maswali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kocha Nabi achukizwa na maswali ya wana habari, awa mbogo

    "Swali: Safu yako ya ulinzi inaruhusu goli takribani saba, inakwenda kimataifa unatazamaje hili?" "Jibu Nabi: Nipe hongera, Sadiki wewe na rafiki yako Ibrahimu mna maswali sawa sawa, hii ni ajabu sana. Kwanini mnauliza maswali ya zamani, sijui kama wewe ni mtaalamu au lah, unafikiriaje magoli...
  2. J

    Hivi na umri ulionao bado unaendeshwa na mapenzi?

    Tunajua mapenzi yanaendesha Dunia. Tumesikia na kujionea mapenzi yalivyo na nguvu, lakini sina uhakika kama yanaweza kuhamisha milima kama wasemavyo. Umri uliyonao na mambo uliyokwisha pitia, hivi bado wewe ni wakuendeshwa na mapenzi kweli au umerogwa? Ndugu yangu kubali kukua na ujifunze...
  3. Rais Samia amemaliza ziara ya Mkoa wa Geita bila kuruhusu wananchi kuuliza maswali?

    Nimeona maajabu Mkoa wa Geita. Kila Rais anakopita haruhusu wananchi watoe yaliyo moyoni mwao kwa nini? Ukweli wananchi wana kero nyingi ambapo JPM alikuwa anawasikiliza na watu kuuliza sasa mikutano imekuwa kinyume.
  4. Maswali ya interview NAOT na HESLB

    Inakuaje wazee? Mwenye experience ya interview za utumishi kada za auditor II pale NAOT na Loan officer II HESLB atuwekee hapa tujiandae.
  5. Maswali ya msingi

    Unafanya nini.....? Unataka kuwa nani...? Una elimu gani....? Unaishi vipi....? Unaelekea wapi....? Unaelekea na nani...? Umejiandaa kutokufika...? Umejiandaa kupokelewa ukifika...? Unajua unachotaka...? Unajua mahitaji yako...? Unajitambua...? Una marafiki wa aina gani...? Wanamchango gani...
  6. Naomba kujibiwa haya maswali kuhusu Maiti

    Hope mmeamka salama. Naomba anayejua anisaidie na mimi kujua÷ 1. Kwanini mtu akifa anaoshwa? Anazikwa ardhini na kufukiwa sasa huo usafi anaofanyiwa unamsaidia nini as long as atachanganyikana na mavumbi soon? 2. Mtu akishazikwa baada ya miezi au miaka kadhaa ndugu huanza kwenda kufagia kaburi...
  7. G

    Hotuba ya Rais Samia akiapisha Mawaziri, imejibu maswali yote kwa Balozi Mulamula

    Wengi tumejiuliza kilichomsibu balozi Mulamula. Ukisikiliza kwa makini hutuba ya Rais Samia utujua kuwa Waziri Mulamula alipishana na Rais kuhusu masuala ya upande wa pili wa Muungano. Zimekuwepo minong'ono yenye ushahidi kuwa awamu ya sita imekuwa ikiwapendelea Wazanzibari kuliko maelezo...
  8. T

    Kama wewe ni mwalimu haya maswali yanakuhusu

    1. Je, wanafunzi wetu wanaelewa/wanasoma? 2. Walimu wanajua kufundisha? 1. Are our students learning? 2. Do we (teachers) know how to teach?
  9. M

    Prof Kabudi atueleze kutoka Trilioni 360 hadi bilioni 700

    Kosa moja siku zote linaloendelea kutugharimu basi ni kusikiliza bila kuelewa hatupo tayari kusikiliza tumejianda kujibu kila wakati. Inawezekana hii ni tabia yetu ya kutotafuta Ukweli, binafsi suala la Makinikia nimekuwa nikilifahamu hata kabla ya Mhe. Magufuli kuliweka kwenye meza ya...
  10. Maswali yazuka ushindi wa Ukraine.Kadyrov asema hakuna eneo lililokombolewa.

    Ikiwa ni siku chache tangu habari zisambae kuhusu Ukraine kuwarudisha nyumba askari wa Urusi na kukombolewa kwa kilomita mraba zaidi ya 8000 imefahamika kuwa hizo ilikuwa ni habari za uzushi.Mwanzo imejulikana kupitia raisi Kadyrov wa Chechnya ambaye ni mshirika mkubwa wa raisi Putin.Amesema...
  11. Watabe wa Physics naombeni msaada haya maswali chap chap, sijiamini na majibu

    Note: Swali la 3 nishagugo nikapata
  12. B

    Musoma: Raia wawatuhumu TRA kugonga raia wakiwa wanafukuza magendo

    Musoma, Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba apigwa maswali mazito na wananchi mkoani Mara Wakaazi wa Sirari Rorya wasema wanamtambua vizuri hata mawe na majabali ya (mawe) kote nchini yaandikwa mwigulu rais ktk ya kampeni za urais 2015. Baada ya sofa hizo waelezea fani na kamatakamata...
  13. Suala la Juma Mgunda, TFF wamezidisha maswali zaidi kuliko majibu au ufafanuzi walioutowa

    Taarifa ya TFF ndio hiyo, yani hapo ndio wametowa ufafanuzi Sasa ufafanuzi wao unazalisha maswali zaidi kuliko awali. 1. Kuna makocha wamehitimu mafunzo na wana Leseni class A ya CAF, halafu kuna orodha ya makocha 21 akiwemi Juma Mgunda wamehitimu mafunzo lakini hawana Leseni. Sasa swali la...
  14. Msaada wa maswali ya oral and written interview ya Jakaya Kikwete Cardiac Institute

    Kwema? Jamani samahani kama kuna anaweza nisaidia maswali ya usahili wa taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete oral pamoja na written.
  15. Msaada wa maswali ya written interview na oral ya Office assistant kwa serikalini

    Naomba Msaada wa maswali ya written interview na oral ya Office assistant kwa serikalini. Natanguliza shukrani zangu
  16. H

    Kwa maswali haya Chebukat anaweza kukimbia nchi

    TOUGH QUESTIONS ASKED BY JUDGES AT THE SUPREME COURT THAT NEEDS 15MINS RESPONSE....👇👇 1. How many votes were stray and how were they distributed? 2. Did you have any instance where voters walked in and voted for the president alone? 3. 225 stations didn't use kiems, how many were they in...
  17. R

    Swali magumu uchaguzi Kenya

    Tarehe 5 ndiyo siku ya Ruling. Nakumbuka uchaguiz wa 2017 hukumu ilikuwa na page kama 500 hivi. sasa kuanzia kesho wata deliberate submissions za pande zote na kuandika hukumu ? Ku analyse ushahidi wote and make sense out of it, Just sense and not a matter of sense! Siku kama 3 hivi.....
  18. Kenya2022 Maswali na Majibu yote kutoka Mahakama Kuu kuhusu Pingamizi la Matokeo ya Urais

    Githu Muigai: Waangalizi wote walirudi na hitimisho moja. Huu ulikuwa uchaguzi wa wazi na wazi. Githu Muigai: Ningekuhimiza uwaulize mawakili ikiwa wanafurahia uchaguzi wao wenyewe. Ikiwa wamefurahi, basi inakuwaje uchaguzi huu una dosari? Githu Muigai: Katika mahakama hii, kuna magavana...
  19. Sensa ya watu na makazi: Maswali ambayo hayakupaswa kuwepo kwenye dodoso

    Hii ni sensa ya watu na makazi, lengo kuu la sensa ni kupanga maendeleo ya muda mrefu. Unapoingiza siasa kwenye dodoso utaishia kupata data ambazo ni useless ndani ya mwaka tuu. Pia kuna data zingine ambazo tayari serikali na vyombo vyake wanazo, sikuona haja ya kuwepo kwenye dodoso, ni...
  20. Kwa maswali haya sina imani na sensa tena

    Mpaka sasa sijahesabiwa ila kwa maswali haya sitaki kumwona karani nyumbani kwangu 1. Unalipa kodi au umepanga,kama ni kodi unalipa sh ngap? Swala la kodi linamuusu nini? 2. Mmachinga au mlipa kodi? Dah!!! Ndoa yenu ina amani au mgogoro?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…