TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,790
- 8,469
Watalamu Tunaweza rahisisha mambo chapu chapu hasa wale ambao hatuna ujuzi kbs wakujua makadirio ya vifaaa twende kazi
NB:_ Kuna muda ana boronga mambo hakika una m feed taarfa sahihi ili akupe jibu sahihi lakin pia unawez kuendelea kujadiliana nae kama hujalizika na Majibu