mauaji nchini yanayosababishwa na ushirikina, tamaa za mali, wivu wa mapenzi na mengineyo nadhani sasa Serikali...
  6. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Usaliti na mauaji katika mahusiano

    Inauma sana ukipata taarifa kuna mtu kajiuwa kisa (Mapenzi) siwezi kujaji sana maana kuna watu wanapenda mpaka wanakuwa addicted like(Mdogo angu) Kabla ujasalitiwa jiulize swali, mapenzi nini? swali la pili Je, upo sehemu sahihi, yaani uliyenae ndo chaguo lako au kuna mmoja alilazimisha nafsi...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mara: Adaiwa kujinyonga kwa kamba za viatu katika Ofisi za Kijiji baada ya kukamatwa akidaiwa kutompeleka mtoto shule

    Kuna taarifa mbaya toka Kijiji cha Sota, Kata ya Tai ,Wilaya ya Rorya Mkoani Mara ambapo Afisa Mtendaji wa kijiji hicho na mgambo wake wanatuhumiwa kumpiga hadi kufa ndugu Justine Chagwa Oliech na baadae kutundika mwili wake ndani ya Ofisi ya Mtendaji ili ionekane kajinyonga mwenyewe kwa kamba...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Mke wa Mwenyekiti auawa na kijana aliyemsaidia kwa kumpa hifadhi nyumbani kwake

    Kishobo Bukoba vijijni, mtaa wa Nyamisheni National Housing, kumetokea tukio la kikatili ambapo Paskali Kagwa aliyepewa hifadhi nyumbani kwa Mwenyekiti wa eneo amuua na kumbaka Hadija ismail (29) mke wa mwenyekiti na kutokomea kusikojulikana. Siku ya tukio Paskali alimpiga marehemu na kitu...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ripoti, Kagera: Ndani ya miezi miwili watu 33 wameripotiwa kuuawa

    Matukio ya watu wawili kuripotiwa kuuliwa kwa vitu vyenye ncha kali hivi karibuni Mtaa wa Kyaya, Kagera yameongeza mazingira ya hofu kwa baadhi ya Wananchi kutokana na mwenendo takwimu za mauaji kuongezeka. Akizungumzia hali hiyo, Kamanda wa Polisi wa Kagera, William Mwampaghale amesema “Kati...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Polisi wampe ulinzi mke wa Dr. Mwaka. Sakata la ndoa yao lina vita ya kiuchumi ambayo inaweza kupelekea mauaji

    Sitapenda kuchimba sana kwenye mgogoro wa ndoa Lakini naomba kusema machache kwenye sura ya usalama wa kila mmoja kwenye mgogoro huo! Ukitazama kwa juu juu unaweza kushangaa kwanini mambo yao ya ndoani yameifikia jamii. Lakini ukitafakali sana unagundua sakata lao ni sawa na moto, ulianza...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mbezi Beach kwa Zena: Mwili wa mwanaume wagundulika, inadaiwa ameuliwa kwa kuchinjwa

    Juzi tarehe 2/2/2023 Mjumbe wa Shina namba 9 Mbezi Beach B Bw. Daudi anasema alipigiwa simu akiambiwa kuna mtu ambaye amefia kokoni, ambapo alipofika eneo la tukio akakuta kichwa cha mwanaume huyo kimetenganishwa na kiwiliwili. Tukio hilo linaonekana kufanywa siku mbili au tatu kabla kutokana...
  12. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni, IGP Wambura na Ukimya juu ya mauaji ya kikatili yanayoendelea nchini

    Wakuu Salam. Mauaji ya kikatili yanayoendelea nchini hasa mikoa ya Mwanza, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, ona sasa Mtwara yanastua, yanakera, ni hali ya kutisha, hujui lini na wewe utafikiwa. Imefika mahali jamii inauliza hivi nchi hii sheria hakuna? hata tamko la mkuu wa jeshi la polisi kwa eneo...
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mauaji Uvinza: Afisa Misitu na Askari wa Jeshi la Akiba wauawa wakiwa doria. Serikali ioneshe makucha haraka

    Hello JF Habari za kuaminika toka Uvinza Kigoma kuna mauaji hatari yametokea maafisa misitu na Askari wa jeshi la akiba wameuawa vibaya, wahusika hasa TFS, jeshi la Polisi, Mamlaka ya Wilaya ya Uvinza na Mkoa wa Kigoma tafadhari onesha nguvu ya Serikali. Ni hatari sana ni hatari sana...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Singida: Wananchi walalamika mauaji ya watu mfululizo, ufukuaji makaburi na kuchukua nguo za ndani

    Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Manyoni imetakiwa kuchunguza mauaji ambayo yamekuwa yakiripotiwa kutokea mfululizo pamoja na vitendo vya ushirikiana vinavyohusisha kufukua maiti na kuchukua nguo za ndani na baadhi ya vitu vya thamani. Maagizo hayo yametolewa Januari 20, 2022 na Mkuu wa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Taifa la kidemokrasia linapaswa kuepuka kwa nguvu zote desturi na mila ya mauaji ya siri; hakuna maendeleo yakudumu kwenye damu inayolia

    Nimejaribu kutafakari ni kwanini wauaji wengi ukamatwa kirahisi baada Tu yakufanya mauaji ila waalifu wengine uchukua muda? Nimetafakari ni kwanini watu wengi wanaweza kukaa kimya pale wanaposikia ndugu Yao kauwawa lakini NI vigumu kusamehe likaisha? Nimejiuliza kwanini MTU maarufu akiuwawa...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Mauaji "Rudisha upanga wako Alani; atakayetumia upanga, atakufa Kwa upanga"

    KIKAO CHA MAUAJI; RUDISHA UPANGA WAKO ALANI, ATUMIAYE UPANGA ATAKUFA KWA UPANGA. Anaandika, Robert Heriel Yesu aliwahi kusema, kipimo utakachompimia mwenzako, ndicho hichohicho utakachopimiwa tena Kwa kufurika Akaendelea kusema; Atumiaye upanga, atakufa Kwa upanga. Bado akitetea falsafa...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Moshi: Waliotuhumiwa kuua walinzi wa Asante Tours na kupora Tsh. Milioni 65 washinda kesi

    Walioachiwa huru ni Erick Teete, Fadhili Mohamed, John Daniel, Nassoro Nassoro, Paschal Mushi, Ibrahim Mkindi, Robert Massawe na Juma Hamis Ramadhan. Uamuzi huo umetolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Moshi dhidi ya watuhumiwa walioshtakiwa kwa mauaji ya walinzi wa kampuni ya Utalii ya Ahsante Tours...
  18. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

    Kampuni ya Ulinzi (HOMASA SECURITY) inapata bahati ya kuingia mkataba na Bilionea ANDRON MENDES Mkataba huu unahusisha kumlinda Bilionea huyu nyumbani kwake na Pia kulinda kwenye ofisi ilipo kampuni yake ya KOPA GAS huko maeneo ya Skanska Tegeta karibu na IPTL. Bilionea huyu wa kitanzania...
  19. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Sengerema: Diwani wa Buzilasoga (CCM), David Shilinde afikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji

    Diwani wa Buzilasoga (CCM), David Shilinde na watu wengine 13 wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Getruda Dotto. Mbali na diwani huyo, yumo pia Mwenyekiti wa CCM Kijiji cha Ikoni B, William Nengo...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar: Waliomuua Wayne Derek Lotter wahukumiwa kunyongwa

    Hukumu imetolewa na Jaji Laila Mgonya wa Mahakama Kuu baada ya kuridhika na ushahidi kupitia mashahidi wake 32 ambao umethibitisha washtakiwa walitenda kosa hilo. Mwanaharakati wa ujangili na raia wa Afrika Kusini, Wayne Derek Lotter aliuawa Agosti 16, 2017 kwa kupigwa risasi akiwa kwenye Taxi...
Back
Top Bottom