Maskini is a union council of the Lower Dir District in the Khyber Pakhtunkhwa province of Pakistan.
Lower Dir District has 37 union councils with a population of 797,852, according to the 1998 census report. The population growth rate of the Lower Dir District was 3.42% per annum between the 1981 and 1998 censuses.
Tunakuwa Maskini kwa sababu ya kuwekeza kwenye vitu ambavyo havina faida
Wakinga wanafanikiwa kwa sababu ya nidhamu ya Pesa.
Mtu anavaa nguo Moja lakini anawekeza kwenye biashara. Utasikia sina Hela ya kula kumbe kuna sehemu kawekeza hela yake.
Ukweli ni kwamba bila kujitoa Huwezi kuwekeza...
Mpo salama!
Kwa uelewa wangu nafahamu Wazalendo(wapenda nchi) wa dhati wapo popote.
Kuna Wazalendo wapo CCM.
Kuna Wazalendo wapo CHADEMA
Kuna Wazalendo wapo vyama vingine vya upinzani.
Na kuna Sisi Wazalendo ambao hatuna chama.
Ni kosa la kiufundi na ninyi Mjinga pekee ambaye atafikiri chama...
Hamjambo Wote!
Mimi Niko fresh Kabisa, nashukuru Mungu anasaidia.
Kwenye Mada.
Nilikuwa nafuatilia kwa ukaribu Kabisa Sababu ya upole au tuite Ulofa kama alivyosemaga Hayyati Benjamin Mkapa.
Nikagundua kuwa Watanzania wengi upole wao( Ulofa) sio tabia wanaoipenda au kujivunia nayo na Wala sio...
Janga la wazazi kutamka matamko ya laana linashika kasi sana na hasa kwa hawa wazazi wenye umaskini ukifuatilia utakuta malalamiko mengi yenye viashiria vya kutoa laana kwa watoto zao.
Changamoto kubwa ni wazazi kufanya watoto mitaji ya kuwakwamua kwenye umaskini wao hivyo ikiwa nje ya...
Penda nchi yako! Jivunie nchi yako! Thamini nchi yako! Tangaza nchi yako! Kuwa mzalendo wa nchi yako!
Kauli kama hizi si ngeni midomoni mwa wanasiasa na viongozi barani Afrika wanaokula kwa mrija, huku wakiwahubiria uzalendo raia wao ambao wengi ni maskini choka mbaya pangu pakavu tia mchuzi...
Kama wewe ni mtoto wa Elon Musk, usisome uzi huu, haukufai!
Kila siku, vijana wengi wanatumia muda mwingi kuandika nyuzi mitandaoni kuhusu mambo yasiyo na faida kwa maisha yao ya baadaye. Kwa mfano mtu anaandika uzi wenye kichwa: “Bibi yako alikuwa na vidole vingapi?” Wengine wanazungumzia...
Wana Jamvi kuna Mkopo wengi wetu tulikuwa hatujui kuwa ni tatizo na ni kwa sababu ya kutokaa na kufikiria mara mbili. Nimefanya tafiti za riba kupitia watu 4 wanao chukua mikopo ya mtandao nikabaini mengi na mfano moja wapo ni huu, lazima kila mtu akae afikirie mara 2 kabla ya kuchukua mkopo wa...
Baada ya kiongozi kukiri kwamba Mfumo walioundaa wa Elimu ni mbovu alipaswa ajiuuzulu na awajibike kwa masikitiko kwa makubwa
Vile vile serikali iwajibike kuchezea rasimali za nchi majengo mikopo ambayo haijulikani italipwaje baada kuzalisha unwanted educated person
Kitengo Cha kiongozi kukiri...
Katika taswira ya ulimwengu wa kisasa, Uingereza bado inajulikana kama taifa lenye historia tajiri ya mafanikio ya kiuchumi. Hata hivyo, chini ya uso wa fahari hiyo, kuna ukweli mchungu: taifa hili lipo katika mchakato wa kudhoofika kiuchumi kwa kasi inayotisha. Kupitia historia yake ya kisiasa...
Karibuni, kauli ya Waziri Mkuu kuhusu wahitimu wa digrii kwenda VETA (Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi) imeanzisha mjadala mkubwa. Hali hii inaonyesha tatizo la muda mrefu katika mfumo wa elimu wa Tanzania: mtaala ambao umekuwa mbovu kwa miaka mingi. Tatizo kuu linatokana na kushindwa...
Katika jamii zetu za kisasa, mifumo ya maisha inatofautiana sana kulingana na hadhi ya kifedha. Wakati wa kale, urafiki ulijengwa kwa misingi ya ukweli, uaminifu na upendo wa dhati, lakini leo tunaona mabadiliko makubwa katika jinsi watu wanavyohusiana na kutengeneza uhusiano wao.
Kwa wengi...
Kitabu cha "Jinsi ya Kuendelea Kuwa Masikini" kinatoa mifano na ushauri kuhusu tabia na maamuzi yanayoendelea kuwafanya watu kubaki kwenye umasikini. Hiki ni kitabu kinachokosoa mtindo wa maisha, ufikiriaji, na maamuzi ambayo mara nyingi huwafanya watu kushindwa kufanikiwa kiuchumi. Kinahimiza...
Tafadhali mheshimiwa rais tunaomba sana usitumie fedha nyingi za walipa kodi maskini kwa ajili ya kushinda uchaguzi. Watanzania wanahitaji maji ya kunywa, barabara angalau za vumbi, vituo vya afya, elimu ya msingi, nk.
Inasikitisha mno kuona mabilioni ya fedha ambazo zingetumika kuwasaidia...
Mzuka wanajamvi!
Nawaambieni ukweli kabisa. Kama wewe ni maskini ama una hali mbaya kimaisha usihuzunike, usilie, usilaumu, usilalamike na usimlaani yoyote.
Bali furahi tembea kifua mbele jivunie umaskini wako kwani ni wa muda tu.
Kwasababu baada ya kifo maskini wote watakuwa matajiri milele...
KIKAWAIDA WANAOHONGA WANAWAKE NI WANAUME DHAIFU NA MASKINI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Moja ya dalili zinazomtambulisha Mwanaume dhaifu ni kuhonga wanawake. Hata siku Moja huwezi kuta mwanaume Kamili anayejiamini na Alpha Male akahonga Wanawake.
Wanaume dhaifu ni rahisi kuwa...
Kweli kuwa Bilionea siyo mwisho wa matatizo. Angalia mahusiano mabaya ya Elon Musk dhidi ya wanafamilia wake:-
1. Wake wa Zamani
Elon Musk amewahi kuoa mara mbili kwa wanawake wawili tofauti:
Justine Musk (2000–2008): Justine alikuwa mke wa kwanza wa Musk, na walizaa watoto watano pamoja...
Nimefanikiwa kuupitia muongozo wa mtaala mpya wa elimu hapa Tanzania ambao umezinduliwa hivi karibuni, na hichi ndicho nilichoweza kukiona kwa jicho la upeo.
1. Kwa mfumo wa elimu yetu kwa shule za serikali hauwezi kutekelezeka.
2. Hauna kipimo chochote MADHUBUTI cha kumpima mwanafunzi kila...
Hili limeniumiza sana
Elon Musk amesema kwamba Rais Donald Trump alikubali kuwa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufungwa, kufuatia siku kadhaa za uvumi kuhusu mustakabali wa shirika hilo baada ya ufadhili wake kusitishwa na wafanyakazi wake kadhaa kuwekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.