matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Thailand yasitisha matumizi ya AstraZeneca kupisha tathmini zaidi

    Thailand leo imejiunga na mataifa kadhaa ya Ulaya kusitisha matumizi ya chanjo ya AstraZeneca kutokana na wasiwasi kuwa inasababisha kuganda kwa damu, licha ya baadhi ya mamlaka za afya duniani kusisitiza kwamba chanjo hiyo ni salama. Mshauri wa Kamati ya Taifa ya Kusamimia Chanjo ya Virusi vya...
  2. J

    Pongezi Wabunge wa kamati ya maendeleo ya jamii kwa kutumia basi la Shabiby kuja Mbeya, mmebana matumizi!

    Ni jambo jema kuwashuhudia wabunge wa kamati ya maendeleo ya jamii wakiwasili jijini Mbeya kikazi kwa kutumia basi la Shabiby. Mmeonesha mfano mzuri wa kubana matumizi tofauti na mabunge yaliyopita ambayo yalitumia zaidi ndege na magari madogo ya gharama. Pongezi zimwendee Spika Ndugai na...
  3. Nilichokiwaza nilipoona matumizi ya Serikali

    Mmmmh! Siku ya kwanza binafsi kuona bajeti ya jumla ya serikali nilimuuliza rafiki yangu xxxx kwamba hivi tutafanikiwa kweli kama ulaya sisi? Niliuliza hivyo bila kuelewa vizuri maana binafsi nilivyoona salaries na wages inaichukua serikali pesa nyingi nilisikitika sana moyoni. Nilisikitika...
  4. Malumbano la hoja: Mchangiaji ashangaa jiji la Dar kuvunjwa kwa kisingizio cha kubana matumizi , ashangaa Chanika kuwa jiji magomeni kuwa nje ya jiji

    Akizungumza kwa kujiamini mmoja wa wachangiaji amepinga kuvunjwa kwa jiji kulikoleta mkanganyiko wa hadhi ya maeneo , kwa kutolea mfano wa Chanika kuwa jijini huku Magomeni , Kinondoni , Masaki , Temeke , Mwenge na Mbezi Beach kuwa nje ya jiji . Ametoa plan ambayo kama ingefanyiwa kazi basi...
  5. Kama unajua matumizi ya iki kifaa PEPO utaishia kuisikia tu

    Wajomba kama unajua kazi ya hiki kifaa nenda katubu kwa Muumba wako haraka sana.
  6. Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??

    Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??
  7. R

    Maswali kuhusu matumizi ya stendi mpya ya mabasi Mbezi (so-called Magufuli)

    Kuna tangazo linasema safari zote zitaanzia stend mpya Magufuli. Tangazo linazidi kusema mabasi makubwa wakodishe mini bus kuwasafirisha abiria kuwaleta stend mpya au wawaelekeze abiria kuja Mbezi. Sasa swali: 1. Anayekwenda Mtwara na yuko Mbagala, naye aje Mbezi? maana tangazo linasema stend...
  8. SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  9. Rais wa Malawi awafuta kazi Wakuu wa Kitengo cha kupambana na Covid 19 nchini humo kwa tuhuma za Matumizi mabaya ya Fedha

    Picha: Rais wa Malawi Lazarus Chakwera Rais wa Malawi Lazarus Chakwera awafuta kazi Mkuu wa Idara ya Usimamizi wa Majanga na Mwenyekiti wake pamoja na Maafisa wengine, kwa kushindwa kutunza kumbukumbu sahihi za jinsi fedha za kupambana na Covid 19 pamoja na kukaidi agizo lake la la kuwasilisha...
  10. Rukwa: Watendaji Kata na Vijiji 93 watumia Milioni 162 za makusanyo ya Halmashauri kwa matumizi yao binafsi

    MKUU wa Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Carlolius Misungwi, ametoa siku 16 kwa watendaji wa kata na vijiji kuhakikisha wanarejesha Sh. milioni 162 ambazo ni makusanyo ya halmashauri hiyo ambazo wanadaiwa kuzitumia kwa matumizi yao binafsi. Amesema wakishindwa kurejesha fedha hizo, watakamatwa...
  11. Jinsi ya kudhibiti matumizi ya mtandao ya mtoto

    Katika ulimwengu wa Teknolojia wa sasa watoto wanalazimika kuwa na vifaa kama simu, laptops nk ili kuwezesha mawasiliano ya mzazi na mtoto. Kwa kiasi kikubwa wazazi wanadhana kwamba vifaa hivi vinaweza kumuharibu mtoto hivyo wengine huwanyima watoto vifaa hivyo ambapo wanakuwa wamewanyima haki...
  12. M

    Serikali mulikeni haya matumizi ya energy drink!

    Nipo mkoa fulani kwa miezi kadhaa sasa. Nimeshangazwa na matumizi makubwa ya energy drink, husasani kwa vijana. Kuanzia za Mo hadi Azam. Sielewi chanzo cha matumizi haya ni nini. Nafikiri Serikali inatakiwa kuelimisha bayana madhara ya hivi vitu! Jana nimesoma maelezo kwenye chupa moja kuwa...
  13. Chanel 10 tv ya CCM yazungumzia matumizi ya VPN baada ya mtandao kufungwa huko Mynamar

    Kumbe Channel Ten inatambua kwamba serikali zinazofungia mitandao ya kijamii ni za kidikteta. Kwenye taarifa Yao ya habari wamezungumzia udikteta wa serikali ya kijeshi ya Myanmar iliyofungia mitandao na kufanya watu watumie VPN. Chanel ten wakumbuke kwamba hata serikali ya ccm ilifungia...
  14. Ijue hatari ya matumizi holela ya vidonge vya kuzuia mimba

    Ujana ni maji ya moto. Ni msemo maarufu ukiwalenga vijana wakiwamo wasichana ambao ujana wao unawasukuma kujiunguza kwa ‘maji ya moto’. Hata hivyo kwa muktadha wa habari hii, maji haya ni kitendo wanachokifanya wasichana hao kutumia njia mbalimbali hata zisizo salama ili kuzuia mimba. Miongoni...
  15. Nasimama na Rais Magufuli kwenye kuchukua tahadhari dhidi ya Corona na napinga matumizi ya chanjo inayopigiwa kampeni na dunia

    Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo wa taifa kuhusiana na maambukizi ya Corona pamoja na chanjo inayopigiwa kampeni na dunia kwamba kila nchi lazima ipatiwe chanjo hiyo. Watanzania wengi wamemuelewa Rais na wanachukua tahadhari na pia wameelewa msimamo wa Rais kuhusu chanjo ya Corona. Ila...
  16. C

    Je, ni kweli kwamba matumizi ya majani ya chai ya muda mrefu huharibu kongosho?

    Leo katika pita pita zangu maeneo ya sokoni. Nikiwasikia wamama wawili wakishauriana kwamba waache Matumizi ya majani ya chai na wajikite zaidi katika Matumizi ya viungo vya chai kama mdalasini na vinginevyo kwa sababu majani ya chai eti yanaharibu "kongosho" Je, wakuu hili jambo ni la kweli?
  17. K

    Ikulu ya Magogoni ibadilishwe matumizi isiwe maskani ya popo

    Wanabodi tahadhima kwenu! Kwa kuwa Serikali ya Chato imehamia Dodoma kumfurahisha Nyerere kaburini, napendekeza yafuatayo. Kila mkoa kuna Ikulu ndogo ya Rais. Dar es salaam kwa sasa ni mkoa kama mikoa mingine, si tena maskani ya Rais kama Chamwino. Badala ya Ikulu ya Magogoni kubaki ukiwa na...
  18. D

    Naomba muongozo wa matumizi ya dawa za jamii ya viagra

    Wakuu mimi nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu. Nimejaribu kutumia dawa nyingi sana za kienyeji pamoja na vyakula bila ya mafanikio. NImejaribu kutumia vumbi la congo pia limenitupa mkono. Sasa nimebakisha mawili tu. Nimenza mazoezi takriban wiki ya pili sasa na naendelea...
  19. N

    Waziri Mpango tunaomba majibu matumizi ya Dola kwenye upimaji wa Covid-19

    Taasisi nyingi za Serikali zinatoa huduma kwa kudai dola ya Marekani kama malipo. CRB, ERB zote zinadai Dola za Kimarekani. Wizara ya afya inapima Corona na malipo ni ya Dola. Suala la aibu na fedhea kwa mlalahoi kupimwa kwa dola. Nashindwa kuelewa, hii matumizi ya dola inahalalishwa na...
  20. C

    Je, unapotumia Modem kuna uwezekano mdogo wa kutumia matumizi ya MB?

    Eti endapo utatumia Internet kwenye PC ambayo ni Hotspot kutoka kwenye simu na Endapo utatumia internet kupitia kifaa cha Modem Ni sehemu gani kunakuwa na Unafuu wa kusave MB?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…