Habarini ndugu zangu,
Acha niende kwenye mada moja kwa moja, iko hivi kumekuwa na misemo ya kujifariji kwa sisi vijana eti 'kuwa single unainyoy ' au 'ukiwa single unakuwa huru na mambo yako ' na maneno mengine mengi lakini Ukweli kuwa single ni shida.
Binafsi nina experience ya kuwa Single...