mashoga

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amewafukuza Mashoga zake

    Sijajua amehisi nini mpaka kuwapiga marufuku mashoga wake aka marafiki zake wa kike na nikimuuliza majibu ni msumari. Hivi mlioolewa mliomo humu vipi mnakaa na mashoga zenu hawana hitilafu ya kuvuruga mahusiano na mwenzawako aka mumewako au hata partner wako?
  2. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Moshi: Meya Juma Raibu ang'olewa kwa kupigiwa kura za kutokuwa na imani naye

    Kura 18 zimemkataa. Alikuwa na kashfa ya kushiriki birthday ya shoga mmoja hapo Moshi. Ni kashfa iliyotrend sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari kama magazeti. Nafikiri ndio hiyo imemng'oa labda kama kuna sababu nyingine tutajua Kapigiwa kura Leo, 18 zimemkataa na 10 zimemkubali...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Meya Manispaa ya Moshi amelikoroga, aunga mkono ushoga

    Hali si shwari ndani ya baraza la madiwani la Manispaa ya Moshi ambako madiwani wamekuja juu wakimtaka meya wao, Juma Raibu kujiuzulu fasta baada ya clip moja kusambaa mitandaoni ambako amesikika akiunga mkono mapenzi ya jinsia moja. Juma Raibu anadaiwa wiki iliyopita alikuwa mgeni rasmi kwenye...
  4. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Nawajua mashoga 5, wote walianza kwa kufanyiwa dhuluma ya kingono utotoni

    Abuu Kauthar Nianze kwa kuelezea uzoefu wangu katika maisha wa kukutana na kuwajua mashoga. Nianze kwa kuomba msamaha kwa jina hilo kwani sina hakika kama ni rasmi na linakubalika kwao. Nimepata kujuana na mashoga watano. Najua kuna makundi mengi katika hao wanaojitambulisha kama jamii ya...
  5. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Nawajua mashoga 5, wote walianza kwa kufanyiwa dhuluma ya kingono utotoni

    Abuu Kauthar Nianze kwa kuelezea uzoefu wangu katika maisha wa kukutana na kuwajua mashoga. Nianze kwa kuomba msamaha kwa jina hilo kwani sina hakika kama ni rasmi na linakubalika kwao. Nimepata kujuana na mashoga watano. Najua kuna makundi mengi katika hao wanaojitambulisha kama jamii ya...
  6. nyboma

    JamiiForums Tanzania Hili suala la vitambaa vya unahodha kwenye ligi ya uingereza kuwa na rangi ya Rainbow ni kwamba ligi hii inasimama na mashoga ama imekuaje

    Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie maana leo nilipokuwa natizama mechi mbalimbali za ligi ya uingereza nimeshangazwa sana na vitambaa vya unahodha vikiwa na rangi hiyo. Hapa tuseme hawa watu wanaoshughulika na mapenzi ya jinsia moja ndio wamehalalishwa tayari ama limekaaje hili suala. Tazama...
  7. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha. Huyu mtu anarudisha juhudi za...
  8. mathsjery

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni tabia mbaya nionavyo mimi, kwa mashoga na madogo wa mke

    Nashangaa kitanda nacholalia iweje mke wangu ulale na dada yako, na wakati kuna chumba kingine, ati kisa mimi sipo? Nashangaa bafu la chumbani wadogo zako wanalitumia na wakati unajua ni la wawili tu mimi na wewe na wakati huo kuna bafu tena la ndani hapo kwenye korido? Nashangaa we dogo...
  9. jebs2002

    JamiiForums Tanzania Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

    Hatimaye Papa Francis akubali kubariki ndoa za jinsia moja, kwa kudai mashoga nawo ni watoto wa Mungu na hakuna sababu ya kuwabagua. Je, makanisa Katoliki Afrika, Asia, Mexico, Brazil na kwingineko watakubaliana na uamuzi huu? Tukumbuke kwenye biblia haisomeka ndoa za jinsia moja au za ushoga...
  10. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Joseph Magata: Padre Ildefonsi Katundu aliyegombea ubunge huko Bukoba alikuwa anatafuta jukwaa la kutetea haki za mashoga?

    Mwandishi anayejitambulisha kwa jina la Joseph Magata, amejenga hoja kadhaa kuhusu sakati ya Padre Ildefince Katundu wa Jimbo la Nkenge mkoani Kagera. Magata amefanya hivyo kupitia gazeti la Raia Mwema, ukurasa wa 10, kwenye toleo la 12-18 August 2020. Makala yake ina kichwa cha maneno Kanisa...
  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Takwimu zilizoendesha na 'Gallup Inc. 2017, zinasema asilimia 10 ya waMarekani ni mashoga (LGBT)

    Kampuni ya kukusanya takwimu ya Gallup Inc. iliendesha sensa katika majukwaa mbali mbali ikiwemo mitandao ya kijamii mwaka 2017 juu ya 'sexual orientation' ya wamarekani, na ikabaini kwamba karibu asilimia 5 ya wanawake ni LBT na asilimia 5 ya wanaume wanadabuliwa makalio, hizitakwimu zipo...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Lile tamko la RC Makonda kuhusu mashoga katika mkoa wake limeleta mabadiliko yeyote katika swala hilo?

    Hili tamko la kukomesha mashoga katika mkoa wa mwenye mkoa lilikuwa na strategy plans? Llilifanikiwa kukomesha mashoga katika mkoa? Kama halikufanikiwa ilikuwa ni kauli tu ambayo sasa anailipia gharama kubwa?
  13. Ndallo

    JamiiForums Tanzania Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

    Serikali ya Marekani imewaonya raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania kuwa makini na matukio ya Ugaidi , uvunjifu wa haki za binadamu na uhalifu ndani ya Tanzania. Katika taarifa yao wamedai kuwa kuna makundi ya kigaidi ndani ya nchi ambayo huenda yanajipanga kufanya mashambulizi ndani ya...
  14. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Mashoga wanatakiwa wapewe adhabu ya kifo hapo ndio tutaokoa kizazi hiki

    Kila siku mambo yanazidi kuzidi unga nadhani kama taifa tunapaswa tuchukue maamuzi magumu sana Hatuwezi kuokoa taifa kwa style hii nenda arusha muone ushoga ulivyoharibu vijana dar ni cha mtoto arusha ndo hali mbaya.... Hatuwezi kujenga taifa kwa hali ilivyo mbaya... Nashauri mashoga wapewe...
Back
Top Bottom