mate

Mate or maté, ('mat̪e) maté being the French spelling indicating a voiced final e, also known as chimarrão or cimarrón, is a traditional South American caffeine-rich infused drink. It is made by soaking dried leaves of the holly species Ilex paraguariensis in hot water and is served with a metal straw in a container typically made from a calabash gourd (the mate proper), but also in some areas made from a cattle horn (guampa).
Mate was consumed by the Guaraní and Tupí peoples. It has been drunk in South America since before the arrival of Europeans. Its consumption was exclusive to the natives of two regions of the territory that today is Paraguay but that before was named United Provinces of the Río de la Plata (now Argentina), more specifically the departments of Amambay and Alto Paraná. Some ethnic groups that consumed it are the Avá, the Mbyá and the Kaiowa, and also, to a lesser extent, other ethnic groups that carried out trade with them, such as the ñandevá, the Taluhets (ancient pampas) and the Qom (Tobas). It is the national beverage of Argentina, Paraguay and Uruguay and is also consumed in the Bolivian Chaco, Northern and Southern Chile, Southern Brazil, Syria (the largest importer in the world) and Lebanon, where it was brought from Paraguay and Argentina by immigrants.Yerba mate (Ilex paraguariensis), ka'a in the Guarani language, contains (among other compounds) the stimulant caffeine. The leaves are dried and chopped or ground to make the coarse powdery preparation called yerba (meaning 'herb'), which is then soaked in hot water.
The metal straw is known as a bombilla or bomba and is traditionally made of silver. Modern straws are typically made of nickel silver, stainless steel, or hollow-stemmed cane. The bombilla functions both as a straw and as a sieve. The submerged end is flared, with small holes or slots that allow the brewed liquid in, but block the chunky matter that makes up much of the mixture. A modern bombilla design uses a straight tube with holes or a spring sleeve to act as a sieve.The container the mate is served in is also known as mate. It is commonly made from calabash gourd but may also be made out of other materials.
Today, mate tea is sold commercially in tea bags and as bottled ice tea.

View More On Wikipedia.org
  1. Its Tesha

    Mabeberu wanamezea mate Uranium yetu, wanatuonea wivu

    Tukisema tuna viongozi wa hovyo mnasema tunatumika na mabeberu haya kunyweni hilo tope Uranium zipo chini!!!
  2. mtoto wa kibopa

    nahitaji vifaa vya simu aina ya huawei mate 20 pro viwe used au vipya

    nahitaji vifaa vya huwei used hata kama ni vipya itakuwa sawa tu...vifaa ninavyovi hitaji ni mfuniko wa batri uwe na muonekano kidogo mzuri kama ni used,camera ya mbele na nyuma...au hata ikipatikana hii simu iliyokufa display nitanunua.
  3. Top Gun

    Hivi wakuu huu ukata ni mimi nausikilizia pekee yangu au hata nyie mnameza mate yenu wenyewe?

    Yani hata sina cha kuandika wakuu. Najuta kuzaliwa kuja kusaidiana na mateso. ☹️ Aiseee
  4. M

    Si kila mate ni udenda, jua aina nyingine za mate

    Udelele ni mate mazito yanayomtoka mtu labda kama ni punguani au ana matatizo Dovuo ni mate mazito yanayomtoka mtu akiwa usingizini, huwa yana harufu kali Udenda ni mate yanayomtoka mtu kutokana na kutamani kitu kama mapochopocho nk
  5. Papillon 1906

    Throwback : Tupac alivyowatemea mate waandishi wa habari

    Tarehe 5 July 1994, Tupac aliwatemea mate waandishi wa habari walikuwa wakisubiri kumuhoji baada ya kutoka katika mahakama ya state Supreme mjini New York. Alikuwa akikabiliwa na shtaka la unyanyasaji wa kingono uliompelekea kufungwa kwa miezi 9.
  6. Echolima1

    Mwarabu mmoja Amtemea mate Mwanajeshi wa kike huko Tel Aviv Israel

    Raia mmoja wa Israel mwenye asili ya kiarabu leo akiwa kwenye usafiri wa Umma wakati anashuka alimtemea mate Mwanajeshi wa jeshi la Israel IDF kisha kukimbia tukio hilo lilinaswa na kamera za cctv zilizomo kwenye basi hilo. Juhudi za kumtafuta zinaendelea baada ya wataalamu wa Forensic-lab...
  7. Leonce jr

    Kutemea mate wakati wa tendo

    Habari. Jamani hiki ni kitendo mimi sikipendi na sifanyi hivyo kumtemea mate mwanamke wakati wa tendo. Binti usikubali kutemewa mate sehemu za siri ni uchafu na zalau, mate ni mazuri kwa romance lakini ya kitumiwa vibaya ni uchafu. Mimi naomba Mungu nisipate mwanamke ambaye alikuwa anatumiwa...
  8. Magical power

    Kitu ya kitimoto na ndizi

    Unaangusha mate ukiwa wapi😁😅😅😅😅😅😅
  9. Desierto

    Tulitumia mate kujua mifugo ilipo

    Sasa sijui ilikuwa ni Imani tu au lah! Ukipoteza mifugo hasa porini unaweka mate kwenye kiganga Cha mkono Kisha unayachapa kwa kidole yanaruka yatakaporuka mengi ndo huko huko inaelekea. Ili kuhakikisha unageuka pande mbili mashariki na kaskazini au kusini unarudia kila upande unachapa Mara...
  10. Chief Kumbyambya

    Huyu muhudumu wa kaunta ni kama ananimezea mate

    Nimetimba kwenye ka liquor store flani mida ya saa 12 jioni nime wakuta majamaa watatu wamezungusha serengeti lite kaunta nzima, nikawapa hi alafu nikaongea na dada wa kaunta anipe valeur kubwa alafu kimyaaa. Muda huu imeisha hawa Majamaa wanabishana mambo ya ligi ya uingereza nimeagiza tena...
  11. Rorscharch

    Wakatoliki mnaokimbilia kwa haya makanisa ya kinabii, njooni hapa turudishane njia kuu

    Ndugu zangu, majirani zangu, wana parokia wenzangu, na wanajumuiya wenzangu, ni wazi kuwa tunapitia changamoto nyingi zinazoweza kutufanya tuishi kwa kutetereka kiimani. Vishawishi vya dunia ya sasa vinatufanya kupoteza dira, huku tukishawishiwa kuamini kwamba suluhisho la changamoto zetu lipo...
  12. SSH2025_2030

    "Weka mate niteleze" inavyoeneza UKIMWI

    1. Hii kauli mbiu imemaliza vijana wengi Sana maeneo ya Vijijini na visiwa vya ziwa victoria ambako Kondom ni adimu Sana. 2. Kavu sio mpango
  13. M

    If you really want to attract a high-quality mate in life, say goodbye to these 8 behaviors

    Attracting a high-quality mate isn’t about luck or beauty – it’s about the behaviors you exhibit. Certain actions can drive the right people away, while others act like a magnet, pulling them in. That’s why it’s important to understand which behaviors to ditch if you want to attract a...
  14. S

    Baada ya kukosa wenza wa ndoto zao, wengi wa waliopo kwenye ndoa waliamua kujilipua kwa kuishi na "ili mradi ni mke/mume"

    Tafiti zinaonesha kuwa ni 2% tu ya waliopata wenza wa ndoto zao. 98% mmoja au wote 2 wanaishi na "ili mradi ni mke/mume", baada ya kukosa kwa sababu mbalimbali ywale waliowatarajia akilini mwao . Wengi walitaka kumpata mwenzao mwenye package hii: msomi, tajiri, mrefu, mweupe, umbo namba 8...
  15. USSR

    Wanawake, eti ni kweli hamtaki kuwekewa ulimi masikioni eti tunawajaza mate masikioni

    Ni swali tu nimeuliza maana mnasema tunawajaza mimate masikioni tu hakuna ashki masikioni USSR
  16. GENTAMYCINE

    Wangapi hapa JamiiForums tulikuwa tunamjua huyu Nyoka HATARI asiyeuma, ila anatema Mate yenye Sumu aitwae Fira?

    Mwenye Kamusi mpya kabisa ya maneno mapya ya Kiswahili Fasaha ya TUKI aende katika Ukurasa wa 126 akamjue huyo Nyoka HATARI kabisa aitwa Fira. Nyoka Fira hatari acheni masihara.....!!
  17. covid 19

    Kuna mmama alikuwa ananiangalia sana hadi nikajishtukia, nilipomchunguza vizuri nikagundua ni class mate wangu

    Hawa wenzetu wanazeeka haraka sana jamani jana nilikuta na class mate wangu ila ilikuwa ngumu sana kumgundua hadi nilipo mchunguza kwa makini ndio kuja kugubdua ni class mate wangu wa sekondari 2006 2010 ila ni mmama kabisa yaani yule after 4 to 5 atakuwa na wajukuu kabisa. Sasa kuna rafiki...
  18. Pdidy

    R.I.P rafiki yangu (Class mate) leo umetimiza miaka kadhaa

    Ni class mate wangu Allah ampungizie adhabu ya kaburi Baada ya miaka kadhaa kuachana toka shule tukakutana nae aport akisafiri kwenda Kigoma m nakwenda Arusha Kaka akaniambia nw n mheshimiwa anaenda kuwa hakimu huko Kigoma Kiutani nkakuta namtania mkuu uwe makini yale maeneo sio elekezi...
  19. S

    Tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani inanikera sana

    Katika vitu vinavyonikera na kunitia kinyaa ni tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani,. Najua sometimes kuna sababu(jasho kudondokea mdomoni, n.k), ila lazima kuwe na hatua za ku-discourage hii tabia ili vitendo hivi vipungue viwanjani kwani inatia kinyaa sana, Wachezaji wenyewe ndio...
  20. VanDon

    Mate yasitumike kama kilainishi wakati wa tendo la ndoa

    Msitumie mate wakati wa tendo la ndoa "Sio salama kutumia mate kama kilainishi wakati wa tendo la ndoa kwa sababu kuna vijidudu ambavyo vipo katika mate, kwa hiyo vinatakiwa vikae huko huko havitakiwi kuhamishwa sehemu nyingine. Ukivipeleka sehemu za siri unaweza kusababisha changamoto...
Back
Top Bottom