matukio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ripoti: Kati ya 2018 hadi 2022 kulikuwa na Matukio ya Uhalifu 273,862 Nchini Tanzania

    Takwimu za Uhalifu Nchini Tanzania kwa kipindi cha miaka 5 (2018 - 2022) zimeonesha kulikuwa na jumla ya Matukio yaUhalifu 56,228 yaliyoripotiwa ambayo yalihusu Mauaji, Ubakaji, Ulawiti, Wizi wa Watoto, Kutupa Watoto, Unajisi na Usafirishaji Haramu wa Binadamu. Pia, kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kama kwenye mitandao ya kijamii wanapiga kelele matukio haya yangefanikiwa bila uwepo wa Mitandao ya Kijamii?

    Wakuu, Waziri Nape alitoa kauli hivi karibuni akisema watu waliokuwa kwenye mitandao ya kijamii wanapiga kelele tu na kwamba wapiga kura na wale wanaojielewa wanafanya mambo mengiine mtandaoni lakini sio kutumia mitandao ya kijamii. Haya ni baadhi ya matukio ambayo mitandao ya kijamii...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa nchi ya matukio; hongera CCM kwa kufaulu kujenga Taifa la namna hii

    Wiki chache zilizopita tulishuhudia mjadala mkali kuhusu bandari, baadaye kukaibuka tetesi za rupia kupenyezwa kwa baadhi ya wakazi wa Ufipa ili wajiondoe katika mjadala huu. Dkt. Slaa, Dkt. Nshallah, Mwabukusi, Tundu Lissu, TEC na wananchi wengine wakaendelea kutoa elimu kuhusiana na kile...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa matukio haya hakika Wachina wana damu kali sana

    Wasalaam... Ni muda sasa nafanya utafiti (siyo rasmi) kuhusu muingiliano wa kimahusiano kati ya Wachina 🤔🤔 na watu wa mataifa mengine, Hapa nazungumzia wa - Europe (Wazungu), wamarekani (Americans) na Waafrika pale wanapoanzisha uhusiano na kufanikiwa kupata mtoto basi huyo mtoto 98% atakuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Tusidanganyane kuna Watu leo wataifuatilia Simba Day na Matukio yote Kiumakini kuliko hata wenye Simba SC yetu na tukio letu

    Hivi wanaachaje kwa mfano kufuatilia Tukio Kubwa la Simba Day ambalo Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan, kuna MC aliyekuwa Mtangazaji Nguli, Mahiri na Gumzo Salim Kikeke, Msanii Mkubwa na Dhahabu kwa Tanzania, Afrika Mashariki na Afrika...
  6. JamiiForums Tanzania Documentary ya Yanga SC itakayozinduliwa Augosti 7, 2023 nitaipenda tu ikiwa na matukio yafuatayo

    1. Yanga SC Kufungwa Goli 5 kwa 0 na Simba SC 2. Yanga SC Kufungwa Goli 4 kwa 1 na Simba SC 3. Yanga SC Kuukosa Ubingwa wa Ligi Kuu kwa miaka Minne mfululizo 4. Yanga SC Kushindwa Kesi na Wakili wa Kujitegemea Raia wa Ghana Bernard Morrison alipohamia kwa Wenye Akili Kubwa nchini Simba SC 5...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Matukio ya nyuma yaliyopokelewa na kuungwa mkono kwa mihemuko na baadae kushindwa kuleta matokeo chanya na hatimae kutupwa

    Ninaanze na: SIASA ZA UJAMAA NA KUJITEGEMEA; Kwa kifupi siasa hizi za ujamaa ndo nchi ilianza nazo,siasa zilisema njia kuu za uchumi ziwe mikononi mwa umma, biashara zilifanywe na serikali mfano usafirishaji KAUDO ,KAUMA, SHIRECU ,TACOSHIL na ATC etc, mashirika ya biashara mfano National...
  8. JamiiForums Tanzania Moscow ndani yapokea kipigo kingine cha drones za Ukraine, imekua matukio ya kila siku sasa

    Hii picha inaonyesha uharibifu wa drones ndani ya Moscow, kwa kifupi Warusi wanaishi kwa hofu ya kuangza macho angani muda wote, yaani mjini kati, tena mji mkuu.... Putin alisema Urusi ikiguswa ndani atafanya makuu hata kama itabidi kubonyeza manyuklia.... The damaged facade of an office...
  9. JamiiForums Tanzania Picha za matukio: Ziara ya Rais Samia Nchini Malawi akiwa na mwenyeji wake, Rais Dkt. Chakwera

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni View Point pamoja na Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wakiangalia maeneo hayo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7...
  10. JamiiForums Tanzania Ni siku ipi nzuri kwako ilikuwa na matukio nadra mazuri kwako?

    Niliwahi kumpa mwanafunzi mwenzangu shilingi laki 3 tukiwa chuo, yeye akiwa mwaka wa mwisho ili alipie kodi ya geto lake mimi nikirudi nihamie. Aliingia mitini kwa miaka mitatu hivi, siku ya siku nikiwa sina hili wala lile napokea meseji, shilingi laki 3 na elf 20 imeingia, napokea na meseji...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna Haja ya Kutokomeza Kabisa Matukio ya Mauaji Yanayochochewa na Ushirikina Tanzania

    Mauaji yanayochochewa na ushirikina ni tatizo linaloendelea kutokea Tanzania na linahusisha imani na vitendo vinavyohusiana na uchawi na ushirikina. Katika muktadha huu, watu wanaweza kuuawa au kuteswa kutokana na tuhuma za kuhusika na uchawi au kutumia sehemu za miili ya watu kwa madhumuni ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kudhibiti matukio ya watu kujitoa uhai nchini

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vitendo vya kikatili lakini pia kumekuwa na matukio mengi ya watu kujitoa uhai, kitu ambacho kinaleta taharuki kubwa katika jamii na nchi kiujumla. Katika hili andiko nitaongelea zaidi upande wa kujitoa uhai na afya ya akili. Afya ya akili...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Geita naufananisha na mji wa Gotham kwa matukio

    Kila uchwao huu mkoa una matukio. Kulikoni wasukuma wa Geita? Mbona wasukuma wa Kahama hakuna shida na ndiyo kuna machimbo. Husikii matukio. Wasukuma wa Kahama wamestaarabika hawana shida. Tatizo nini kwa wasukuma wa Geita? Inakua kama Mbeya ya zamani kule Mbozi.
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia haambatani na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi kwenye matukio na hafla za Kitaifa?

    Zamani ungeweza kumuona Mkuu wa Majeshi, IGP, Mkuu wa Magereza, Mkuu wa Uhamiaji, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa wote hao ungeweza kuwaona kwenye kila tukio alipo Rais wa Jamhuri ya Muungano. Yaani hao wote ungeweza kuwaona kuanzia kwenye uwekaji wa jiwe la msingi, uzinduzi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Yaache madaraka yakufuate sio kuyatafuta

    Kuna matukio yanatokea Tanzania yanasikitisha Sana Katika mazingira ya Tanzania ambaye aliweza kuutafuta urais na akaupata ni Hayati baba wa TAIFA na Rais Kikwete born town the rest hawakutafuta urais na ndio maana hatuna visionary leaders tuna watu wengi waliojaribu kuwa na wakawa. Madaraka...
  16. JamiiForums Tanzania Marekani: Matukio 201 ya ufyatuaji risasi yametokea Mwaka 2023

    Matukio ya mauaji ya watu kwa risasi yameendelea kuitesa Marekani ambapo kwa mujibu wa Ripoti ya Gun Violence Archive idadi ya vifo hadi Mei 8, 2023 ni 14,865 wakati waliojeruhiwa ni 11,872. Katika rekodi hizo, waliouawa kwa kukusudia au kutokusudia ni 6,417 wakati waliojiua ni 8,448, kati yao...
  17. JamiiForums Tanzania Kwako IGP: Mkoa wa Geita mauaji ni mengi, kaimu RPC anaripoti matukio ya mauaji, RPC wa mkoa wa Geita yuko wapi?

    Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Berthaneema Mlay alisema Milembe aliuawa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiojulikana. Huyu mama Mkoa wa Geita umemshinda 100%. RPC MKOA WA GEITA Ali kufa , alistaafu, alifukuzwa au ni mtoro kazini? Kila siku kuna mauaji Geita.
  18. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata updates za matukio yajayo Tanzania?

    Habari. Kwa wenye kujua ni namna gani ya kupata ratiba za matukio kama matamasha, makongamano, na events mbalimbali zinazohusiana na maswala yote ya sanaa na utamaduni, matukio mfano wa mbio za marathon, uchangiaji damu, n.k Msaada wenu wakuu, kwa wenye kujua njia za kufahamu ratiba za matukio...
  19. JamiiForums Tanzania Matukio yanayotokea kwa sasa nchini yanahusiana vipi na siasa?

    Kumekuwa na mtirirko wa matukio yasiyofaa kwenye jamii zetu kila kukicha. Kuna suala la mapenzi ya jinsia moja, watu kuuawa kila kukicha, watoto kuharibia kila siku. Nimekuwa nikijiuliza sana, Je haya mambo yanachagizwa na mfumo wa kisiasa? Maana ukiingia huko mjini twitter kila kona watu...
  20. JamiiForums Tanzania Drones zaendelea kufanya mambo ndani ya Urusi, matukio ya moto na milipuko

    Supapawa alingia cha kike, haitokuja aishi kwa amani baada ya udhulumaji wake Ukraine.... Two separate fires were reported in the Russian region of Begorod on Monday. A thermal power plant caught fire in Belgorod, Russia, causing an electricity blackout on Monday. Russian propaganda reported...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…