maswali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MASWALI NA MAJIBU: Msimu wa Diversity Visa ya Marekani kwa mwaka 2023, Epuka kutapeliwa

    Video kuhusu taarifa sahihi, Maswali na Majibu kuhusu viza hii . Epuka kutapeliwa; kumbuka hakuna ada yeyote inayotozwa kwa kutuma maombi yako. https://dvprogram.state.gov/. #DiversityVisa American Diversity Visa Season for the year 2023 Accurate information, Questions and Answers about...
  2. A

    Maswali kuhusu Oral Interview za Utumishi

    Wapendwa Habari zenu. Samahani nilikuwa naomba kuuliza majibu ya usaili wa ana kwa ana (oral interview) ya utumishi huwa yanatoka baada ya muda gani. Walisema wiki 2 mpka tatu lakini ni wiki ya 4 hii naona kimya hakuna update yoyote ile. Asanteni.
  3. Waziri Prof.Mkenda, umekwepa Maswali Bungeni unatuachia hatari wakulima wa Vanilla nchini

    Wana JF. Waziri wa Kilimo Mkenda ameonyesha ubingwa wa kukwepa maswali au kutoa majibu mepesi kuhusu mikakati ya kuimiza na kuboresha zao jipya la vanilla katika kuleta maendeleo ya nchi na wakulima, yeye jinsi alivyojibu unaweza Ukakaa chini ukalia. Yale matatizo wapatayo wakulima wa korosho...
  4. Hanstone aachia EP nje ya WCB.....aacha maswali mengi

    Wakati watu wanasubiria msanii anaefatia kutambulishwa WCB ni Hanstone yule wa kwenye Iokote. Muda sio mrefu ameachia EP yake bila kuwa chini ya management ya WCB Wasafi. Maswali yamekuwa ni mengi sana. Je ameshindwa kuvumilia msoto wa benchi kama mwenzie Zuchu? Au WCB walichoka matukio yake...
  5. Maswali kuhusu Xiaomi

    Ndugu, Hatimae nimefanikiwa kumiliki simu niliyokuwa ninaiota kwa muda, Mi 11 Lite 5G. Ndiyo ninayotumia kutype hapa. Sijaona changamoto zozote za kiutendaji kazi, ipo bomba balaa hasa spidi. Yenyewe ni ile ya RAM 6/128GB storage. 1. Ilibidi nimuagize mtu aliyekuwa anarudi nyumbani kutoka...
  6. J

    SoC01 Maswali yaliyogonga kichwa ushindi wa lazima

    Je, ni kweli hakuna ajira kisa wasomi ni wengi? Kusema wahitimu hawana uwezo wa kuajiriwa au kujiajiri? Je, vijana tunaelewa kuwa maendeleo ni mchakato na si kulala masikini ukaamka tajiri? Je, tumegundua kuwa elimu ya sasa na ile ya miaka ile ni tofauti kitakwimu kabla ya kusema kwa nini...
  7. Kwako Mightier, toka mafichoni uje unijibu maswali yangu

    Siwezi kukupa pole kwa matokeo ya leo maana wewe umesababisha wanasimba kibao kufa na wengine kupata magonjwa yasiyotibika kwa tabiri zako uchwara. Tangu mwaka juzi kila inapofikia tarehe ya Simba kucheza na timu yeyote wewe unaleta chambuzi zako uchawara hasa ukiituhumu Yanga kufanya figisu kwa...
  8. Hivi ni kwanini vyombo vya habari/ waandishi wa habari Tanzania hawawezi wauliza viongozi maswali tunayoyatarajia?

    Kwa mfano... Rais atapo tua nchini tokea huko alikoenda na Royal Tour. Wananchi tunatarajia maswali haya toka kwa vyombo vya habari... 1. Je, Mh. Rais unafikiri safari hii (Royal Tour) uloifanya ina manufaa yeyote kwa Watanzania masikini!? 2. Je, Mh. Rais unafikiri hotuba yako imekidhi/imejibu...
  9. Mawakili wa Mbowe waache maswali yasiyo na msingi, ulizeni maswali ya maana mteja wenu aachiwe haraka

    Katika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi...
  10. Mambo ya kujua kabla hujaoa

    Kabla hujao kama mwanaume lazima ujue mambo yafuatayo Watatokea wanawake wengine wataonyesha nia ya kukutaka ukiwa kwenye ndoa Wakati ukiwa umeoa watatokea wanawake ambao wamemzid mkeo kila kitu uzuri, smartness, na kindness ni vizuri ukalifahamu hilo kabla ya kuoa, kwanin nasema hivi kuna mto...
  11. Mafundi wa aina yoyote na huduma zote za ujenzi zinapatikana hapa

    Habari wadau wa JF Poleni na majukumu Kutokana na uhitaji mkubwa wa mafindi na ombwe la uelewa na uzoefu hafifu wa mafundi ujenzi wengi kusindwa kukidhi soko la ujenzi na makazi, sasa kupitia uzi huu utapa huduma zote za ujenzi kuanzia kuchora ramani hadi kukabidhiwa ufunguo wa nyumba yako...
  12. CHADEMA hii ndio dhana nzima ya uhuru wa mahakama. Tumeshuhudia Mahita akipigwa maswali, tusipanic

    Mahakama ndio chombo huru ambacho kinatoa haki hapa nchini kwetu. Tuondoe ile dhana potofu kuwa kuna mkono wa Ccm kwenye kesi ya Mbowe. Tunaona mashahidi wakipigwa maswali mpaka wanaomba po. Kwa namna wanavyotepeta basi tuamini kuwa msingi wa uhuru wa mahakama upo kwa kasi ya 4g hapa Tanzania.
  13. Ni sahihi kwa Rais Biden kutojibu maswali ama kukataa kutoa hotuba kwasababu ya afya mbovu?

    Imekuwa ni kawaida sana tangu Biden aingie madarakani huwa hajibu maswali ya kwenye presss na hakuna accountability anayohukua. Pia kufanya speech imekuwa mtihani kwake, hasa pale mazingira yanapokuwa sio rafiki kwa kutumia teleprompter, mfano hapo 9/11 alienda zima moto, pentagon na...
  14. Jakaya Kikwete: Rais Samia anaendesha nchi vizuri, tuendelee kumuunga mkono

    Rais mstaafu J. Kikwete akihojiwa amesema nchi inakwenda vizuri chini ya Samia na changamoto mbalimbali zinaondolewa ikiwemo uongezaji wa huduma za dharura kwenye sekta ya afya. Kikwete amesisitiza Samia analeta matumaini kwa watanzania kwa manufaa ya leo na kesho. My take. Hii inaweza kuwa ni...
  15. Nauza Vitabu vya GS vya maswali na majibu

    Habari wana jamvi? Nauza vitabu vya somo la General Studies (GS) linalofundishwa kidato cha 5 na 6. Vitabu ni aina ya "Review" kwa maana vina maswali takriban 108 pamoja na majibu yake. Bei yake ni shs 10,000 kila kimoja. Niko Dar es salaam sehemu za Tegeta lakini kama uko mbali nitakutumia...
  16. Ole Sabaya amkana mshirika wake katika kesi

    Arusha . Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro Lengai o Sabaya amemkana mshirika wake katika kesi hiyo ya unyang'anyi wa matumizi, Sylvester Nyegu, kuwa hakuwa msaidizi wake. Sabaya na wawili wawili, Nyegu ambaye anadaiwa na upande wa mashtaka kuwa msaidizi wake binafsi na...
  17. Haya ndio maswali yanayokwaza wakati wa usaili

    Habari wadau..! Je ni maswali gani ww binafsi yanakukera sana wakati wa usahili?? Binafsi sipendi maswali haya 1.Je unatarajia kupata mshahara kiasi gani? Ma HR mnaboa sana hivi kwa nini msiulize maswali ya msingi.🙄🙄🙄 nashauri mnapotangaza kazi wawe wanaweka na mshahara kabisa,ili wasiwe...
  18. S

    Huwa unajibu vipi maswala haya kwenye interview?

    Haya ni maswali yanayonisumbua ninapokuwa kwenye interview. Sijawai kuyajibu nikapatia uwa najikanyaga siku zote. Ofcoz nazungumzia zaidi interview za kwenye NGO. 1. What is your experience in writing reports to donors? 2. What do you understand about ..... policy (yani anakutaka useme kitu...
  19. M

    Kwa wale watu wa kikosi Maalum (Makomandoo) mliopo JamiiForums nitashukuru leo mkinijibu haya Maswali yangu yafuatayo

    1. Je, ni kweli kuwa Majasusi wengi huwa ni Makomandoo? 2. Je, ni kweli kuwa katika Mafunzo yenu ya Ukomandoo huwa kuna Kipengele cha Kujifunza Uchawi? 3. Je, ni kweli kuwa kwa uwezo wenu mkubwa wa Kimedani nyie huwa hamna Kiwango Maalum cha Mishahara na kwamba Kiwango ukitakacho ukikiomba tu...
  20. Mahojiano ya Rais Samia na BBC yataongeza maswali na sio majibu

    Ukweli natamani kuwa mshauri wa Rais. Rais wetu ni muungwana sana. Ana mtazamo chanya kuhusu taifa. Ila kupitia mahojiano ya leo watu wanaofikiri sana atakuwa kama washauri walitakiwa wabuni maswali na majibu yote baada ya mahojiano. Kama mama anaongea kwa kumaanisha ni lazima ajue. 1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…