📌Wananchi wapewa elimu matumizi bora ya nishati ya umeme
📌Wahimizwa kujiunganisha na huduma ya umeme
📌Wananchi wahamasika na UMEME TAYARI ( Ready Board)
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kuhamasisha matumizi sahihi na endelevu ya umeme kwa Watanzania ikiwa pamoja na kutoa elimu...
SI mnajua kuwa yeye ndiye bosi wa vikundi vyote vya wanaosakata gozi Afrika? Ametumia kofia yake hiyo kumhujumu bosi wa nyika ili asitumie uwanja wa maangamizi wa lupaso.
Kafanya hivi kwa kisasi baada ya kupoteza ktk sakatala hatuchezi.
Wakuu, najua hii ni ndefu kidogo lakini tafadhali soma mpaka mwisho ili tukomeshe jinamizi hili,
*******
Wakuu mimi ni mtumiaji wa huduma ya Postpaid kwenye mtandao wa Yas/Tigo, ambako ninanunua kifurushi cha Combo cha elf 60,000/-, kwenye kifurushi hiki napata data GB 55, Dakika 3000 mitandao...
Ni Muda Mwafaka wa Shule Zetu za Binafsi na Vyuo Binafsi Kuanza Kutumia Maroboti Kufundisha Ili Kubana Matumizi
Katika ulimwengu wa sasa unaoendelea kwa kasi kiteknolojia, matumizi ya maroboti na akili bandia (AI) katika sekta mbalimbali yamekuwa yakiongezeka kwa kasi. Moja ya maeneo ambayo...
Kuruhusu Wachina au makampuni ya kigeni kuuza bidhaa kutoka nchini mwao moja kwa moja katika soko la Tanzania, kunaweza kuwa na athari kadhaa kiuchumi mojawapo ikiwa ni kuongezeka kwa matumizi ya dola za Kimarekani (USD). Hii hutokana na mambo haya:
1. Kuongezeka kwa uagizaji (imports);
Bidhaa...
Benki kuu ya Tanzania ilisema katika taarifa yake Ijumaa jioni kwamba imepiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kwa miamala na malipo ya ndani.
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kwa mujibu wa kanuni zilizotolewa na Serikali mwaka 2025, bei na malipo ya bidhaa na huduma zote nchini lazima...
benki
benki kuu
benki kuu ya tanzania
fedha
fedha za kigeni
kufanya
kuu
marufuku
matumizimatumizi ya fedha
miamala
ndani
tanzania
yapiga
yapiga marufuku
Drones Tanzania: Fursa Zake Katika Kilimo na Usimamizi wa Maafa
Katika dunia ya sasa, teknolojia ya drones (ndege zisizo na rubani) imekuwa chombo muhimu si tu kwa shughuli za kijeshi bali pia kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Tanzania haijabaki nyuma – matumizi ya drones yameanza kushika...
Kumekuwa na tabia inayoendelea kukomaa kwenye jamii na haswa kwa Vijana ambapo huona ni ujanja kutumia maneno ambayo tulishakubaliana kama jamii kuwa ni matusi.Haswa matumizi ya kutaja maumbile ya jinsia ke kiasi kwamba sasa hata Watoto wamejikuta wakizoeshwa kuyasikia kama maneno ya kawaida...
Wakuu wa KAYA hivi mbona hadi nae muona ana mshahara mzuri nae analalamika mshahara mdogo hautoshi hivi tatizo nini haswa?
Mshahara mdogo?
Matumizi mabaya ya fedha?
Au kuto kuwekeza?
Antibiotics ni dawa zinazotumiwa kutibu maambukizi ya bakteria. Hata hivyo, matumizi holela ya antibiotics yanaweza kuleta madhara mbalimbali ambayo ni muhimu kujua. Hapa kuna baadhi ya madhara hayo:
1. Ukuaji wa Uhimili (Resistance): Matumizi yasiyo sahihi ya antibiotics yanaweza kusababisha...
Hello wa JF,
Kwa mtu ambaye anahitaji Sulphur kwa matumizi ya viwandani au Migodini inapatinaka.
Ipo kwenye mfumo wa GRANULAR.
Mzigo upo wa kutosha (zaidi ya 15,000 MT).
Mzigo upo Dar es salaam, Tanzania.
Documentz zote zipo.
Inatumika kwenye:
- fertilizer production 🌾
- chemical...
Kwa vile Marekani haiwezi kuwa na askari wa upelelezi ndaniy ardhi ya Yemen inalazimika kutumia droni kwa kazi hiyo.Droni zinazoaminiwa na jeshi ni aina ya MQR-9 na matoleo yanayofanana nayo.
Hizo ni aina ya droni zilizotengenezwa kwa bei kubwa kila moja ikigharimu dola milioni 30.Lakini...
KANISA KATOLIKI KWANINI HAWAVUNJI MKATABA WA FEDHA ZA MOU?
Katika hati hiyo, iliyotiwa saini Februari 21, mwaka 1992, upande wa serikali uliwakilishwa na mmoja wa mawaziri wake waandamizi wa wakati huo.
Makubaliano hayo yalifanyika kwa kuzingatia mambo kadhaa, ambayo ni pamoja na hali ya...
Watalamu Tunaweza rahisisha mambo chapu chapu hasa wale ambao hatuna ujuzi kbs wakujua makadirio ya vifaaa twende kazi
NB:_ Kuna muda ana boronga mambo hakika una m feed taarfa sahihi ili akupe jibu sahihi lakin pia unawez kuendelea kujadiliana nae kama hujalizika na Majibu
Chumvi ya mawe (au rock salt) imekuwa ikitumika kwa maelfu ya miaka si tu kwa kupikia, bali pia katika matumizi ya kiroho na kitabia katika jamii nyingi duniani. Hapa chini nitakuelezea:
🌿 Matumizi na Faida za Chumvi ya Mawe Kiroho
🔮 1. Kusafisha mazingira ya kiroho
Chumvi ya mawe inaaminika...
Kiongozi asiyesoma mapato na matumizi ni mwizi anayeheshimika, mwenye kulipwa posho akitofautishwa na kibaka mwizi wa kuku mtaani
Professor Abubakar Bin Zuber Bin Ally Bin Mbwana, Mufti na Shekhe Mkuu wa Tanzania, akiwa katika Maombi kwenye usiku wa Laillahtul Qadri, nakumbuka tarehe 28/03/2025...
Ma bro hamjambo.......
Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri.
Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha...
Unaishi kihuni hujali HAKI za watu. Wakidai HAKI zao unawaona maadui.
Yanakukuta yakukukuta ambayo kimsingi ni mavuno ya Mbegu mbovu uliyoipanda unaanza kutaka tukuombee.
Hapo hamna namna zaidi ya kufanya amani na wote uliowadhulumu HAKI zao au uwajibike kivyako kwa matendo yako.
Waombaji...
Wanaume wanne wawili raia wa Ubelgiji, mmoja wa Vietnam na Mkenya mmoja wanashikiliwa nchini Kenya kwa tuhuma za kumiliki na kufanya biashara ya kusafirisha Malkia wa Siafu walio hai.
Washtakiwa hao wamekiri makosa yao mbele ya Hakimu Mwandamizi Njeri Thuku katika Mahakama ya Uwanja wa Ndege...
Katika enzi ya kisasa ya kidijitali inayobadilika kwa kasi, ujumuishaji wa akili bandia (AI) katika tasnia umesababisha mabadiliko ya uandishi wa habari . Teknolojia za AI zinaunda upya jinsi habari zinavyokusanywa, kuchambuliwa na kusambazwa. Wakati maendeleo haya yana ahadi ya ufanisi zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.