DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 18,038
- 45,611
Viongozi wote waliofanya vizuri ni waliosoma Arts katika Level kubwa za Urais.
Kitendo Cha Mtu kuwa Rais na hajui kingereza madhara yake ni kujifungia ndani na kushindwa kuinganisha nchi na mataifa ya nje.
Tuwekeze Sana katika haya masomo ili tuondoe tatizo la watu kukosa lugha ya mazungumzo maana lugha ni Sehemu ya maendeleo that all.
Mama samiah hakikisha lugha ya kingereza inapewa umuhimu mkubwa Sana maana hata Graduate wengi kichwani hamna kitu kwa sababu wanakalili hawaelewi hata walisoma Nini chuoni achilia mbali kuongea kingereza, wamebaki kujificha katika kichaka cha uzalendo uchwara. Huku fursa zikitupita pembeni.