matamko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano ya amani Januari 24 mwaka huu mkoani Dar es Salaam kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni ya wadau kuhusu masuala ya uchaguzi. Maandamano hayo kabambe ya kupigania haki yataanzia Jijini Dar es Salaam na Yatafanyika 24/1/2024...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tusidharau vijana. Haya matamko ya kuwasema vibaya na kuwakatisha tamaa yazuiwe

    Ninaandika kwa masikitiko makubwa kufuatia kuona watu mbalimbali maarufu (Public figures) wakitoa matamko yanayokatisha tamaa na kuwakera vijana. Siwezi kurudia yaliyosemwa ila mengi yana ukakasi. Ifike hatua serikali, CCM na upinzani wawe makini sana na watu wote hasa viongozi wanaotoa kauli za...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Viongozi wanafiki wanashinda YouTube kutafuta matukio ya kupatia kiki za kisiasa. Huu ni unafiki

    Nachelea kusema kuwa Tanzania hakuna kiongozi mwenye uchungu na nchi hii. Kila mtumishi wa umma kaachwa afanye atakavyo. Akiharibu na taarifa ikifika kwenye media ndipo wanafiki (viongozi) hujitokeza kutoa kauli za kusimamisha kazi watumishi. Tangu Januari mpaka leo matukio ni mengi ambayo ni...
  4. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Kwanini matamko ya Kanisa Katoliki kuhusu Serikali mienendo ya Serikali mbalimbali duniani huwa yanakuwa na nguvu zaidi na pengine tofauti na mengine

    Wajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine? Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki ndio ulipata mileage na attention kubwa tofauti na madhehebu mengine ambayo pamoja na kutoa pia...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa dini wako kwenye payroll ya idara nyeti hivyo matamko yao yako engineered na idara

    Viongozi wengi wa dini wako kwenye payroll ya idara nyeti na wamewekwa makusudi ili kuituliza jamii kipindi cha hamkani si shwari. Jiulize kwani mara nyingi hutoa matamko ambayo ukiyaweka kwenye mizania unayaona kabisa yako kinyume na jamii na hayana upako wa kimungu bali wa kisiasa? Bosi wa...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya video ya mhudumu wa afya kuosha vifaa tiba na maji baridi kusambaa, wamekurupuka na kutoa matamko mawili

    Baada ya video kusaambaa ikionesha mhudumu wa afya akiosha vifaa tiba kwa maji ya baridi na kunianika juani, serikali imekuja na majibu, ila kama kawaida inaonesha huwa hawawasiliani na hivyo kutoa matamko mawili mawili. Waziri Ummy katoa tamko kuwa ameona video hiyo na kwamba atafatilia kujua...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kuendelea kuendesha nchi kwa matamko ya jukwaani

    Mgogoro wa wafanyabiashara Kariakoo unatokana kwa kiasi flani na mazoea ya viongozi wetu kuendesha nchi kwa matamko ya jukwaani. Tangu lini tamko la kiongozi jukwaani likawa sheria? Jambo kubwa kama ukusanyaji wa kodi na msamaha wa kodi kwa miaka 3-5 linatamkwa tu jukwaani bila maandishi...
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nchi inabidi kuongozwa na mifumo thabiti na imara na si matamko ya wanasiasa. Wasomi tulisaidie Taifa

    Tumefika hapa tulipo kwa sababu hatuna mifumo ya kuongoza nchi. Inashangaza kuona anatokea mtu mmoja mjinga anavunja katiba ya nchi na bado anaendelea kuwa kiongozi. Hatuwezi kupiga hatua kama Taifa liashindwa kuwa na mfumo sahihi. Wasomi hakikisheni mnalikomboa Taifa kila kitu kinabi kuwa...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania Watendaji Serikalini kusubiri matamko ya viongozi wa juu ndio watimize majukumu yao inaonesha kuna shida kwenye mamlaka

    Wiki iliyopita nilitazama taarifa moja ambao nainukuu hapa ilivyoanza; “Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo wahakikishe wanamfikisha katika vyombo vya sheria baba mzazi wa mwanafunzi wa darasa la pili (7) Jijini Arusha...
  10. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kusema nchi inaendeshwa kwa “viclip”/matamko?

    Ni Jambo la kusikitisha na la hatari sana kwenye utawala wa sheria katika zama hizi za upotoshaji wa kimtandao “misinformation era” Teuzi na tenguzi au maTangazo ma kubwa yanayohusu mustakabali wa nchi tunajulishwa kwa barua za msemaji, binafsi nilitegemea liwe Tangazo la serikali “government...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Kinana ( Makamu Mwenyekiti CCM Bara ) katoa tu Tamko kwa 'Matrafiki' limetendeka, tunamuomba atoe na 'Matamko' na huku pia.....

    1. Aamrishe aliyewadanganya Watanzania katika 23.3% ya Mishahara akamatwe upesi na ashtakiwe afungwe Jela kabisa. 2. Aamrishe wale Wote waliofanya na Wanaofanya Uharamia wa Wanyama katika Mbuga zetu na Kusafirisha Nyara zao ( Ivory and Tusks ) si tu Wakamatwe upesi bali Wauwawe kabisa hata kama...
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania Tumechoka matamko juu ya MSD, hatua za uwajibishwaji zifuatwe

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, amegiza Bodi ya Wakurugenzi ya Bohari ya Dawa (MSD) kufumuliwa na kusukwa upya ndani ya miezi sita hilo likienda sambamba na kuondoa watumishi waliokaa zaidi ya miaka 20. Waziri Ummy amesema kumekuwapo na tuhuma kubwa za rushwa MSD na licha ya kuondoa wakuu wa...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Machinga wanahitaji sera, sio zimamoto na matamko ya hivi

    Machinga sio kikundi cha watu ambao ukishawasikiliza wao na kuwatekelezea kilio chao basi umemaliza, hapana. Watu wanaweza kudhani kuwa machinga ni vijana tu, hapana, ndani ya machinga kuna watoto, vijana, watu wazima na wazee. Mbaya zaidi wadau wa machinga wamo watu wenye wenye ajira zao na...
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kama Seal za vizibo vya chupa za maji zinachafua mazingira. Je, karanga na pipi hazichafui?

    Ukubwa wa seal za vizibo vya chupa za maji hauna tofauti na ukubwa wa vifungashio vya karanga na pipi. Seal za vizibo vya chupa za maji zilikuwa ni uhakika kwa mtumiaji kuwa maji hayajachakachuliwa Unapozuia maji kuwekewa seal una maana gani? Maji fake yaingie mitaani?
  15. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme nchini na matamko 4 tofauti ya Serikali

    1) Mheshimiwa Waziri wa Nishati January Makambaanadai kwamba: a) Tatizo la Mgao wa Umeme limesababishwa na Uchakavu wa Miundombinu ambayo haijafanyiwa Matengenezo kwa miaka 5!! b) Tanesco hawajafanya Matengenezo katika kipindi kilichopita cha miaka 5 (soma: Awamu ya 5) kwa sababu eti kila...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Nini kipo nyuma ya Channel Ten na matamko ya BAVICHA?

    Sio utamaduni wa chombo cha utangazaji cha Chanel Ten kutangaza habari za vyama vya upinzani nchini. Tangu wiki lililopita wamekuwa wakitangaza taarifa za Chadema wakidai wao ni wanachama wa chadema bile kujitaja wadhifa wao kichama. Pia najiuliza juhudi ya channel Ten kuwa mstari wa mbele...
  17. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa na Wilaya, toeni tamko moja kuhusu COVID-19

    Nachokiona ni mparaganyiko wa viongozi. Leo atatoa tamko Mkuu wa Mkoa kesho Mkuu wa Wilaya. Leo utasikia ya Dodoma, kesho Tanga, kesho kutwa Kiteto. Mimi nafikiri mnatuchosha wananchi. Inaonekana viongozi mnaogopa Covid kuliko sisi wananchi. Tunaomba mjipange then mje na tamko moja...
  18. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

    "Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume PIA, SOMA: - CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima
  19. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi kila kukicha ni matamko na kujimwambafai kwa kila awaye akiamua...

    Kule Mbowe kasema vile huko fulani kadai kile ajabu hata wasio na hadhi japo ya kutamka jambo fulani na wao eti leo ni wasemaji! Hayo mambo ya kijinga tulishayasahau kabisa na Watanzania tulishaamua kufanya yale tu yahusuyo maendeleo chini ya jemedari mwamba Hayati Magufuli. Samia asipokuwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Nyagali Mdude ana cheo gani hapo Chadema mbona CCM inamtolea "matamko" kila kona?

    Ningependa tu kujua mtu anayefahamika kwa jina la Nyagali Mdude ana cheo gani katika viunga vya Ufipa kwenye chama kikuu cha upinzani Chadema? Matamko dhidi ya huyo Mdude kutoka CCM yamekuwa mengi so ingependeza zaidi kama tutapata wasifu wake wa kijamii, kisiasa, kiuchumi na kitaaluma...
Back
Top Bottom