matokeo

  1. JamiiForums Tanzania Derby na matokeo ya sare ni kupotezeana muda tu

    Sasa ndio nini hiki tumeraruana wiki nzima halafu wanashindwa kufungana. Yaani ujinga tu haina hata raha 😡😡😡😡
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ni kweli matokeo ya mitihani NACTEVET yametumwa kwenye vyuo?

    Kuna kijana kasema amepata matokeo yake ya mitihani kupitia chuoni kwake. Je hii ni kweli kuwa mitihani imeshatumwa kwenye vyuo? Tujuzane!
  3. L

    JamiiForums Tanzania "Udhati, Nia njema, Upendo, Matokeo Halisi", kama matanga ya kusukuma "Maendeleo" ya China na Afrika

    Mwezi Machi mwaka 2013, rais Xi Jinping alifanya ziara yake ya kwanza barani Afrika baada tu ya kuingia madaraka kama Rais wa China. Akiwa nchini Tanzania, alitoa hotuba yenye kichwa "Daima Tuwe Marafiki wa Kutegemewa na Washirika wa Dhati" wakati alipokutana na wenyeji wake katika Kituo cha...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Matokeo Law School yafanyiwa ukarabati

    Safari ya kudai haki haijawahi kuwa rahisi. Tulipo kumeundwa tume ambayo composition yake ni suala jingine. Cha kushangaza kutokea kwenye website ya matokeo ya LST cohort 33 kuna ukarabati mpya! Awali kulikuwa na cases za marks dash (-) kwenye somo moja mtu kafaulu na dash (-) kwenye somo...
  5. JamiiForums Tanzania Makinda: Matokeo ya SENSA yatatangazwa mwisho wa mwezi Oktoba 2022

    Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi kwa mwaka 2022, Spika mstaafu Anne Makinda amesema matokeo ya sensa hiyo iliyofanyika Agosti 23 yatatangazwa mwisho wa mwezi huu na matokeo yatabandikwa kwenye mbao za matangazo. Makinda ameyasema hayo leo Oktoba 12 na kusema hatua zote za uchakataji wa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi Oscar Oscar atabiri Yanga kupindua matokeo Sudan kwa kufanya hivi

    Mchambuzi Oscar Oscar ametoa mtazamo wake kuhusu marudiano ya Yanga na Al Hilal.
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Watanzania tumezoea udanganyifu kwenye vyumba vya mitihani. Kilichotokea Law school of Tanzania ni matokeo ya kuzoea udanganyifu

    Habari! Mimi niliona hili tangu 2006 nilipohotimu darasa la saba, Mwalimu mkuu alipigana sana kuhakikisha anawapa majibu wanafunzi wake indirect. Mimi sijapendezwa na ule mchezo, hakika sikushiriki. Niliona ni dhambi, pili niliona najiweza. Sekondari 2010 wakati namaliza O -level sijaona...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Manara: Heshima ya Yanga itatokana na matokeo!

    Matokeo yameshatoka heshima ya yanga kwishney!!
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nactevet toeni matokeo ya mitihani vijana wajue fate yao, wazazi wajiandae na ada za mwaka 2022/2023 (vyuo vinafunguliwa 17/10/22)

    Muda ni mchache kwa wazazi kujiandaa na ada na mengineyo. Huwezi kulipoa ada kabla ya kujua fate ya mtoto. NACTEVET toeni matokeo ya mitihani maana vyuo vinafunguliwa tarehe 17/10/2022. Muda umeisha!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Haya Wanayanga tutabiri matokeo ya leo

    Leo mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara wanacheza mechi kubwa. Kulingana na rekodi zao na wapinzani wao. Je, unadhani nani atachomeka au kuchomoa?
  11. JamiiForums Tanzania Matokeo ya interview Chuo cha Ardhi kwa kada ya Assistant Lecturer - ICT yarekebishwe

    Hivi kama tume ya ajira/Chuo cha Ardhi mnakosea matokeo ya watu 8 tu, inakuwaje kwa watu 100-800? Ni kweli watu wanawekewa matokeo yao kwa usahihi? Mtu wa quality assurance anafanya nini mpaka matokeo haya yanarushwa kwenye tovuti ya PSRS? Watu 8 tu?
  12. JamiiForums Tanzania Serikali kuunda Tume za Uchunguzi na kutoweka wazi matokeo ya uchunguzi wake inamaanisha inawalinda wahusika?

    Katika nchi zenye idadi kubwa ya Tume za Uchunguzi huenda Tanzania ikaongoza, karibia kia tukio baya iwe Wizi, Mauaji, Uhaliifu wa Kawaida, Uhalifu Mbaya, Ajali za Moto, Magari, Majengo, Vifo vyenye Utata, kote huko tumeshawasikia mara kadhaa viongozi wa nchi hii hadi wale wa ngazi ya juu kabisa...
  13. JamiiForums Tanzania Jicho la Mwewe: Kufukuzwa kazi kwa Balozi Mulamula ni matokeo ya ziara za Rais nchi za nje

    Rais amekuwa akisafiri kwenda nchi za nje almost non stop tangu aingie madarakani kwa connection, mafanikio ya safari hizo kuanzia mapokezi, malengo n.k yalitegemea tu namna Waziri wa Mambo ya Nje alivyoyaandaa akiwa bega kwa bega na wenyeji wa nchi husika. Mapokezi mabovu na kuonekana kama...
  14. JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Nimekubali matokeo kuepusha umwagaji Damu na kushitakiwa ICC

    Ni takriban wiki mbili zimepita Tangu Rais William Ruto aidhinishwe na Mahakama ya Juu kuwa Rais Mteule na kuapishwa kuwa Rais wa 5, Raila Odinga ametoka hadharani na kusema hofu ya kifo na machafuko imefanya akubali kushindwa Urais. Odinga aliyegombea Urais mara 5 na kupoteza mara zote amesema...
  15. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Bukombe walipeni watumishi madeni yao ili tupate matokeo chanya

    Salaam wana jukwaa, Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima na afya njema, pia niwashukuru watumishi wote nchini Tanzania kwa kuendelea kujenga Taifa letu bila kujali kadhia mnazokumbana nazo toka kwa wakuu wenu wa vitengo na wengine wengi waliopewa mamlaka ya kusimamia...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vumbi la Mkongo na Supu ya pweza ni matokeo ya lishe duni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa changamoto inayowapata vijana wanapotaka kuongeza jamii inatonakana na uwepo wa lishe duni. Ametolea mfano wa matumizi makubwa ya vumbi la mkongo na supu ya pweza kwa vijana wa kiume, pamoja na matumizi makubwa ya chips...
  17. JamiiForums Tanzania Matokeo ya nafasi za kazi, Nursing Muhimbili/Moi Mwezi wa Saba/Nane yamenishangaza

    Baada ya dogo mmoja mwenye GPA ya 4.7 (Nursing & Midwifery)na Experience ya mwaka kuomba kazi zilizizotangazwa Muhimbili na nafasi nyingine MOI na kujibiwa kuwa amekosa Muhimbili kwa kuwa barua yake haikuwa na picha huku kwenye tangazo alilo soma hakuona hayo maelekezo ya kuweka picha, Pamoja...
  18. JamiiForums Tanzania Matokeo ya chaguzi tano za UVCCM yafutwa, Rushwa yatajwa

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka leo Jumanne Septemba 27, 2022 amesema chama hicho kimefuta matokeo ya chaguzi tano za UVCCM pamoja na kusimamisha chaguzi zaidi ya tatu za Jumuiya ya Wanawake, kutokana na ukiukwaji wa maadili, rushwa na upangaji safu za uongozi. Chanzo...
  19. JamiiForums Tanzania Panya Road: Matokeo ya maamuzi mabovu ya viongozi

    Wakati wa utawala wa Awamu ya Tano tulishuhudia kupungua kwa wimbi la uhalifu nchini lakini pia tuliona ongezeko la vijana kwenye sekta ya ujasiriamali na shughuli halali za kujiingizia kipato. Baada ya kuanza kwa Awamu ya Sita, kipaumbele cha kwanza kilikuwa ni kuwazuia na kuwaondoa...
  20. JamiiForums Tanzania Mliofanya interview DUCE kuna aliyepata matokeo?

    Tulifanya interview jana tarehe 14.09.2022 wakatuambia matokeo yatatoka kuanzia jana saa tisa, ila cha ajabu mpaka sasa ni bila bila hatujapata matokeo yeyote. Sasa hatujui kama tumefaulu au tumefeli na siku ya oral pia ni leo. Nilichoamua asubuhi hii ni kwenda moja kwa moja Duce nikapate...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…