Jeshi la Polisi linaendelea kufuatilia kwa karibu hali ya kiusalama nchini na kuchukuwa hatua kwa ukiukwaji wowote ule wa sheria za nchi.
Aidha, kumekuwepo na makundi mbalimbali, watu binafsi ambao wameendelea kujitokeza na kutoa matamko yenye kuashiria uvunjifu wa amani na kujenga chuki...
Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC).
Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini yoyote, sasa hawa BAKWATA na wengine hawawezi kuzungumza yao bila kuishambulia TEC.
Nitarudi na...
Wakati wa uchaguzi mkuu mambo makubwa mabaya yalifanyika dhidi ya waandamanaji waliokuwa wanadai Haki siku ya tarehe 29.10.2025 hadi tarehe 04.11.2025 nchi iliingia gizani huku raia wake wakisulubiwa ipasavyo waliokuwa wakidai haki neno ( shoot to kill) lilikuwa nineno rahisi dhidi ya watawala...
Haya matamko yanaleta taharuki maana si JWTZ, polisi, mawaziri na vyawa wameshasema hakuna maandamano? Sasa kuendelea kusema kitu ambacho hakitafanyika na hakipo kunanikosesha amani binafsi.
Kwanini matamko yasikomeshwe ili sasa tujiandae na hiyo tarehe 29? Kwani kuna hofu gani wakati kitu...
Kwa kifupi tu Andrew Nyerere mwenye Ubini na ihalali wa yale majengo alishamaliza kila kitu na ndiyo maana familia ya ndani ya Baba wa Taifa wapo kimya.
Butiku asitake kula matapishi yake tuko imara kwa data aliwahi kuiponza Taasisi ya TPO leo anaona maslahi ya wanaye ni bora kuliko Taifa hafai...
Wakati Makobazi yanasema Israel imepiga upepo. Khayatolla aanza kutoa Milio. Tupate habari toka Al Jazeera. Nuclear Sites zimepigwa na Makamanda kuuawa. Na Nuclear scientists wameuawa pia.
Mara nyingi, tumekuwa tukisikia taasisi za kijamii, wanaharakati, wananchi nk wakiilaani nchi fulani au viongozi wa kisiasa kwa madai kwamba wamekosea au kutenda jambo linalowaletea maumivu.
Wakati mwingine watu wenye dini nao husikika wakitamka maneno ya laana dhidi ya wale wanaoona...
Mandela nyakati fulani aliwahi sema Makabulu lugha walio kuwa wanaielewa vyema ilikuwa ni ya Lisasi tu. Hizo Lugha zingine walikuwa hawazielewi na zilikuwa haziwaingii kabisa.
Na Wazulu walivyo kuwa wanapambana na Makabulu kwa Bunduki angalau kuna wakati Makabulu walikuwa wanaelewa lugha hio...
Kwenye msafara wa mamba, kenge na mijusi nao huingilia kati na matokeo yake ni uchafuzi, kwa sasa nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu....yatupasa kuelewa kuwa wapo maadui wasio itakia mema Nchi yetu wanaweza kutumia faida ya malumbano na matamko kutuingiza kwenye machafuko.
Nchi ikichafuka...
Hivi kama mliamua kwa dhati kushinikiza madai ya reforms na mkawa na imani na ujasiri kuwa inawezekana,, mmekosa namna ya kufika mahakamani kufuatilia mwenendo wa kesi ya kiongozi wenu kweli? Je, madhani mtashinikiza tena hizo reforms kama tu kukabiliana na wanaowashima haki zenu inashindikana...
Wakati wa mahakama ya kadhi
Swala la OIC wakati kuna Vatican hapa
Swala la masheikh na kesi. Wao wanataka waislam wawapigie kelele ktk harakati zao ?
Nimemsikia Lema leo akiwalaumu waislam hawatoi tamko ktk swala la no reform no election kwa sababu Rais muislam.
Swali lini CHADEMA imewapigia...
Huyu jamaa asilimia kubwa ya matamko yake ni mambo mepesi mepesi ya kiserikali......kama updates za ujenzi wa viwanja vya mipira na kukabidhi pesa za magoli ya mama.
Hivi kweli amekosa kingine cha kuisemea serikali nje ya mambo ya kimizaha mizaha...amekuwa kama Ahmed Ally wa Simba sc
Sioni...
Naona vilaza wa ccm wamehsa anza kutengeneza hoja za udini dhidi ya tamko ta TEC acheni ujinga huo, msitafute huruma kijinga namna hiyo, pimeni madai yao na mjitafakari
Kwa akili zenu zilivyo ndogo na chama kilivyo kosa washauri wazuri kwa sasa sio muda mtawatuma BAKWATA wajibu mapigo...
Janga la wazazi kutamka matamko ya laana linashika kasi sana na hasa kwa hawa wazazi wenye umaskini ukifuatilia utakuta malalamiko mengi yenye viashiria vya kutoa laana kwa watoto zao.
Changamoto kubwa ni wazazi kufanya watoto mitaji ya kuwakwamua kwenye umaskini wao hivyo ikiwa nje ya...
Naipongeza shinyanga
Napongeza Arusha
Napongeza Pwani
Wengine jionesheni, muda wa kuanguka na kupumzika siasa kwa FAM umefika. Ni aibu taasisi kubwa inayopigania maendeleo ya demokrasia duniani kuwa na kiongozi kama FAM anayeishi kama mfalme.
Nashauri tu.
Waziri wa Sheria na Katiba, Mh. Ndumbaro, amewapa za uso Chama cha Wanasheria Tanganyika kwamba kinatoa matamko ya kukurupuka tu.
===============
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameonesha kutofurahishwa na mwenendo wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kutoa matamko ya...
Wakuu,
Fujo zilizoibuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho kati ya Simba SC na CS Sfaxien zimeibua mkanganyiko kuhusu uwajibikaji.
Jeshi la Polisi lilibainisha kuwa mashabiki wa CS Sfaxien walihusika moja kwa moja kung’oa viti 256 na kuanzisha vurugu baada...
Nimeliona bandiko la ndugu yetu Mwigulu Nchemba, ambaye hajawahi kutoa tamko lolote kuhusu watu wanavyotekwa na kupotezwa, labda kwa sababu sio wanachama wao au ndugu zao. Hali hii inaonyesha ulevi wa kupindukia wa madaraka. Jana, baada ya watu wao kuguswa kidogo, amekurupuka kutoa matamko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.