A material is a substance or mixture of substances that constitutes an object. Materials can be pure or impure, living or non-living matter. Materials can be classified based on their physical and chemical properties, or on their geological origin or biological function. Materials science is the study of materials and their applications.
Raw materials can be processed in different ways to influence their properties, by purification, shaping or the introduction of other materials. New materials can be produced from raw materials by synthesis.
In industry, materials are inputs to manufacturing processes to produce products or more complex materials.
Nimeipenda rangi nyeusi ila kuna sehemu nimeambiwa huwa inanyonya sana joto
Je nichukue rangi ipi au mchanganyiko wa rangi gani.
material ipi nzuri kwa bei isiyozidi laki 3, gari ina siti tano
Ukitulia vizuri ukachambua mambo ya siasa na wanasiasa kwa jicho la tatu, utagundua Tanzania ina uhaba wa wanasiasa wenye utulivu.
Lakini kila nikimuona Simbachawene naiona future iliyo bora kabisa kwa ustawi wa nchi yetu.
Namsihi aendelee hivyo hivyo, unaweza kuwa mtulivu na mwenye hekima na...
Mwanamke huyu huyu anayeweza kukubali kuolewa kuwa mke wa pili kwenda kujaribu kushare mapenzi na mwanamke mwenzake au kuwa mchepuko ili hali anajua awala yake ana mke, ndio huyu huyu anaulizia integrity ya mapenzi yangu kwake???? Haileti sensi
Mwanamke huyu huyu ukiwa na rasili mali za kutosha...
Wajuzi wa mambo wazoefu ,tupeni uzoefu kwaliofanya kazi za tenderza serikali hasa zakusuplly materia katika mashule na zahanati pamoja na ujenz wake,zikoje nazo zinakujuana nakucheleweshewa malipo japo pesa ziko kwenye account husika na mashule na mazahanat
coscated uliniita. Acha nikupe ushauri kabla sijarudi chimbo. Bikra ndio nembo ya tabia njema ya mwanamke. Ukipata binti wa miaka 20 kuendelea mwenye bikra huyo ni Wife material, muoe.
Kelele za mahusiano utazisikia kwa wengine.
Bikra Matter
Jibu ni greenhouse gases ndo raw material zilizotumika kutengenezea ozone layer hii ya dunia na hata za sayari nyingine
Greenhouse gases zinazotumika kutengeneza ozone layer za sayari tofauti tofauti ni kama zifuatazo;-
Carbon dioxide
Methane
Nitrous gases
Fluorinated gases
Nikiwa Rais wa...
Kuna mablankenti ukilalia unajikuta unakohoa sana. Usipolilalia unakuwa sawa. Ni kama yana materials mabaya yenye kuleta allergy. Hatujui madhara mengine yanayoweza kuleta kwenye mfumo wa upumuaji wa binadamu. Serikali iangalie ubora wa mablanketi yanayoingia nchini na kupitia materials...
Habari wakuu.. niko na shida ya Box flan ivi. Ni box ambazo zinatumika kufungia apple.. zinakuwa na layer 2 ndani na nje pia zinakuwa na matundu matundu flan.
Wale wasambazaji wa Ma apple watakuwa wanajua aina hii ya Box kwa yoyote ambae anaweza kupata Box hizi kwa wingi hasa wale wanaofanya...
Haijalishi ni used au bikra
Kwa hali ya sasa ukichagua mwanamke kwa kigezo cha bikra pekee safari badi ni ndefu.
Maamuzi sahihi ni kuangalia yupi mwenye akili timamu na anaefaa kuwa mke haijalishi ni used wala bikra
Mzuka JF?
Wengi wa mr Nice Guys wanakuwa wamelelewa zaidi na mama/wanawake baba anaweza awe hayupo ama yupo lakini yupo literally ABSENT ....unakuta wanakuwa hawako balanced wanakuwa na attachment na mama zaidi....yeye kila kitu ni mama, mama ndio ana decide pesa yake inatumika vipi na mama...
UNAWEZA UKAWA WIFE MATERIAL NA BADO DUNIA IKAWA KINYUME NA WEWE. NDOA IKAWA NGUMU KWAKO. FANYA HAYA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Ni kweli wapo wife material ambao hawajaolewa na ambao wanahangaika Kupata ndoa.
Na wapo wife material ambao wameolewa lakini ndoa ni ngumu kwao. Wamepata...
Ova
Utafanya naye mapenzi bure bila hela...Mtajuana na kutambulishana kwa wazazi huyo mwingine Acha longoLongo sema una shilingi ngapi
Wanamaanisha ukioa usafi wa nguo zako hata boksa utamkabithi yeye bila malipo anapiga kila siku asubuhi na jioni
Wanamaanisha Anatunza nyumba yenu kwa usafi...
Habari za jioni wakuu. Kati ya mbao , MDF na marine board ni ipi material imara kwenye kutengeneza kabati?
Nimeenda kwa mafundi nataka wqnitengeneze kabati ila kila mmoja ana material tofauti. Je kwa kabati la nguo material gani ni nzuri na imara?
January mwaka kesho Chadema inatarajia kumchagua Mwenyekiti wao mpya Taifa, ikumbukwe kuwa mwaka huo huo Novemba 2025 chama hicho kinakabiliwa na uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.
Kwa uzoefu wangu hadi sasa sioni mwenye uwezo wa kupeperusha bendera ya Chadema kupambana na Samia zaidi...
Nawasilimu wana JF
Kwakweli tangu niliposhuhudia dem anaomba hela kwa boy wake anapewa halafu na yeye anaenda kumtoa lunch boy wake, basi niliumia sana.
Njia pekee ya kuniach ni simple, niombe hela yani hapo napoteza interest.
Katika harkati zangu za kutafuta wife material, nikakutana na huyo...
Kwa anaejua sehemu naweza kupata material za kutengeneza viatu kariakoo yaani ngozi, leather, last, gundi,uzi n.k naomba anielekeze.
Kuna sehemu nameelekezwa tatizo ni mbali sana ivyo nakosa muda na biashara za kuigiza huwa siziwezi napendelea zaidi nifike mimi mwenyewe dukani kuikagua na...
HABARI ZENU NDUGU ZANGU 🙏
Najitokeza kwenu, na kwa kumshirikisha Mungu kuwa natafuta mwanamke wa kujenga nae familia pamoja.
Kama kuna mwanamke ambaye anaji-consider yeye mwenyewe kuwa ni "WIFE MATERIAL NA PIA ANA HOFU YA MUNGU" ( after evaluating herself) na ana uhitaji wa "MUME" na sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.