Mali: UN yasema waliohusika mauaji ya raia 33 ni Wanajeshi wa Mali na Mgambo wa Urusi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Mali.JPG

Imebainika kuwa Jeshi la Mali na "Askari Wazungu’ ambao inadaiwa ni Wanamgambo wa Kundi la Wagner la Urusi ndio waliohusika na mauaji ya raia 33, ambapo kati yao 29 wakiwa ni raia wa Mauritania na Wanne wa Mali.

Hayo yamebainika katika ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) iliyoelezea kilichotokea Kijiji cha Robinet El Ataye Mkoa wa Segou, Machi 5, 2022.

Awali, kabla ya tukio hilo, kulizuka msuguano kati ya Mali na Mauritania baada ya raia hao kupotea katika mazingira tata wakati huo. Wakakubaliana kuunda timu ya pande zote kufanya uchunguzi lakini majibu hayajatolewa hadi sasa ambapo UN imetoa majibu ya uchunguzi wake.


=========================

Malian and 'white' soldiers involved in 33 civilian deaths, UN experts say

The Malian army and "white-skinned soldiers" were involved in the deaths of 33 civilians, according to an expert report to the UN seen by AFP Friday.

The bodies of 29 Mauritanians and four Malians were found near the village of Robinet El Ataye in the Segou region, where 33 civilians had been beaten and taken away on March 5, the UN Group of Experts on Mali said in a report to the Security Council late last month.

A diplomatic source in New York told AFP that the white soldiers were paramilitaries of Russia's Wagner group.

The civilians' disappearance stoked friction between Mali and Mauritania at the time.



Nouakchott accused the Malian army of "recurrent criminal acts" against Mauritanian citizens in the border region. Bamako said there was no proof its army was involved.



The two countries in mid-March launched a joint investigation but its results had not yet been published as of early August.

Western countries say Russian paramilitaries in Mali are mercenaries from the controversial Wagner group while Bamako describes them as "instructors" for its security forces.

The Malian army has conducted numerous military operations to "hunt down" jihadist groups in the Segou and Mopti regions of central Mali since the beginning of the year.

Its soldiers have been accused of abuses on several occasions by NGOs.

Source: France24
 
Warusi huwa wakatili sana, wengi najua mnawashabikia tu kisa dini inawaelekeza kuchukia Marekani ila mngejua Warusi walivyo mngetia akili.
 
Back
Top Bottom