Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,501
- 6,643
Unaangusha mate ukiwa wapi😁😅😅😅😅😅😅
Mboga ya majani ikipikwa hivyo huwa sili kabisa, mm sio ngombe eti uniwekee majani mazimazima bila ya kuyakata kata.Unaangusha mate ukiwa wapi😁😅😅😅😅😅😅View attachment 3265104
Mkuu mboga ya majan shart isiive Ile uji uji ndo inatakiwaMboga ya majani ikipikwa hivyo huwa sili kabisa, mm sio ngombe eti uniwekee majani mazimazima bila ya kuyakata kata.
Amekausha sana, hapo ongeza castle lagerUnaangusha mate ukiwa wapi😁😅😅😅😅😅😅View attachment 3265104
🙆🏻♀️Unaangusha mate ukiwa wapi😁😅😅😅😅😅😅View attachment 3265104
Dah we jamaa lichoyo afu unaniita mm chimama Ako kweli posho unaenjoy mwenyew na Malaya zako tuachane nimechoka😹😹Unaangusha mate ukiwa wapi😁😅😅😅😅😅😅View attachment 3265104
Na mishangaz sio, 😂😂😂Dah we jamaa lichoyo afu unaniita mm chimama Ako kweli posho unaenjoy mwenyew na Malaya zako tuachane nimechoka😹😹
Mapema apo,au ulitaka na FUTA FUTA linone kidogo mkuu 😂😂😂Amekausha sana, hapo ongeza castle lager
Kunani Tena 🤷🏽♂️😂🙆🏻♀️
Toka mwanaume unagubu kweli kama vile unadaiwa HESLB jaman 😹 😹Na mishangaz sio, 😂😂😂
Bas chimama changu njoo
😂😂😂😂 Njoo weee chimama changu 😂😂 Kwa midekooo na weeeeeeToka mwanaume unagubu kweli kama vile unadaiwa HESLB jaman 😹 😹
Chibaba si nimeibiwa simu tuonee kama tutapata mpya chibaba 💔😂😂😂😂 Njoo weee chimama changu 😂😂 Kwa midekooo na weeeeee
We ulikua wap ad inaibiwa
Imekaangwa vibaya hata haivutii aisee🚮Unaangusha mate ukiwa wapi😁😅😅😅😅😅😅View attachment 3265104
Nimetamani tu 🤪Kunani Tena 🤷🏽♂️😂
Issue sio kuiva nimezungumzia kukatwa katwa vipande vidogo, ukiangalia hapo juu unaona shina lote la mchicha limepikwa kama lilivyo.Mkuu mboga ya majan shart isiive Ile uji uji ndo inatakiwa
😂😂😂Jinunulie mwenyewe usimsumbue baba wa watu anachoka huyo