The music of Kenya is very diverse, with multiple types of folk music based on the variety over 40 regional languages.Zanzibaran taarab music has also become popular, as has hip hop, reggae music, soul, soukous, zouk, rock and roll, funk and Europop. Additionally, there is a growing western classical music scene and Kenya is home to a number of music colleges and schools.
Haya mashindano yamekuwa mazuri sana. Na nafikiri sekta ya Stand up comedy Tanzania ndiyo imezaliwa. Washiriki karibu wote walikuwa vizuri sana tofauti na wakina Pilipili, Idrisa na Bukuku. Hawa wanajua.
Na hawa washindi waliopatikana ni wanajua hasa. Hata kuna wengine walitolewa lakini bado...
Naam mnamo tarehe 25 mwezi august mwaka 2019 Simba ilitoka 1-1 na UD songo ikapelekea simba kutolewa kwa goli la ugenini ikapelekea Simba kuanza ligi tarehe 28 august kwa kuichapa ppolisi 3-0 ikiwa haimo kimataifa, nakumbuka mwaka huo hakukuwa na shida ya viporo
Kazi iendelee | Soka liendelee,
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka kwa niaba ya CCM na kwaniaba ya Mkt wa CCM Taifa ambae pia Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan.
Wamezitakia heri na baraka timu nne zitakazopeperusha bendera ya Tanzania kwenye...
Wasikie utopolo wanavyosema!! Tumewashtukia caf!! Caf wanaibeba simba! Hatupeleki timu Nigeria!! Kwa nini sisi tucheze mechi 2 wakati simba hawacheza hata mechi moja?? Kwa utopolo hiyo ni hoja yenye nguvu sana!
Baada ya kushuhudia wiki mbili za mashindano ya aina yake katika historia, hatimaye Michezo ya Olimpiki mjini Tokyo nchini Japan imeahirishwa hii leo na kijiti kukabidhiwa kwa Paris, muandaaji wa mashindano hayo mwaka 2024.
Mashindano ya mwaka huu yalikuwa ya tofauti kutokana na maambukizi ya...
Ukitazama Mikataba ya Azam TV kwa mpira wa Tz unaona kabisa mabilioni mengi yanawekeza kwenye mpira wa Simba na Yanga tu...
Wakati zipo nchi hazina uwekezaji huo lakini zinaaandaa michuano ya kimataifa..
Kwanini hatufikirii kuandaa
Africa nations cup?
Au world cup under 20?
Au common wealth...
Kuna mapinduzi makubwa kwenye soka la kileo kama ilivyodhihirika kwenye mashindano ya Euro 2020 mwaka huu. Timu bora si lazima ishinde na mara nyingi timu bora imekuwa ikizidiwa mbinu na kutupwa nje ya mashindano.
Jana timu bora sana ya Spain ilizidiwa mbinu na Italia na kutupwa nje!! Hali...
CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League
Timu zilizotajwa
🇲🇦Wydad, Raja, Berkane
🇪🇬Al Ahly, Zamalek, Pyramids
🇿🇦Mamelodi Sundowns, Orlando Pirates, Kaizer Chiefs
🇨🇩TP Mazembe, Vita Club
🇸🇩Al Hilal, Merrikh
🇹🇿Simba
🇬🇳 Horoya...
Hivi ukiwa na mwanamke ambaye mnaishi kama mnashinda, yaani ukiwasha tv anawasha redio. Hataki kukufulia, hataki kuosha vyombo, kisa kwao ni karibu mkinuniana kidogo anaenda kwao.
Akisikia unaongea na simu na yeye anapiga na kuongea kwa sauti kuliko wewe, ndani manyimbo anayopiga ni ya majungu...
Mashindano makubwa ya Draft Tanzania yanatarajiwa kufanyika Tar 7 July, 2021
Mshindi wa kwanza anatarajiwa kuondoka na kitita cha shilingi 700,000/-.
Yamepangwa kufanyikia Kinondoni Manyanya.
Mafundi wote unaowajua wanatarajiwa kuwepo.
Baadhi ya mafundi wanaotarajiwa kuwepo ni:
Ronaldo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.