Mastaa wasusia Party ya Gigy Money

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,380
Huyu nae Kila Siku hajifunzi tu, kila siku mastaa wenzie wanamkimbia kwenye shughuli zake , ye kutwa kushoboka na za wenzie. Hizo pesa za kufanyia sherehe bora ungeenda kula na watoto yatima ukapata thawabu mbele za Mungu , unawaalika watu wanakunywa pombe za bure na kula bure halafu wanakusema huna hela unalazimisha mambo , c utulie tu , mbona mwenzio diva kashajijua ana nyota ya kunguni hatakag makuu, birthday yake anajinunulia champagne ya elfu 6, na Keki ya elfu ishirin maisha yanaenda, sasa ndugu yangu unajitutumua ku impress watu pesa zenyewe huna, unataka kushindana na kina Uwoya utawawezea wapi.

Ila Diamond na yeye sio Tabia nzuri , nasikia alikua anamwambia aristote aangalie sherehe kama Ina hadhi ya yeye kwenda au lah, Ina maana Kwan hajui hadhi ya Gigy money ? Tabia mbaya tu, gigy na wewe utulie huna pesa ya kufanya Party za maana usilazimishe mambo , nasikia watu walikua wanataka hennesy kila Meza wakaambulia serengeti light mbili mbili

Ila bora akina manunu walikuja kukupa suppport

IMG_2923.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom