matumaini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China barani Afrika wapongezwa kwa kuleta matumaini kwa wagonjwa

    Nchi nyingi za Afrika zimekuwa zikikabiliwa na changamoto kubwa za huduma za afya, ikiwa ni pamoja na uhaba mkubwa wa wataalamu na ukosefu wa miundombinu. Licha ya msaada mkubwa wa kimataifa, juhudi za Timu za Madaktari wa China katika kushughulikia masuala ya afya barani Afrika si jambo la...
  2. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania GE2025 ‘Kapteni Tesha’ kawapa matumaini hewa

    Wote kwa uchache wenu humu mliofurahia video ya ajiitaye ‘Kapteni Tesha’, mmejazwa upepo tu. Mmepewa matumaini hewa ya kudhani kuwa JWTZ linaweza kuipindua serikali ya kiraia ya CCM. Watanzania nawajua vizuri mno. Wanajeshi wa JWTZ nao ni Watanzania pia. Hivyo, kimsingi hawana tofauti na raia...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Haya nyie ambao Polepole ndio karata yenu ya mwisho vipi kuna matumaini?

    Wapinzani wengi katika nchi hii ni watu waliochanganyikiwa. Ukimuondoa Lissu the Real hero wengine wako tu upinzani kwakuwa hawajui wafanye nini au hawajui wanataka nini. Wengine wako upinzani kwakuwa wamekosa ajira rasmi. Wanadhani kuwa kinyume na serikali kutawaondolea stress. Hizo press za...
  4. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Polepole pamoja na hao manabii wanawapa matumaini hewa kusukuma siku mpaka uchaguzi upite

    Kijasusi zinaitwa psyops. Matumaini kuwa kuna mtu / watu wenye nguvu au kuna Mungu ataingilia kati na kurejesha haki zako is a powerful thing inayoweza kukufanya uendelee kungoja ili kuona nini kitatokea. Unfortunately utangoja sana, itakuwa mara July mara September, ukija kushtuka wanaapishwa...
  5. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Ukweli huu unamuumiza ila kashindwa kuniacha, kila siku anajipa matumaini

    Wajomba leo sina habari za kijiweni. Kuna binti mmoja niwahi kuwa naye kwenye tukawa marafiki kama mwezi hivi, sasa baada ya hapo alijiforce akawa anataka mahusiano, sikuwa na shaka sana nilijua hilo husiano likidumu labda miezi 3 tu litakufa, aysee si nikajaa kwenye mfumo? Binti anajiweza...
  6. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Wasaidizi wa Rais: Tujenge Lugha ya Matumaini kwa Watanzania

    GTs Walioko karibu na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, tafadhali mfikishieni ujumbe huu kwa unyenyekevu na mapenzi mema: Hotuba yake ya leo kuhusu Mpina pamoja na zingine zenye mwelekeo wa malalamiko zinamharibu zaidi kuliko zinavyomjenga. Mwambieni kuwa yeye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbatia imenitia matumaini kidogo kuwa some judges kuwa independent

    Sikutegemea kutoka hukumu ya Mbatia kushinda maana by all angles mkono wa CCM ulikuwepo kuhakikisha mama Tanzania anabwagwa! Kwa hukumu hii, naweza kurudisha imani by 30% haki kutendeka mahakamani! Bado hatujafika 50%! Yanayofanywa na Mtungi ni ushetani mtupu!
  8. L

    JamiiForums Tanzania Timu ya madaktari wa China nchini visiwani Zanzibar yaleta mwanga wa matumaini kwa mama wa miaka 70

    Akiwa na umri wa miaka 70, Tuma Saidi Hamadi kutoka kisiwa cha Pemba, Zanzibar alikuwa katika hatihati ya kupata upofu, lakini maisha yake yalibadilika ghafla baada ya kikundi cha 34 cha timu ya madaktari wa China kumfanyia upasuaji wa mtoto wa jicho na kurejesha uwezo wake wa kuona. Safari ya...
  9. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Yanga wameanza kuonyesha matumaini

    Haichukui nafasi ya daktari lakini kusema ukweli Yanga wameanza kuonyesha matumaini. Huenda wakaingia robo fainali kwa kushinda mechi zote 3 zilizo baki huku ikitegemea na matokeo ya mechi nyingine. Mechi ijayo ya Yanga na Mazembe kwa Mkapa uwanja utajaa sana mashabiki kwenda kuipa sapoti...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Aina za ultrasound machines na bei zake

    Habari wapendwa polen na majukum ya Kila siku. Jaman Mimi kama mwana familia naomba msaada kidogo wa kujua aina za ultrasound machines na bei zake. Kuna Uzi niliuona ukizungumzia kuhusu kufungua maabara hapa sasa naombeni msaada pia.
  11. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, taa ya Matumaini na Maendeleo kwa Tanzania na changamoto za ajira 2024

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, katika nafasi yake with full power and Authority kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anasimama kama taa ya matumaini na maendeleo kwa taifa letu pendwa ikiwemo maswala ya ajira selikalini na sector binafsi. Kwa uongozi wake usio na kifani na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Exim Benki yaamsha Matumaini kwa Wagonjwa wa Afya ya Akili

    Benki ya Exim Tanzania imefanya tamasha linalojulikana kama ‘Exim Bima Festival 2024’ lenye lengo la kuchangia huduma za afya hususani kwa Wagonjwa wenye changamoto ya Afya ya Akili. Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete amezindua Tamasha la Exim Bima Festival ikiwa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Baa sio ya kuiwekea matumaini sana ikianza kujaza wateja, wateja wana tabia ya kukizoea kiwanja ila ghafla huhama kwa pamoja

    Nimewahi kuziona Baa kadhaa ambazo sikuwahi kudhania kabisa zitakuja kupoteza wateja, Wateja walihama kwa style za kimafia sana, yani vuuup!! ghafla bar inaanza kuwa tupu !! sio kwamba bar imefirisika, sio kwamba warembo wamepungua, sio kwamba hakuna service nzuri, n.k. yaani ndio hivyo, Vuup...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Inachofanya TRA ni kuifilisi au kuiua Hospitali ya Massana, Watumishi wa Hospitali tunahisi kupoteza matumaini

    Hospitali ya Massana ambayo ipo mitaa ya Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam ipo mbioni kufilisika au kufa kabisa kutokana na zoezi la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuchukua fedha kwenye Akaunti za Benki za Hospitali hiyo kwakile wanachodaiwa kuwa ni madeni wanayoidai Hospitali. Kwasasa sisi...
  15. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Mch Msigwa asema matumaini yapo CHADEMA akihutubia mkutano wa CCM

    Hata hivyo haijajulikana mara moja kama alimaanisha au alitaka kusema Tumaini lipo ndani ya CCM. bado hakuweza kupataikana kutoa ufafanuzi juu ya kauli yake hiyo Alikuwa akiongea katika mkutano mmoja mkoani Kagera. Hotuba yake nzima unaweza kuitazama katika link hapa chini...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania JF POLL: (Nini sababu ya kuongezeka kwa Atheists na Non-Believers miongoni mwa vijana hapa Tanzania). Majibu ya poll ni baada ya masaa 24

    Andika namba kwenye comments. Namba ambayo itatoa ufafanuzi halisi ya majibu ya swali lililoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu. 1: Kuongezeka upotoshaji katika dini 2: Kuongezeka kwa hali ngumu ya maisha ikiandamana na matumaini finyu au lah kabisa. 3: Maswali yasiyojibika vizuri na majibu...
  17. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kama uongozi wa Simba utamwamini kocha Fadlu David. Leo leo lazima Tutapigwa na APR na kocha atakuja na Maneno ya matumaini tu

    Washabiki tuko Siliasi sana kutokana na Simba ilivyojipaga kwenye Media msimu huu. Kwa cv ya Fadlu David ilivyo. Ni kocha flan ivi kama Julio. Maneno mengii matokeo 0. Kama uongozi haujaongea lolote na APR basi leo tunaenda kutia aibu alafu kocha atakuja na maneno mingi mingi tu.
  18. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushindi wa Boniphace Mwabukusi unatupa matumaini huenda 2025 CCM ikaondoka kwa kishindo

    Tukipoteza woga wetu wanapoteza nguvu zao, Ushindi wa wakili Mwabukusi umeshangiliwa na watu wengi, hii ni ishara kuwa Wanaoisapot CCM ni wale wanaonufaika nayo tu ambao kimsingi ni wachache. Hivyo tukiungana mwaka 2025 , watanzania wote tukaiadhibu CCM kwenye boksi la kura, hawataamini...
  19. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Barack Obama: Jinsi ya Kutojisikia Kukata Tamaa - Simama, Chukua Hatua, na Lete Matumaini!

    Barack Obama aliwahi kusema hivi: "The best way to not feel hopeless is to get up and do something. Don't wait for good things to happen to you. If you go out and make some good things happen, you will fill the world with hope, you will fill yourself with hope." Tafsiri hisiyo rasmi ni kuwa...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mbunge Mavunde Yaleta Matumaini Mapya Kata ya Hombolo Makulu

    ZIARA YA MBUNGE MAVUNDE YALETA MATUMAINI MAPYA KATA YA HOMBOLO MAKULU - Kuanzisha ujenzi wa Zahanati Mtaa wa Maseya - Shule Mpya kujengwa Kitongoji cha Mgona ngholongo - Atoa vifaa vya ujenzi kukamilisha ujenzi wa ofisi za Mitaa - Wananchi wamshukuru Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa miradi ya...
Back
Top Bottom