mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania JWTZ ilipelekwa Congo, Comoro kudhibiti Utekaji na Mauaji dhidi ya Wakongo, Leo WATANZANIA Wanaotekwa, Wanauawa, Rasimali zao zinaibwa, JWTZ kimya?

    Aisee Tunaamdamana Oktoba 29 , kama mtaungana na na Watesi wetu basi, Capt Tesha na wenzake watatusaidia. Haingiii Akilini, Wanajeshi wa JWTZ wamefia huko Kongo, Comoro, Sudan Kwa sababu ya kuwalinda WANANCHI wa Nchi hizo. Leo hii Tanzania nzima Kuna opereshen ya kuwateka,.kuwaficha na kuwaua...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete Anampotosha Samia: Wakati Wake Alisimamia Demokrasia, Ajira na Kuepusha Mauaji

    Wanasemaga mchawi hatoki mbali au mchawi ni nduguyo Yaani Mstaafu wetu ndo amshauri Samia mambo ya ajabu kama haya 1. Wakati wa Kikwete Democrasia ila hai Leo anamshauri mwenzake apeleke wabunge wa Chama kimoja tu bungeni 2. Wakati wa Kikwete hapa kuwa na mauaji kama kipindi hiki. Watu...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa nini mauaji ya kimbari ya Wakristo Nigeria na DRC hayapewi uzito mkubwa kama Gaza?

    Maelfu ya Wakristo wameuwawa Nigeria kwa miongo miwili mfululizo na magaidi wa Boko Haram lakini hakuna kelele kubwa katika vyombo vya habari Africa wala popote duniani. Huko DRC magaidi wanachinja watu lakini hakuna kelele. Maisha ya Waafrika hayana thamani kama ya Waarabu na Wazungu?!
  4. JamiiForums Tanzania Inawezekana. Mauaji mengi yalifanywa na wahusika wa Mtandao kipindi cha Magufuli au Walimshawishi naye hakuwa smart kugundua

    Inawezekana. Mauaji mengi yalifanywa na wahusika wa Mtandao kipindi cha Magufuli au Walimshawishi naye hakuwa smart kugundua. Mnakumbuka mauaji ya Kibiti?yalikuwa organized na watu wa juu sana ndani na nje ya Serikali. Polisi walishindwa kuyathibiti sababu taarifa zilikuwa zinavuja kila...
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu ya Kenya yaamuru Kukamatwa kwa Raia wa Uingereza kwa Kesi ya Mauaji

    Mahakama Kuu ya Kenya imeamuru kukamatwa kwa raia wa Uingereza anayetuhumiwa kumuua Agnes Wanjiru karibu na kambi ya mafunzo ya jeshi la Uingereza huko Nanyuki miaka 13 iliyopita. Mwili wa Agnes Wanjiru, mwenye umri wa miaka 21, ulikutwa ndani ya shimo la choo mnamo Aprili 2012, wiki chache...
  6. JamiiForums Tanzania Donald Trump: Muuaji wa Charlie Kirk tayari tumemtia nguvuni

    Trump amesema assasin wa Charlie Kirk ameshikwa tayari na amependekeza anyongwe kwa mujibu wa sheria. Soma Pia: Marekani: Charlie Kirk afariki dunia baada ya kupigwa risasi
  7. R

    JamiiForums Tanzania Picha na video za anayeshukiwa kwa Mauaji ya Charlie Kirk

    FBI yameitisha mkutano na waandishi wa habari na kuachia video mpya ikimuonyesha mtuhumiwa akiondoka eneo la Utah Valley University baada ya tukio la kumpiga risasi Charlie Kirk. Source: AFP & CNN
  8. JamiiForums Tanzania BBC yarusha habari kuhusu wakosoaji wa Serikali wanaotekwa, kupotea au kuuawa

    Katika amka na BBC leo asubuhi tarehe 03/09/2025, shirika la utangazi la BBC limejaribu kuwataja watu wanaowaua wakosoaji wa serikali, akiwemo Shadrack Chaula (Car of God) kutoka mkoa wa Mbeya aliyetekwa mwezi mmoja baada ya kunusurika kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kuchoma picha ya Samia...
  9. JamiiForums Tanzania Manyara: Mwanafunzi auawa, mganga wa kienyeji atajwa chanzo cha mauaji

    Polisi mkoani Manyara bado wanamsaka mganga wa kienyeji anayetuhumiwa kutoa utabiri wa uongo uliosababisha kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne.Mwanafunzi huyo, Yohana Konki (17), alidaiwa kupigwa hadi kufa na wenzake baada ya kuaminiwa kuwa ameiba kompyuta mpakato (tablet). Yohana, ambaye...
  10. JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga: Kijana usishiriki dhambi za mauaji wala kuteka watu

    "Kijana usishiriki dhambi za mauaji...." Hakuna mwenye haki ya uhai juu ya mtu mwingine Dondoo ya Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga wa Jimbo Kuu la Mbeya katika kongamano la 6 la VIWAWA taifa 2025,
  11. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali na Polisi Kilimanjaro mnataka mauaji yatokee Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai ndio mje kutoa salamu za rambirambi?

    Hofu kubwa imetanda kwa Wananchi wa Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro kutokana na uvamizi unaofanywa na wafugaji wa Kimasai kwa Wakulima Maskini wa kijiji hiki huku uongozi wa kijiji hasa Mwenyekiti ukishutumiwa kupokea rushwa kutoka kwa hawa wafugaji ambao ni wageni eneo...
  12. JamiiForums Tanzania Geita: Askari wanne wa Jeshi la Uhifadhi wakamatwa kwa tuhuma za mauaji

    Baada ya mdau kuweka uzi hapa jukwaani, akihoji ukimya wa TFS na Jeshi la Polisi juu ya mauaji yaliyofanywa na askari hao kwenye pori la uhifadhi (Kwa maelezo ya tukio hilo ingia hapa: DOKEZO - GEITA: Kuna Kijana ameuawa kwa kupigwa risasi na Askari wa Hifadhi ya Pori la Kigosi, TFS na Jeshi la...
  13. JamiiForums Tanzania Jamaa ambaye alitunukiwa dola milioni 4 baada ya kufungwa jela miaka 24 kimakosa kwa mauaji amerudi gerezani kwa kumuua mtu mmoja kwa deni la $1,200

    Mwamba alivyochomoka tu akarudi kudeal na ngada, akamkopesha mtu ngada ya thamani $1200, akashindwa kulipa, mwamba akaamua ammalize..
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wasiopaza sauti zao kupinga utekaji na mauaji mkifa kwetu wananchi ni sherehe

    Habari hii iwafikie wote na napenda kutoa angalizo tusije kulaumiana baadae na kutafutiana ubaya Kama wewe unajijua ni kiongozi wa serikali au ni kiongozi wa kidini au kama wewe ni msanii au mwanamuziki au mtu mwingine yeyote wenye ushawishi katika jamii ambae mpaka sasa haujatumia nafasi yako...
  15. JamiiForums Tanzania Simulizi ya Karata ya Mauaji kuachiliwa Jumamosi

    NI KIPI SIASA IMETUAHIDI? KIFO, UKOMBOZI AU MAPINDUZI? KUWA SEHEMU YA HISTORIA YA UHURU WA MAPINDUZI YA KISIASA. KARATA YA MAUAJI ✅ Kwenye ulimwengu wa kibebari dunia haina ukoloni tena wa watu weupe kutawala sehemu mbali mbali za dunia watu weusi ndio ambao wanawatawala wenzao lakini...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Makundi ya haki za Binadamu ya Israel yatoa ripoti kuilaani serikali yao kwa Mauaji ya Kimbari(Genocide) huko Gaza

    Baada ya taatifa ya taasisi ya haki za binadamu ya Amnesty ya miezi michache iliyopita, taasisi ya haki za binadamu ya nchini Israel ya B'Tselem nayo imetoa taarifa kuwa wamejiridhisha vya kutosha kuwa serikali ya nchi yao inafanya mauaji ya Kimbari huko Gaza. Wakihojiwa na mwandishi wa habari...
  17. JamiiForums Tanzania Vympel: Kikosi cha siri kinachotumiwa na Kremlin kuwaangamiza maadui wa Putin nje ya Urusi.

    Hiki ni kikosi cha siri ndani ya shirika la ujasusi la urfusi yaan FSB kinachoundwa na watu hatari zaidi zaidi duniani. naam wakuu hawa qatu ni hatari kuliko hatari yenyewe wanaua popote duniani na mda wowote. wanatumia sumu bunduki karate judo yaani kila njia ili tu kazi waliopewa ikamilike na...
  18. JamiiForums Tanzania Uhalali wa Mauaji: Je, Tunaongozwa na Waliokosa Amani ya Nafsi?

    Katika nyakati za giza la kiutawala, ambapo siasa imegeuka kuwa uwanja wa majeraha ya nafsi na miili ya raia, tunalazimika kuuliza kwa sauti ya juu: Ni kwa kiasi gani utu wetu unadhalilishwa kwa kisingizio cha uongozi? Utekaji wa watu wasio na hatia, kuuawa kwa siri, na kutoweka kwa sauti za...
  19. JamiiForums Tanzania Nilidhani haya Mauaji ya kutumia Pikipiki na Muuaji kujificha Uso yalishaisha Kitambo tangia alipouwawa Yule Mtu wao Uwanja wa Ndege miaka iliyopita!

    Nimetoka kutizama Video Clip ya East Africa TV na kuona kuwa Jana maeneo ya Kinondoni Makaburini Mtanzania mwenye Asili ya Uturuki kauwawa kwa Kupigwa Risasi na Mtu aliyepanda Pikipiki mida ya Mchana kabisa huku Watu wakiona kisha alipokamilisha huo Uuaji wake akaangalia kushoto na kulia kisha...
  20. JamiiForums Tanzania Kesho hakikisha unaweka Bundle , mtajua mambo mengi kuhusu Super black kunyimwa karatasi , issue ya Mzee wa NRNE , na mauaji ya jamaa mweupe wa Tanga

    Kesho weka bundle Mkuu kuna good news zinakuja . Taifa linaenda kupona Timu zipo tatu -hana deni (Consumers) -NREN -Tubadilishe Striker la sivyo tukose wote . Wabaya zaidi wazee watukose wote wapo wengi na hapa mzee wa NRNE anaenda kujiokotea Dodo Kocha Mchezaji ambaye alipata GPA 2 kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…