mashindano

The music of Kenya is very diverse, with multiple types of folk music based on the variety over 40 regional languages.Zanzibaran taarab music has also become popular, as has hip hop, reggae music, soul, soukous, zouk, rock and roll, funk and Europop. Additionally, there is a growing western classical music scene and Kenya is home to a number of music colleges and schools.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kukuza soka la Tanzania TFF rudisheni mashindano ya mikoa

    Ukiangalia soka letu la leo kweli vijana wanaonyesha uwezo mkubwa ila naamini wapo wengi zaidi ila wanakosa nafasi ya kuonekana, mashindano ya mikoa yalisaidia sana vijana wengi kuonyesha vipaji vyao, Leo timu nyingi za ligi kuu zinaingia gharama kubwa kusajili wachezaji kutoka nchi mbalimbali...
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANAPA yafanya kweli kwenye Mashindano ya Riadha - SHIMMUTA 2024

    Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limeibuka mshindi wa kwanza wa jumla katika mchezo wa riadha kwa wanaume kwenye mashindano ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi, na Makampuni Binafsi (SHIMMUTA) 2024. Katika hafla ya kutangaza washindi mbalimbali kutoka taasisi...
  3. vibertz

    JamiiForums Tanzania Wale wafuasi wa Gamondi hatuwataki kuwaona wakijipendekeza timu ikifanya vizuri kwenye mashindano

    Kuna watu wamekuwa wakijifanya wapenzi wa Gamondi utafikiri walikuwa wanamjua huyo Gamondi kabla ya Hersi kumleta Yanga. Yaani anajifanya kususa timu kisa tu uongozi kuachana na Gamondi na kuwatoa akili viongozi. Hawa watu wamfuate Gamondi huko anakoenda na wawe mashabiki wa hizo timu badala ya...
  4. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Ushauri : mashindano ya Ladies First yaitwe Theresia Dismas

    Kwa kuwa mwanamama Theresia Dismas ndiye mtanzania wa kwanza kuiletea Tanzania medali ya Fedha kwa mchezo wa kurusha Mkuki mwaka 1965 kwenye mashindano ya All African Games yaliyofanyika Brazaville Kongo, ni wakati sasa; Kanali Juma ikangaa, BMT na JICA kubadilisha jina la "Ladies First " na...
  5. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia awalipia gharama washiriki kutoka Arusha wanaoiwakilisha Tanzania mashindano ya pikipiki Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa tiketi za ndege kwenda na Kurudi nchini Morocco kwa washindi watatu wa mashindano ya Pikipiki ya Samia Motocross Championship kwaajili ya kushiriki mashindano ya FIM Africa Motocross of African Nations yanayofanyika Oktoba...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania IRAN TENA : Soka la Wanawake Iran yachezesha na Wanaume. Yaondolewa kwenye mashindano.

    Inaonekana suala la Mabwabwa lipo sana Iran. Yaani kikosi cha mpira cha team ya wanawake wamechomekwa wanaume wanne humo ndani. Hawa jamaa inaonekana hawana maadili kabisa. Tukiwaambia watu humu JF wanakuwa wabishi na wana leta imani. Haya ni mambo ya ustaarabu mdogo sana. Yaani wakienda...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania My Top 5 list ya Movies za Mashindano ya Magari!

    1. Ford v Ferrari (2019) 2. The Fast and the Furious (2001) 3. Rush (2013) 4. Days of Thunder (1990) 5. Cars (animation) (2006)
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Jifunze kwa Ufupi Mashindano ya Pikipiki: MotoGP World Championship

    Wakuu, kuna siku tulidiscuss kuhusu mashindano ya magari ya Formula One. Madereva wa Formula 1, ni "Marubani" wa Jet za ardhini Leo tungejaribu kugusia kidogo kuhusu mashindano ya pikipiki, MotoGP. Utangulizi MotoGP ni mashindano ya pikipiki yanayosimamiwa na kuratibiwa na Fédération...
  9. wasakatonge forever

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya African Football League (AFL) hatihati kutokuwepo msimu huu

    Kama mnayakumbuka yale mashindano ya AFL ,yaliofanyika msimu uliopita apa na yalizinduliwa hapa hapa Tanzania kwa mechi kati ya Simba sc dhidi ya Al ahly sc na mchezo kutamatika kwa sare ya goli 2 kwa 2 .Na bingwa wa mashindano hayo hadi mwisho walikua ni Mamelodi Sundows ya Afrika kusini. Sasa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya Mapishi ya Kitaa Festival Yatikisa Manzese, Washindi Wapatikana

    Tamasha la Kitaa Festival la Kampuni ya Coca-Cola limeanza rasmi Jumamosi hii, likiwatembelea wakazi wa Manzese Bhakresa jijini Dar es Salaam kufurahia utamaduni wa vyakula vya asili vya Watanzania. ‘Bakhresa Kitaa Fest’ iliwaunganisha wapishi, mashabiki wa vyakula mbalimbali, watu maarufu, na...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mashindano KNK CUP 2024 Yahitimishwa, Mabingwa wa Bukombe & Karagwe Kuchuana

    Mashindano ya KNK CUP 2024 yaliyoandaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe .Dkt. Doto Biteko ambapo timu 246 kutoka Kata 17 za Wilaya ya Bukombe imehitishwa kwa kishindo na timu ya Chui FC kutoka Kata ya Butinzya iliibuka kidedea dhidi ya...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ndiyo timu ya Tanzania iliyofanyiwa vurugu na magumashi mara nyingi katika mashindano ya CAF

    Kuna timu inajitapa eti imehusika kuleta uhuru wa Tanzania ila haijawahi kuvuja jasho na kucheza katika mazingira magumu ambayo unaweza hata kuwaza kama baada ya mechi utabaki na uhai wako. Simba ndiyo timu pekee Tanzania ambayo imepitia mazingira hayo mara nyingi kuliko timu yoyote ile...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii kamati ya mashindano ya roho mbaya iliyolejeshwa na eng.Hersi ikiwa na mafia wa enzi za manji nawaona yanga wakiendeleza vilio mwanzo mwisho!

    Kwa wale Wanye kumbukumbu nzuri kwenye Mpira wa Tanzania watakuwa wanawakumbuka awa jamaa vizuri sana; Rodgers gumbo Lucas mashauri Davis mosha Seif Ahmed magari Pelegrinus Rutayuga Hao jamaa walikuwa mafia sana kwenye utawala wa walipokuwa kwenye kamati ya mashindano, yanga ilikuwa aigusiki...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Simba asiyesikia la mkuu huvunjika guu, mjiandae tu kisaikolojia ligi kuu na mashindano ya kimataifa sio lelemama!

    Tumeona Leo vijana wenu Wenye umri mdogo wakicheza mechi ya kirafiki na al hilal ya Sudan, tumeona timu yenu kimbinu na kiufundi ilivyo! Al hilal awa wamepungua ubora wao kwa kiasi kikubwa sana ukilinganisha na al hilal Ile iliyocheza na yanga msimu juzi ikiwa ya moto ikiwa na vijana wakina...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?

    Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran? Au ni vigumu kuihifidhali? Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie. Hichi kitabu kinahifadhika?
  16. T

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya kuhifadhi Quran ni moja ya vielelezo vya jinsi dunia ilivyojaa mfumo wa kibaguzi usiokubalika!

    Mimi ninaamini katika ushindani lakini kuna mambo yanani fanya nione kuna watu kwenye hii dunia mifumo iliyopo imewatenga kabisa. Ninachoelewa mimi suala la imani kwa Mungu ni la moyo wa mtu binafsi. Ni ngumu sana kubainisha mcha Mungu ama laa. Kwa habari ya kuhifadhi kurani jambo kubwa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mashindano ya Kimataifa ya Qur'aan, ahimiza kudumisha Umoja

    https://www.youtube.com/live/y5a0kXD2wkE?si=U16sfXt9DHsLAmxZ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Mashindano Makubwa ya Qur'aan kwa Wanawake Duniani Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es salaam, leo tarehe 31 Agosti, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  18. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kwenye mashindano ya Quran kwa wasichana nimeona kamari ikichezeshwa. Je, Uislamu unaruhusu kamari?

    Niko kwenye runinga tangu asubuhi nafuatilia ndugu zangu waislamu na mashindano ya Quran kwa wasichana na mgeni rasmi ni Rais Samia. Kitu ambacho sijakielewa kuna kamari (maana sina jina mbadala) inachezeshwa na waandaji Bakwata ambapo smartphone, pikipiki, bajaj na magari vinashindaniwa kwa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natamani Siku kuwe na Mashindano ya Makomandoo wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ili tujue nani hasa yuko vizuri kwa Mtiti pale Kikinuka

    Kuna nchi moja nilikuwa Ninajidanganya nikidhania Wao ni bora kwa Kuwaona mara kwa mara kumbe ni Wachumba.
  20. N

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya Olimpiki yameisha?

    Wakuu kwani mashindano ya olimpic yameisha? Kulikuwa na nyuzi tele humu za kuwafagilia watanzania walioenda kwenye mashindano. Mlikua mna mbwembwe wakati mnaenda ila sasa hivi kimyaaa 😂😂 Pia soma: Mwanariadha Alphonce Simbu amaliza nafasi ya 17 Olimpiki Jijini Paris, Ufaransa Hiki kimya chenu...
Back
Top Bottom