maua

  1. Pdidy

    Na bado wanangangania goli aisee Simba nyie, Refa apewe maua yake kabisa

    😴 🥱
  2. Its Pancho

    Kwahiyo mmegoma kumpa maua yake Mwamnyeto?

    Wakuu Mnyonge mnyongeni haki yake apatiwe Captain mnasubiri akosee mumseme sana ila Pedro katokea kumuelewa sana . Licha ya kuwa na kiwango bora hivi karibuni leo Bakari alikuwa bora pia ngoja tumchambue na tuone nini amefanya kwenye game ya leo 1. Captain beka leo yeye ndio mchezaji aliepiga...
  3. Common Folk

    Tanzania haitakaa iwe na UDINI wala UKABILA. Katika hili, Mwl. Nyerere apewe maua yake.

    Baba wa taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema "Wapo viongozi wakishindwa kukubalika kwa sera basi wanaamua njia mbalimbali ikiwemo Ukabila na Udini. Ukitumia Dini au Ukabila kukubalika unagawa watu, kazi ya uongozi ni kujenga watu wawe kitu kimoja". Kwanza dini zote zinamuabudu...
  4. smarte_r

    Hongera sana Mange, Mission yako imefanikiwa. Pokea maua yako

    watu wanaweza kumbeza mange kimambi vile watakavyo, lakini kiukweli kampeni yake ya maandamano imefanikiwa kwa asilimia kubwa sana. Kwanza amefanikiwa kutengeneza awareness kwa watoto wetu hawa waliozaliwa miaka hii ya teknolojia ya dijitali. niseme tu ukweli, kizazi cha mwisho kwa ccm...
  5. DuaZaMama

    GE2025 Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanafamilia ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipozuru katika Kijiji cha Mwitongo Butiama Mkoani Mara...
  6. M

    Ni wakati wa Tanzania kumpa maua yake Meya mstaafu Max kwa kuvumbua kipaji cha Alphonce Simbu na majina mengine makubwa kwenye riadha

    Mwanzoni mwa mwaka 2006 nilifanikiwa kuona mtoto kama wa miaka 13 akiwa kwenye kundi la wanariadha waliokuwa wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Ilboru sec, Arusha mida ya alasiri. Alikuwa katoto kwelikweli kiasi kwamba hata wakienda mazoezi ya kukimbia umbali mrefu alikuwa mara zote ni wa...
  7. M

    Wataje hapa CEOs walioleta mafanikio makubwa kwenye kampuni walizosimamia na CEOs waliozingua

    Nianze mimi Walioleta mafanikio CRDB - Charles Kimei (Aliondoka), Ndiye aliefanya crdb iwe giant wa sekta ya bank NMB - Ruth Zaipuna, kaikuta NMB ikiwa imejichokea kaifufua kwa kasi ya ajabu NALA - Benjamin Fernandes, kakimbilia Kenya akidai mazingira ya biashara yake kwa Tanzania magumu...
  8. B

    Mary Mwakibete pokea maua yako

    Huyu mtangazaji yuko vizuri sana hasa kwenye hichi kipindi cha malumbano ya hoja. Anaweza ku moderate vizuri malumbano. Anajitahidi sana ku balance muda kwa walumbanaji wote. Pia maswali yake ya udadisi kwa wachokoza mada ni ya kiwango cha juu. Keep it Mary Mwakibete
  9. K

    Katoliki imesimamia nchi. Wapewe maua yao

    Katoliki imesimamia nchi wapewe maua yao. Hakuna uchawa, kudanganya wala kuunga mkono mambo ya kijinga. wakatoliki wapewe maua yao UKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki) . Kesho wakisema wanasimamisha mashule yao, hospitali na vitegauchumi...
  10. Shaas

    Chukueni maua yenu

    Wakaka ambao kwenye 6 kwa 6 style ya kifo cha mende ana fuc uku ana kutazama usoni then pole pole ana kuja masikioni ana ongea ina sikika sauti nzito na mabusu ya kutosha I miss this moment 😔
  11. Its Pancho

    Kwa RNB tusihangaike kutoa maua hovyo Ben paul ndiye king

    I salute you kinsmen. Sipo hapa kuwavunjia heshima manguli wengine walioimba RNB kabla ya benpol. Hao kina Rama dee walikuwepo sawa lakini walikosa consistency ndio maana.. Ila benpol ni kichwa kikubwa sana akiamua kuimba anaweza sana tu Tukumbuke alikuwaga kwenye label ya wagumu tu...
  12. Mstahiki Mea

    Wapenzi wa Maua yakupamba nyumba : Artificial

    Wale wapenzi wa maua ya kupamba nnyumba Haya yako kibao huko alxpes kwa kianzia 5000 Aliexps link 👉🏻31/37 cm künstliche Schlangenpflanzen, gefälschte Sukkulenten, Kunststoff, Tigerfellpflanze, tropische Sansevieria für Büro, Zuhause, Tischdekoration - AliExpress 15
  13. Sonko Bibo

    Mkuje huku mchukue maua yenu tafadhali maana inafikirisha sana...

    Wasalaam tena, 1. Ninyi ambao mlijitoa kuwatunza watoto wa wanaume wengine — bila kinyongo, bila malalamiko — lakini mwisho wa safari mkalipwa dharau, kejeli na masimango... Pongezi nyingi kwenu. Msingeweza, lakini mlijaribu. Dunia inaweza kusahau, lakini dhamira zenu zinastahili heshima. 2...
  14. ELI COHEN

    Wajuaji wa maua , ua hili linaitwaje kibongo bongo?

  15. Muimba SINGELI

    Wadada weupe na wazuri wa asili piteni hapa mjibebee maua yenu

    Kwanza ifahamike mimi Kijana Masikini sio mpenzi kabisa wa wadada weupe labda awe chibonge tena chibonge haswa. Akiwa mwembamba au mwili wa wastani huwa sishoboki hata kidogo hata awe na sura nzuri vipi. Pamoja na kutokuwa chaguo langu la kingono ila mara moja moja upwiru unapokaba koo huwa...
  16. Pascal Mayalla

    GE2025 Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?

    Wanabodi, Huu ni uzi wa swali, Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, hata kujiuzulu kwake ni kwa kung'atuka kama Nyerere!, kwenye sababu zake kumi za kungatuka, kwa sisi wa jicho la tatu, tunajua amesema ukweli nusu!, ndio maana bado yuko mguu mmoja ndani, akisema atabaki kuwa...
  17. shibela

    Answar sunna pokeeni maua yenu

    Habari za asubuhi Hawa waislam wa Ansal sunn sijui ndo inaandikwa hivyo wale wanaovaaga don't touch my shoes aisee wengi wao ni waaminifu ukifanya nao biashara! Nimeshafanya biashara na wa hivyo zaidi ya watatu nabaki na hela Yao au wao wanabaki na ya kwangu na hatujawahi kuzinguana...
  18. Daby

    Prof J: Sidhani kama maua uliyopewa yanatosha. Ulikuwa mbele ya wakati

    Ukiachana na era ya kina KBC, Sugu before 1998 lakini era zingine za muziki wa Bongo nimefanikiwa kuziskiliza na kuishi nyakati hizo vizuri saana. Kama kuna msanii aliyeweza kuishape rap ya Bongo basi ni Prof J. Huyu jamaa aliishi mbele ya muda. Ongelea chochote kwenye rap ambacho Prof...
  19. Mwachiluwi

    Tupike wali maua

    Hellow Sikuiz nipo bise that why sileti thread Kwanza andaa mchele wako vizuri kisha katakata hoho na karoti hapa kwenye hoho unaweza tumia hoho za rangi ya kijani, njano, au nyekundu Baada ya hapo chemsha maji yako vizuri kisha osha mchele wakat maji yameanza kuchemka baada ya hapo chukua...
  20. K

    Mzee Kikwete pokea maua yako kwa hizi shule za kata. Kuna Wana-CCM baadhi watapinga

    Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni, baada ya kumaliza shule ya msingi mwaka 1986, Sikuchaguliwa kujiunga na secondary ya serikali kwa maana nafasi zilikuwa chache na hata waliochaguliwa pia walikuwa wachache na wakati mwingine shule haitoi hata mwanafunzi mmoja wa kujiunga na kidato Cha kwanza...
Back
Top Bottom