matokeo

  1. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu wekeni matokeo kwa majina ya form four

    Ili tuone unaupiga mwingi ebu weka matokeo kwa Majina ndo tuamini upo serious na Kazi yako. Watoto huku uswahilini wanataja taja tu namba za uongo wakati wamepata zero na mbaya wanadanganya wazazi wao.
  2. Kwitogelo

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya anaweza kusoma kozi yoyote na ipi ya afya?

    Habari za humu ndani? Bila shaka wote ni wazima. Nina mdogoangu amepata division 3 ya 23 na ufaulu wake ni: physics-D CHEMISTRY-D BIOLOGY-C B/MATH-F ENG.-D
  3. S

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mwanafunzi yakiandikwa kwa mtindo huu maana yake nn?

    Kwenye points na Division pameandikwa *S.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha nne, shule zifuatazo zimenivutia

    WanaJF Kwanza nianze kwa kusema ya kuwa, nimefanikiwa kufika kwenye shule mbalimbali nikiwa kwenye harakati za kusaka tonge. Shule hizo, nyingi nilizifikia mwaka wa masomo wa 2020 na 2021. Kiufupi, nilifikia shule kwa orodha ifuatayo. Wilaya ya Geita 1. Halmashauri ya wilaya ya Geita...
  5. McCollum

    JamiiForums Tanzania TATHMINI: Je, hatma ya masomo ya Sayansi ni ipi? Ukizingatia matokeo ya kidato cha Pili na kidato cha nne 2023

    Nawapa salamu wanajukwaa, wala tusitumie muda mwingi sana tuingie moja kwa moja kwenye mada tajwa. Baada ya Baraza la mitihani la Taifa-NECTA kutangaza matokeo ya kidato cha nne ambayo yametoka siku ya leo-29 Jan 2023, nimeona niunganishe na yale matokeo ya kidato cha Pili ambayo yaliwahi...
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kwanini matokeo ya rais yasihojiwe na mahakama yoyote?

    Naomba majibu ya swali hilo katika ulimwengu huu wa kuchakachua kufoji kubambikiza kuonea kutoleana ushahidi wa uongo je kuna haja ya Kuwa na kipengele kama hiki?
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha nne yamegoma kutoka?

    Miaka mitatu hii matokeo yamekuwa yakitoka mwanzoni mwa January. Kunaa nini kimewasibu NECTA mwaka huu. Nini kinaendelea huko NECTA?
  8. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua lini matokeo ya Kidato cha nne 2022/2023 yanatoka?

    Naomba kujua lini matokeo ya Kidato cha nne 2022/2023 yanatoka?
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kulikoni matokeo kidato Cha nne kuchelewa kutangazwa

    Moja Kwa Moja kwenye maada kulikoni Baraza la mitihani NECTA kuchelewa kutangaza matokeo ya kidato Cha nne ikilinganishwa na mwaka Jana ambapo matokeo yaliwahi kutangazwa vilivile mwaka juzi. Je kuondoka Kwa Msonde kumesababisha hili?
  10. Itug

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa matokeo, ripoti na ratiba kwa shule za O- Level huu hapa

    Mfumo unaomwezesha mwalimu (mtaaluma) kupata matokeo kwa urahisi sana, mfumo unakutengenezea matokeo unakuonyesha wanafunzi 10 bora na 10 wa mwisho unakuonyesha division summary kwa male na female unakuwezesha kuandaa ratiba ndani ya dakika 2, ratiba ya shule nzima pamoja na za madarasa kwa...
  11. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Waamuzi 13 na Wachezaji 2 wasimamishwa kwa upangaji matokeo ya Ligi

    Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) limesema uamuzi huo unatokana na ripoti za siri za uchunguzi zilizooneshai kuhusika kwa wachezaji na waamuzi hao katika shughuli za upangaji matokeo ya mechi. Kupitia taarifa yake, Katibu Mkuu wa FKF, Barry Otieno amesema "Katika juhudi za kulinda uadilifu wa...
  12. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kupata alama A zote kwenye mtihani wowote shuleni? Ilikuwa shule gani na ulijisikiaje baada ya matokeo hayo?

    Wakuu kwema! Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi. Je, humu jf tupo watu...
  13. Itug

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa matokeo, ripoti na ratiba kwa O-level

    Je Unataka mfumo wa kuchakata matokeo kwa shule yako? Mfumo huu hapa utakusaidia kuandaa matokeo, ripoti na timetable kwa urahisi zaidi. Unapatikana hapa, download tu na anza kutumia ILI KUTUMIA 1. hakikisha unatumia computer yenye MS office (iwe na ms excel) 2. Fungua file kwa ku-double click...
  14. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Wilaya na mikoa inayoongoza matokeo ya mitihani

    Tujue wakulungwa. Hii ya Mwaka 2021
  15. F

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kutoa matokeo ya mtihani kwa majina umetusaidia sana hatudanganywi tena

    Nashauri baraza la mtihani wasiishie Kwa kidato cha pili, darasa la Saba na darasa la nne, warudishe pia na kidato cha nne. Kuna madogo huku mtaani tulikua tukiwaambia wasome walikua busy na wavuvi camp mambo hadharani, hakuna kuuliza sijui namba yako ni ipi. Nashauri Kwa kidato cha nne...
  16. BakalemwaTz

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha nne 2022/2023 yanatoka lini?

    Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha nne 2022/2023?? Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka huu 2022. Kidato cha nne walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi November. Kwa mwaka jana matokeo yalitoka...
  17. BakalemwaTz

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Necta kidato cha pili ya mwaka 2022 yanatoka lini?

    Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha pili mwaka huu 2022. Kidato cha nne walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi November. Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 15 mwezi January kitu kilichofanya tuone yametoka mapema. Kwa mwaka huu yawezekana...
  18. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu ya kupokea Matokeo ya usaili wa mchujo Utumishi

    wakuu kama mnavyofahamu unapoitwa katika usahili utumishi matokeo hutolewa na kila mmoja huwa ana mbinu yake ya kuyapokea sasa leo hii. Hebu tupeane mbinu ya kuyapokea matokeo maana kama mnavyojua matokeo yanaweza kukuvunja moyo au kukupa moyo wa kutokukata tamaa.
  19. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Matokeo ya vita Urusi-Ukraine ni Marekani kuitawala Dunia kikamilifu

    Nionavyo mimi 1: Kwa hatua ya sasa, anaweza kushambulia popote na chochote ndani ya Russia kupitia mgongo wa Ukraine bila Russia kumjibu moja kwa moja. Mfano Mashambulizi na milipuko ya kigaidi ndani ya Russia kila kona. 2: Vita inaidhoofisha Ulaya huku US iliyo mbali kabisa na Vita ikiwa na...
  20. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Sababu kwanini Matajiri wengi hawaendi Makanisani, na wakienda wanaenda wakiwa wamechelewa sana

    1. Waumini na watumishi, ombaomba. Kuna watu mabingwa wa kuscan watu wenye uwezo na kuanza kuwapiga mizinga. Wakati mtu kaja kuabudu waabuduji wenzake na watumishi wanamvizia wampige vibomu. Hali hii ikizidi inafukuza watu wenye uwezo kifedha. Inakuwa ni kero. 2. Mahubiri mengi yamelenga...
Back
Top Bottom