matokeo

  1. JamiiForums Tanzania Matokeo mabaya yasababisha Dodoma Jiji kumfukuza kazi Kocha Mbwana Makata

    Klabu ya Dodoma Jiji ya jijini Dodoma imeachana na kocha wake mkuu, Mbwana Makata kuanzia leo Jumatano Februari 23, 2022. Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo imeeleza kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya mwendelezo mbaya wa matokeo ya timu hiyo katika mashindano mbalimbali ya msimu huu wa 2021/22.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Simle anaylsis: Matokeo ya mechi za nyumbani na ugenini za USGN ndio yataamua timu mbili za kufuzu kundi "D"

    Sababu kubwa ni moja tu, hii timu mpaka sasa ndio inaonekana ni kibonde katika hili kundi na haishangazi sana kwani Niger (Timu ya Taifa na hata vilabu vya nchi hiyo) hawana record nzuri katika soka kama tulivyo Tanzania. Kwahiyo, timu zitazoifunga hii timu ya USGN nyumbani na ugenini, ndio...
  3. JamiiForums Tanzania Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

    Klabu ya Simba leo Jumapili February 13 inashuka kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na ASEC Mimosas kutoka Ivory coast, kwenye mchezo wa kwanza hatua ya makundi Kombe la Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC. Hautakuwa mchezo mwepesi, bali utakuwa mgumu na wa kusisimua hasa ukizingatia...
  4. JamiiForums Tanzania Mtu mwenye matokeo haya form four utamshauri asome nini?

    Kuna dogo kapata matokeo yafuatayo katika mtihani wa form four- 2021 na hataki kwenda advance. Civics- C Geography- C History- C Kiswahili- B English-C Biology-C Chemistry-C Physics- F Maths-D. Yeye anapenda kwenda chuo kozi za sayansi. Je ni kozi gani anaweza chaguliwa.
  5. JamiiForums Tanzania Tunahitaji Umma ujulishwe matokeo ya Kikao hiki hapa Chuo cha Usafirishaji-NIT

    Baada ya kuibuliwa mambo kadhaa ya kishamba sana yanayofanywa na Askari pale getini ikiwa ni pamoja na kuwazuia Wanafunzi kuingia Chuo kisa hajavaa soksi na mavazi mengine ambapo kulipekea Wanafunzi hao wa kike na WA kiume kupigana na Walinzi hao, Chuo kilitoa statement ambayo ilikua ni Fake na...
  6. JamiiForums Tanzania Bado sijaona kama kuna sababu za nje ya uwanja zinazosababisha Simba kukosa matokeo, tuache kukuza mambo

    Mimi huwa nafuatilia pia Mechi za Yanga, kiukweli sijaona tofauti kubwa sana ya kiuchezaji au kiupambanaji. Tofauti pekee ni kuwa Yanga wanafanya juu chini wapate walau Goli moja na kuhakikisha hawaruhusu goli...ukitoa ile mechi yao na Namungo ambapo ilibidi Refa ajiongeze lakini Wazee Wenzetu...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Waziri wa Elimu: Shule zishindanishwe/zitengwe kulingana na mazingira ya utoaji elimu

    Sijui kama ni makusudi au uvivu wa kufikiri, au kuamua kuishi kwa mazoea. Kila mwaka baraza la mitihani wanakuja na majina ya wanafunzi na shule bora katika matokeo ya mitihani ya ngazi tofauti. Kinachosikitisha ni kwamba kuna utofauti mkubwa sana wa mazingira ya utoaji elimu hapa nchini...
  8. JamiiForums Tanzania Hatupaswi kufurahia matokeo ya Kidato cha Nne, hayana uhalisia

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Toka mwaka jana nilianza kupata mashaka makubwa kuhusu haya matokeo yaliyosheheni division one za saba kiasi cha kutia shaka. Leo nimebahatika kupata sababu mbili za kuyapuuza haya matokeo ya kisiasa; 1. A kwa sasa inaanzia 75% badala ya 81%...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Shule za Serikali kutong'ara kwenye matokeo ya mitihani, waandishi wa habari bado hawajatimiza wajibu wao ipasavyo

    Mara zote shule binafsi wanakua vinara katika matokeo ya mitihani aidha darasa la saba au kidato cha nne. Sababu za matokeo yakiwa mazuri au mabaya zipo kama vile uwezo binafsi wa mwanafunzi, bidii, mazingira, rasilimali vitabu,walimu bora, maabara za kisasa, maslahi bora ya watumishi, mbinu...
  10. JamiiForums Tanzania Matokeo yakiwa hivi inachukua muda gani hadi kuachiwa?

    Mwenye kufahamu anisaidie
  11. JamiiForums Tanzania Huwa nafurahi sana Simba na Yanga zikipata matokeo halali

    Habari zenu wana Michezo.Mimi siyo mchambuzi wa mpira ila ni mpenzi mtazamaji tu. Leo Simba kabanwa mbavu,bahasha haijasaidia,Mmadrid nae kachemka.Tulikubaliana na GENTAMYCINE kwamb Pablo akiishiwa mbinu basi atakuwa anampigia simu ZIDANE ili ampe mbinu mpya,bahati mbaya leo simu ya ZIDANE...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini matokeo ya Tume ya Uchunguzi wa Kuungua Masoko huwa hayawekwi wazi?

    Limeungua soko la Kariakoo, waziri mkuu akaunda tume, hadi leo wahanga hawajulishwa, wala umma haujajulishwa ni nini kilichopo ndani ya ripoti hizo. Sio tu Kariakoo, bali masoko yote yaliyowahi kuungua hakujawahi kuwa na majibu ya wazi kwa ripoti za uchunguzi. Ukimya wa serikali unasababishwa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha pili 2021 shule haziko 'Alphabetically'

    Hii inaitwa pambana na hali yako. Kuna shule naitafuta toka juzi siioni. Sasa kwa upangaji huu labda inaonekana hayana umuhimu sana na watu hawana mpango nayo. Sidhani kama watu wote wanatumia vifaa 'advance' vya kuweza kuwasaidia kupata kitu anachokitaka kwa haraka. Sijui tunakwama wapi.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa Div One za point 7 zinaleteleza GPA 4.5 kule SUA na UDSM. Na zamani tulikwama wapi? Tujadiliane kidogo

    1. Kuna ukweli kuwa mitihani zamani ilitungwa na walimu wakongwe, na sasa NECTA wametunga wenyewe? 2. Usahihishaji unafanyika kwa muda mfupi sana , wameongeza wasahihishaji au wasahihishaji wameongeza speed? 3. Kuna ukweli kuwa wasahihishaji wakimaliza kazi, wataalamu na standardazation...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa matokeo ya kidato cha nne basi chama cha mapinduzi kinahitaji pongezi

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Leo uzi utakuwa mfupi wa kukipa pongezi Chama Cha Mapinduzi kwa kuzidi kutimiza malengo ya ilani yake uachaguzi ya mwaka 2020. Jana tumeona matokeo ya kidato cha nne 2021 yakionyesha kupanda kwa ufaulu kulinganisha na matokeo ya miaka iliyopita. Pamoja...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi waliopokea matokeo ya kidato cha nne 2022

    Habari wakuu, Kuna wadogo zetu wamepata matokeo yao ya kidato cha nne. Ni ngwe muhimu sana kwenye maisha yao, kwa sababu ndio inayotoa upepo awe nani baadae kitaaluma kwa uchaguzi anaofanya sasa japo kwa baadhi wanaweza kuwa na wigo mpana wa kuchagua tena baadae. Hapa jukwaani kuna wengi ambao...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa matokeo ya kidato cha 4, sisi kama taifa ni vilaza wakubwa

    Wanasema lugha ambayo Mungu alitumia kuumba ulimwengu ni hesabu. Hata wanapoangalia na kulinganisha performance ya elimu kwa nchi mbalimbali, huangalia Hesabu na sayansi. Sasa basi, ufaulu wa Hesabu mwaka huu ni asilimia 20. Au ni 30? Hii inamaanisha asilimia 80 ya watahiniwa wote wamepata F ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wengi bado wako 'obsessed' na As na Bs za matokeo ya mitihani?

    Leo Baraza la mitihani limetangaza matokeo ya kidato cha 2,4 na mitihani ya ufahamu kwa wanafunzi wote waliofanya hiyo mitihani mwaka 2021. Mwezi june 2022 itatutangazia matokeo ya form 6 pia kama kawaida ya miaka yote, kila mwaka ni matokeo ya ulinganifu wa nani kafanya vizuri na nani kafanya...
  19. JamiiForums Tanzania Tujadili Matokeo ya Kidato cha Nne

    🎓 Division I to III - 35.84% (eligible for admission to government-owned A-level schools) 🎓 Division IV - 51.46% 🎓 Division 0 - 12.7% Katika kila 10 wanafunzi 6-7 system ya elimu ishawatema halafu wanadai ufaulu umeongezeka. Hapo kitakacho wasaidia ni aidha wazazi wao wawe na uwezo wa...
  20. JamiiForums Tanzania Matokeo ya kitado cha nne 2021-mkoa wako-haumo; shule uliyosoma -haimo; wanakosoma wanao-haimo

    Shule 10 Bora Kitaifa kwenye matokeo ya Kidato cha nne yaliyotangazwa leo January 15, 2022 na NECTA 1. Kemebos - Mkoa wa Kagera 2. St. Francis - Mbeya 3. Waja Boys - Geita 4. Bright Future Girls 5. Bethel Sabs Girls - Iringa 6. Maua Seminary - Kilimanjaro 7. Feza Boys - Dsm 8. Precious Blood -...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…