matokeo

  1. P

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Siasa Kivukoni ni muda wa kuzaliwa upya, hawa ma-DC na ma-RC ni matokeo ya kutopigwa msasa kiuongozi

    Miaka ile ya awamu ya kwanza kulikuwa na chuo cha kufundisha viongozi masuala yote muhimu ya kiuongozi. Kilikuwepo pale kivukoni. Kiliwapika viongozi na matendo yao yakaonekana baada ya kupewa ukuu wa wilaya na ukuu wa mikoa. Walikuwa ni viongozi wenye maadili yasiyohojika. Taratibu muda...
  2. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Timu bora Yanga haipati matokeo kwenye viwanja vibovu

    Viwanja vyetu vingi vya michezo hapa Nchini ni vibovu sana labda ukiacha tu Majaliwa Stadium iliyoko kule Ruangwa na ubovu wa viwanjwa hivyo unasababisha Timu bora kama Yanga inashindwa kupata matokeo inapokwenda mikoani kule” “Napendekeza kusamehe kodi ya ongezeko la thamani kwenye nyasi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Udahili kabla ya matokeo ya ASCEE

    Wakuu naomba kuulizaa je Kuna uwezekano wa kufanya udahili kabla matokeo naona tcu wameandika kuwa dirisha la udahili linafunguliwa tarehe 13 June.
  4. JamiiForums Tanzania Vituko vya watoto na ripoti za matokeo

    .
  5. JamiiForums Tanzania Kama tu Injinia Hersi wa GSM na Yanga SC yake anaonyesha 'Udhaifu' huu kwanini Yanga SC isiwe na Matokeo mabaya na ya hovyo hovyo?

    Yupo Studioni sasa EFM kwenda ' Kuzurula ' na ' Kuwadanganya ' wana Yanga SC na ameulizwa Swali dogo lenye Kuhitaji jibu fupi tu na Mtangazaji Tunu Hassan Shemkome na Majibu yake ( Injinia Hersi Said ) yakawa hivi ( haya ) .... Swali Mtangazaji Tunu... Je, bado Injinia Hersi anadhani Yanga SC...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi ni msomi mzuri wa 'sociology' au 'psychology' ndio mwenye utaalam wa kusoma tabia ya mtu na kubashiri matokeo? Je, jibu la Rais ni sahihi?

    Wakati wakiaapishwa makatibu tawala wa mikoa, Mhe. Rais Samia alisikika katika hotuba yake kuwa aliwasimamisha wakuu wa mikoa na makatibu tawala hao wa mikoa ili kusoma sura zao na kubashiri yatakayotokeoa mikoani. Alisema kwa msomi mzuri wa sociology atafahamu nini kitatokea kwa kuangalia...
  7. JamiiForums Tanzania Wewe uliyetudanganya kuwa tukiweka dawa ya meno kwenye uume tutapata matokeo chanya Mungu anakuona. Mkuyenge wangu ulikata moto.

    Hi gentlemen & ladies! Kama sitakosea ilikuwa 2019 mdau mmoja humu alitupia uzi au alichangia kwenye uzi fulani uliozungumzia jinsi ya kuboresha tendo la ndoa. Alielezea kuwa ukichukua mafuta ya mgando kidogo ukimix na dawa ya meno kidogo kisha ukimpaka dula kichwa wazi basi utapata raha ya kufa...
  8. JamiiForums Tanzania Endelea kupambana mpaka uone matokeo

    Kwa aina ya kazi na majukumu ninayofanya na pia kwa utashi wangu binafsi huwa naona na familia yangu hasa watoto kwa nadra sana.Pamoja na kwamba huwa tunaonana kwa nadra mimi na watoto wangu tumejifunza namna bora ya kutumia muda mchache tunaokuwa pamoja kikamilifu.Nipatapo nafasi huwa nawapigia...
  9. JamiiForums Tanzania Kilichotokea jana kuhusu LUKU ni matokeo ya kuajiri watu kwa kuangalia vyeti pasipo kuangalia uwezo

    Habari wadau! Jana baada ya kutokea kashikashi ya mfumo wa manunuzi ya Luku, nikawaza sana hawa wahandisi wa umeme waliozingua watakuwa ni product ya chuo gani? Nikajiuliza je walipigwa interview kweli kabla ya kazi au ndio wale waliopata ajira za kamuite? Au ndio huu mfumo wetu wa kuangalia...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa haya Matokeo

    Naombeni mnishauri kwa Matokeo haya ya kidato cha sita; Chemistry-E Biology-D Geography-D BAM-S
  11. JamiiForums Tanzania Je, Mtani atapindua Matokeo kwa Mkapa?

    Mwaka 1979. Kindi hiko sheri y offside wal hikuwepo, Mikia FC walipindua matokea ya mabao 4 dhidi ya Mufulira Wonderers FC katika michuano hii hii ya Klabu Bingwa Bara la Afrika. Mikia FC wliweza kupata ushindi amabao 5 n kufnikiwa kuinga hatua inayofuata. Leodgar Tenga aliwahi kusema siku moja...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa Mchezo wa Leo, Matokeo ni 6-0 dakika ya 40 kipindi cha Kwanza

    Kwa Mchezo wa Leo, Matokeo ni 6-0 dakika ya 40 kipindi cha Kwanza, round ya kwanza! Hali ninavyoiona kuna vilio vingi upande wa timu ya Mpumzishwa! Vijana wanashambulia sana kila kona ila team mwenyeji inacheza kwa utaalam, upole, ukimya na iko well composed. Leo wamejifunga wenyewe baada ya...
  13. JamiiForums Tanzania Mbona mnalia lia? Kuahirishwa kwa mchezo ni sehemu ya matokeo ya mchezo

    Sioni sababu ya mashabiki kulia lia. Mchezo una matokeo manne, kushinda, kushindwa, kutoshana nguvu ama kuahirishwa kwa mchezo. Sidhani kama kuna sababu ya kumwajibisha yeyote kwa kilichotokea kwa kuwa nacho ni sehemu ya matokeo wakati wowote mechi inapopangwa!
  14. JamiiForums Tanzania Acha matokeo yaongee inahitaji jasho, machozi na damu na kujitoa mhanga kuleta matokeo na si vinginevyo

    kuna watu nawashangaa sana wanafikiria kutengeneza matokeo yanayoteka mioyo ya watu huwa ni suala la kukurupuka tu ety na mm nataka nifuate ya kwangu haiwezekani kuna watu waliletwa Duniani kutengeneza njia ili wengine wazifuate ukijifanya na wewe utengeneze za kwako huku ukiwa hauna uwezo...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ongezeko la mshahara linalofanywa kisiasa kwa kupunguzwa kodi kwa asimilia 01 lina matokeo gani?

    Hii imeshindwa kueleweka kwa wengi. Je, ina maana kuwa ile kodi aliyokuwa analipa mfanyakazi lets say ni shilingi laki moja (100,000) kwa sasa inapungua kwa kiasi cha asilimia 1 ina maana analipa shilingi elfu tisini (90,000)? - Kwa maana hiyo kwenye mshahara wake anaongezewa shilingi elfu...
  16. JamiiForums Tanzania Elimu ya Ufundi ni muhimu lakini inategemea sana mambo yafuatayo ili ilete tija na matokeo katika kupambana na Tatizo la ajira

    Natambua na nathamini sana mawazo ya Mh. Rais ya kubadili mitaala yetu ya elimu ili kuwawezesha vijana kupata elimu ujuzi itakayowasaidia kujiajiri na kuajiri watu wengine. Licha ya umuhimu wa elimu ya ufundi katika kutatua tatizo hili, bado elimu hii hii ya ufundi inaweza kuturudisha kule kule...
  17. JamiiForums Tanzania Majaribio ya awali kiwanda cha kusafisha dhahabu Mwanza yaonesha matokeo mazuri

    Kutoa ajira 100 za mwanzo Imeelezwa kuwa, Majaribio ya Awali ya Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu cha Mwanza Precious Metal Refinery ambacho ni Ubia kati ya Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO.), yameonesha Matokeo Mazuri. Hayo yameelezwa leo Aprili 17, 2021 na Waziri wa Madini...
  18. JamiiForums Tanzania Majaribio ya awali kiwanda cha kusafisha dhahabu Mwanza yaonesha matokeo mazuri

    Kutoa ajira 100 za mwanzo Asteria Muhozya na Tito Mselem, Dodoma Imeelezwa kuwa, Majaribio ya Awali ya Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu cha Mwanza Precious Metal Refinery ambacho ni Ubia kati ya Serikali kupiti a Shirika la Madini la Taifa (STAMICO.), yameonesha Matokeo Mazuri. Hayo yameelezwa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa TLS Dkt. Edward Hosea na mwenzake wamwaga fulana kwa wajumbe

    Uchaguzi wa rais chama cha wanasheria Tanzania (TLS) unaofanyika jijini Arusha umeshika kasi kukiwa na wagombea watano ila nimeona watu kadhaa wakiwa wamevaa t-shirt nyeupe zikiwa na picha za wagombea tofauti mmojawapo akiwa ni Dr. Hosea na Shehzad Wall. Sijajua kwa nini wagombea hawa wawili...
  20. JamiiForums Tanzania Tuziangalie bei za Vifurushi kiuchumi na matokeo yake kwenye ukuaji wa 'Services'

    Bei za virushi hazijaongezeka, zimepaaa, thus ukipima percentage change ni zaidi ya 200%. Je kutakuwa na matokeo gani kiuchumi 1. Ikumbukwe kuwa 'services' imekuwa ikiongezeka kila uchao na huku 'production' ikiwa katika hali fulani tofauti. Kikubwa ni kuwa kulikuwa na huduma na hata wanaouza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…