masomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natafuta kazi ya kufundisha fani ya uhazili

    Naitwa Andrew Timothy natafuta nafasi ya kazi ya kufundisha fani ya Secretarial. Nina uzoefu wa miaka miwili katika ufundishaji katika masomo ya Shorthand, Hatimkato, Secretarial Duties, Office practice, Typing Lakin pia Enterpreneurship Education and training..! Niko DSM Email...
  2. Natafuta kazi ya ualimu wa shule binafsi kwa masomo ya Physics na Mathematics kwa ngazi ya O-level

    Habari zenu wa ndugu, Mimi ni kijana wa miaka 29 nina degree ya ICT na pia nina advance diploma in education na nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka minne sasa kwenye shule fulani ya serikali hapa dar kwa mkataba wa kujitolea na malipo madogo ya posho. Nina ujuzi wa kutosha wa kuwapa watoto...
  3. Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu

    Maoni yako ni yepi juu ya hili: Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu. Kuna mdau ameshauri wahitimu wa form six wawe wanaajiriwa moja kwa moja kufundisha shule za sekondari bila kupitia chuo wanakoenda kugoogle badala...
  4. E

    Msaada: Kurudia mtihani wa o level nikiwa nipo chuo

    NDUGU ZANGU naomba nipate uelewa kidogo juu ya jambo langu hili Nipo chuo mwaka wa pili nasomea Tax managment ila nimepata mdhamini yeye ni Daktari huko USA, kanipa udhamini wa kunisomesha ili nikimaliza diploma niende nje. Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Chuo huku nikianza...
  5. Wizara ya Elimu tafadhali chunguzeni ratiba za masomo katika Vyuo vya Kati na Juu

    Nawasalimu kwa kutoa maoni yangu katika upangaji wa ratiba katika vyuo mbalimbali hapa nchini. Naomba Wizara ya Elimu na wahusika kupitia ratiba za masomo vyuoni. Imekuwa kawaida sasa kuona ratiba hizo kupangwa kutokana na nafasi za walimu wa masomo vyuoni kuelekea vipindi vingine kuanzia...
  6. Kiswahili kuchaguliwa kama Lugha ya Taifa ilikuwa kosa?

    Yaani hapa bongo bhana tuna vipaji vingi sana tena watu wa maana umewahi kufikiria kwanini hatuvumi sana kimataifa na dunia kiujumla. Hii ni kwasababu ya lungha tunayotumia kama Lungha ya taifa umewahi kufikiria labda ENGLISH ingekuwa ndo lugha yetu ya taifa yaani Kwanza tungekuwa na lafuzi...
  7. Rushwa ya Ngono 'inavyobemenda' Masomo na Ajira nchini

    “RUSHWA ya ngono ipo, lakini haizungumzwi maana inachukuliwa kama jambo la kawaida na lisilozungumzwa hadharani. Vyuoni, ipo kutoka kwa mwalimu wa kiume kwenda kwa wanafunzi wa kike, au kutoka kwa mwanafunzi wa kike kwenda kwa mwalimu wa kiume.” Ndivyo anavyosema Mkurugenzi Mtendaji wa Chama...
  8. Changamkieni fursa vijana mliohitimu advance masomo ya Sayansi. Njia ya mafanikio nyeupe

    Uzi tayari.
  9. Serikali yakubali wanafunzi 28,000 waliokosa mikopo waendelee na masomo vyuoni wakati ikikamilisha masuala ya ada zao

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia wanafunzi 28,000 waliokidhi vigezo vya kupata mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2022/2023, waende vyuoni kuendelea na usajili chini ya uratibu wa Wizara ya Elimu wakati taratibu muhimu zikikamilishwa. Kauli ya Rais Samia...
  10. Sio sawa watoto kumaliza mtihani wa taifa kisha kuendelea na masomo ya mwakani

    Darasa la nne wamemaliza mitihani hivi karibuni. Na wote tunafahamu jinsi hizi shule za siku hizi zinavyochukulia mitihani kama vita maana kipindi chote cha mwaka watoto hawapumziki kisa mtihani wa taifa na hubebeshwa madaftari yote na vitabu juu. Mbaya zaidi watoto walianza kutoka jioni saa...
  11. SI KWELI Tangazo la fursa za masomo nchini Norway 2022/2023

    Tovuti moja inadai kutangaza nafasi za ufadhili wa masomo katika chuo kikuu nchini Norway na kusambaa katika mitandao ya kijamii. Tovuti hiyo ina ujumbe wa Kiingereza ulioandikwa vibaya unaotafsirika: "Kasome Nchini Norway Kozi Yoyote Uliyochagua Bila Malipo kwa Muda wote wa programu"...
  12. Walimu wa masomo ya biashara tupeane connections ya kazi

    Kama unafahamu kuna shule ina uhaba wa walimu wa biashara katika masomo ya commerce,book keeping, accounts na economics Tupia connections ya shule ambayo unafahamu ina uhaba ya walimu hao ili vijana wanaotafuta kazi
  13. Wizara ya Elimu ipitie upya Mtaala wa Masomo ya Sayansi wa A-Level

    Wanafunzi wengi wa Advance wamejikuta kwenye hali ngumu hususani kwenye masomo ya Mathematics, Physics, Chemistry na Biology Kwanza, Mambo ya kujifunza ni mengi sana (materials) bila kupima uwezo wa ubongo wa mwanafunzi ivo kupelekea kufeli Pili,Uchache ama ufinyu wa mda, miaka miwili kwa...
  14. PENDEKEZO: Masomo ya uwakili yafundishwe kwenye course ya Sheria Chuo Kikuu kwa mwaka wa Nne. Law school ifutwe

    Kwa hali iliyopo na inayoendelea TLS ninashauri Law school ifutwe na badala yake degree ya sheria iliyokuwa inasomwa kwa miaka mitatu sasa isomwe kwa miaka mine Ili mwaka wa nne wasome masomo ya Law school wakiwa chuo kikuu husika. Wanafunzi akishamaliza degree ya sheria awe tayari amemaliza...
  15. S

    Uteuzi wa Makamba kama Waziri wa Nishati na aliyofanya alipoteuliwa umenifanya niwakataze watoto wangu kuchukua masomo ya Sayansi

    Kuna mengi yalisemwa kuhusu January kuteuliwa kuwa waziri wa nishati, mojawapo likiwa ni kwamba kulikuwa na msukumo fulani kutoka kwa wazee kwa mama kumpa January wizara hiyo nyeti kama chaguo lake. Sasa kwangu mimi hilo nililiona lina walakini sana. Sina tatizo na Makamba kuwa waziri, lakini...
  16. X

    Majina ya wanafunzi 640 waliochaguliwa kuomba ufadhili wa masomo ya Samia

    Majina ya wanafunzi 640 waliochaguliwa kuomba ufadhili wa masomo ya Samia Ufadhili wa Samia: Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilitangaza majina ya wanafunzi 640 wanaostahili kupata ufadhili wa masomo kupitia Samia Scholarship baada ya kufanya vizuri katika masomo ya sayansi. Leo wizara...
  17. M

    Kuongeza masomo ya ziada nje ya Syllabus ya program husika

    Habari wadau! Ningependa kufahamu kama kufanya hizo course/masomo yaliyo nje ya program husika yatatokea kwenye Transcript? Mfano Bsc Economics nikaongeza soma kama information System
  18. F

    Naomba msaada wa ufadhili wa masomo diploma ya medical laboratory2022/2023

    Habari samahan sana kwa kutumia muda wenu lakin nianaombi moji ambalo no ufadhili wa masomo ya diploma kwa mwaka wa masomo 2022/2023. Naitwa Frank Mabula juma nikijana mwenye umri wa miaka 21 nikijana ninaetoka katika familia ya Mzazi mmoja yaani mama peke. Nimehitimu kidato cha sita mwaka...
  19. Ufadhili wa masomo ya elimu ya juu nchini Uholanzi

  20. Wapi wanafanya TOEFL exams kwa Dar es salaam?

    Wakuu naomba mnisaidie ni wapi hapa DSM wanafanya mitihani ya TOEFL kwa ajili ya kwenda US? Kuna jamma yangu ana uhitaji. Thanks
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…