mashindano

The music of Kenya is very diverse, with multiple types of folk music based on the variety over 40 regional languages.Zanzibaran taarab music has also become popular, as has hip hop, reggae music, soul, soukous, zouk, rock and roll, funk and Europop. Additionally, there is a growing western classical music scene and Kenya is home to a number of music colleges and schools.

View More On Wikipedia.org
  1. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Israel inashiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imepigwa stop ?

    Kwa nini taifa la Israel na wanamichezo kutoka Israel wanaruhusiwa kushiriki mashindano ya kimataifa wakati Russia imezuiliwa ? Mfano: tukianza na mpira wa miguu, shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya na dunia limeiruhusu Israel kushiriki mashindano yao wakati kwa Russia imewekewa kizuizi.
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Tokyo, Japan: Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu ya kwanza nchini kwa kushinda mbio za Dunia za Marathoni

    Mtanzania Alphonce Felix Simbu ameshika nafasi ya kwanza na kushinda Medali ya Dhahabu katika mbio za Marathoni Kilometa 42.195 upande wa Wanaume katika mashindano ya Dunia ya World Athletics Championships 2025 akimshinda Mjerumani Amanal Petros. Simbu ametumia Saa 2:09:48 akipishana na Petros...
  3. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya wazi ya Washika Dini na Wachawi. Mshindi kundoka na laki 5

    Shalom shalom Kama unajijua na kujinasibu wewe urogeki umeshika sana dini unakaribishwa kiingilio ni bure kabisa uwe Muislamu au Mkristo dhehebu lolote cheo au hadhi yeyote njoo kwenye shindano hili. Pia kama wewe unajijua mchawi konki na unaweza ongeza nguvu katika kikosi cha wachawi ambao...
  4. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Kwanini Misri(Egypt) hawashiriki mashindano ya CHAN?

    Mashindano ya Chan ambayo ni mashindano yanayohusisha wachezaji wnaocheza ligi za ndani kwa nchi za Africa Kwa nchi za Africa Misri ndio nchi yenye ligi yenye ubora kwa miaka mingi Lakini cha ajabu hawashiriki mashindano haya, ambayo wangefanya vizuri sana kama wangeshiriki kutokana na ubora...
  5. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Eti yule askari aliyemsukuma Lissu pale kizimbani alishayaaga mashindano

    Kama ni kweli hii inapaswa kuwa alarm kwa kila anayejiingiza kwenye hii kesi ya mchongo hasa wale mawakili na wanaowatuma
  6. Ileje

    JamiiForums Tanzania Yanga ifungiwe na FIFA kushiriki mashindano yo yote ya kimataifa kwa kuchangia CCM!

    Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini nimechukizwa sana kwa club hii kujihusisha na mambo ya siasa! Kwamba kwa kuwa Yanga ilishiriki katika kupigania Uhuru wa Tanganyika siyo sababu ya kujihusisha na mambo ya siasa! Eng. Herse anatumia Yanga kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa, kwa hiyo natoa wito...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Tanzania haijawa Tayari kwa mashindano makubwa ya kimataifa yanayoihusu timu ya Taifa

    Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa mashindano haya ya CHAN hasa ushiriki wa mashabiki uwanjani, ukweli ni kuwa Tanzania bado sana. Sio tu mashabiki, hata viongozi wenyewe ni kama vile wanajilazimisha tu kujihusisha na CHAN ila wako serious sana na siasa. Inawezekana vipi timu ya Taifa inacheza...
  8. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu kujenga Arena ambayo mashindano ya VITASA yatakuwa yanafanyika na sio kufanyika vichochoroni kama ilivyo sasa

    Venue zinazotumiwa na VITASA ni mbovu mno kuna mda unajiuliza hii itaendelea mpaka lini Fahamu watanzania wengi sana wanapenda haya mashindano ya ngumi ila venue zake ni mbovu sana ziko local, na hazivutii kabisa watu wanapigania vichochoroni KATIKA MAMBO NTAKAYOYAFANYA NI KUHAKIKISHA...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Yas yadhamini mashindano ya Ndondo Cup 2025

    KAMPUNI ya Mawasiliano hapa nchini, Yas imetangaza rasmi kudhamini Mashindano ya Ndondo Cup kwa mwaka huu wa 2025. Yas na Mixx, inajivunia kuwa sehemu ya mashindano hayo ya kihistoria yanayoshirikisha timu za vijana kutoka maeneo mbalimbali hapa nchini. Akizungumza mara baada kutangaza rasmi...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Harambee stars yajiondoa kwenye mashindano ya CECAFA

    Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) linapenda kuujulisha umma kuwa timu ya taifa ya soka ya Kenya, Harambee Stars, imejiondoa rasmi kwenye mashindano ya CECAFA Four Nations yanayofanyika nchini Tanzania. Uamuzi huu umetokana na mapendekezo na ushauri kutoka kwa benchi la ufundi la timu...
  11. papag

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya Unywaji

    In 1987 the Kikuyu and the Luo communities decided to have a drinking competition. A week before the competition, Kikuyus sent Mwaniki wa Kamau to Kisumu to confirm if the competition will be held. On arrival, the people of Kisumu brought 20Ltrs of their strongest brewed beer (Ko'ngo)...
  12. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Bidhaa zote kwenye mashindano ya sabasaba na nanenae lazima zitakuwa made in Tanzania na sio vinginevyo

    Itakuwa ni lazima kwa bidhaa zote kwenye mashindano ya sabasaba kuwa made in Tanzania, sio sawa hata kidogo kuchukua bidhaa China au India na kwenda kudisplay kwenye maonyesho ya sabasaba hilo sio Lengo Na pia kwenye maonyesho ya nane iwe ni tractor lazima liwe made in Tanzania na sio assembly...
  13. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Mashindano makubwa ya drafti kufanyika Dodoma. Hii ndio listi

    Siku ya Tarehe 25/6/2025 kutakua na ligi kubwa itakayofanyika DODOMA ligi hiyo itawakutanisha mafundi wa drafti kutoka sehemu tofauti tofauti hapa nchini ZAWADI KWA WASHINDI 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 Mshindi wa kwanza Tsh laki nne Mshindi wa pili Tsh Laki mbili na nusu Mshindi wa...
  14. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa

    Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita --- TAARIFA KWA...
  15. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Je,ni UDOM pekee katika mashindano ya ICT kwa vyuo vya Tanzania?

    Kuna jambo ambalo bado najiuliza kuhusu vyuo vyetu hapa Tanzania linapokuja suala la mashindano ya ICT. Maana naona vingi vipo kimya sana — ukiachana na UDOM (University of Dodoma). Jana nilikuwa napiga stori na rafiki yangu wa SUA (Sokoine University of Agriculture) kuhusu masuala ya IT. Ni...
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba kufungiwa kushiriki mashindano ya CAF miaka miwili

    Kutokana na makosa ya kujirudia ambayo viongozi wa Simba na Mashabiki wamekuwa wakifanya. CAF itawapa Simba adhabu hiyo baada ya maonyo na faini ambazo wamekuwa walipewa Adhabu nyingine, Simba atatakiwa kulipa faini ya dollar million 1 Mashabiki wa Simba walifanya vitendo visivyo vya kiungwana...
  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CAF wasimiliki timu zinazoshiriki mashindano wanayosimamia

    Umekuwepo uhuni kwenye mashindano ya CAF, pale ambapo ambapo zinacheza timu za viongozi wa CAF Rais wa CAF Patrice Motsseppe ndo mmiliki wa Mamelod Sundown na Vice president wa CAF Fouz Lekjaa ndo mmiliki wa RS Berkane Wote tunaona upendeleo anaopewa Mamelod Sundown kwenye haya mashindano...
  18. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Aina za Watu Wanaoweza Kukuchosha Ukiwa nao kwa Muda Mrefu: Mafunzo ya Maisha Katika Mazingira ya Kitanzania

    Katika maisha ya kila siku, tunalazimika kuishi, kufanya kazi, au kushirikiana na watu wa kila aina. Wapo wanaotutia moyo, wanaotufanya tucheke hata tukihisi kuzidiwa na mzigo wa maisha; lakini pia wapo wanaotuchosha kwa maneno yao, tabia zao, au hata hulka zao ambazo, kwa dakika chache tu...
  19. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Sperm Race: Mashindano yafanyika kwa mara ya kwanza Los Angeles

    Oyaaah, wazee wa kazi. Tutunze afya zetu aisee!!! Naiona fursa ya kupiga pesa ileeeeeee inasogea. Huko USA wazee wa kazi wamekuja na mashindano ya riadha ya manii, sampuli za WAZUNGU zinachukuliwa kutoka kwa washindani, zinawekwa kwenye kifaa cha microscope vijusi vilivyomo kwenye WAZUNGU...
  20. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kileo hutaka mashindano na si mapatano

    Hii tafakari ni kali sana, na inachambua kwa undani hali ya mahusiano ya kisasa, hasa jinsi wanawake wa leo wanavyotambulika au kujitambulisha kwa misingi ya nguvu na kujitegemea, lakini pia changamoto zinazotokana na hilo. Tafsiri na tafakari ya Kiswahili inaweza kueleza ujumbe huu kwa namna...
Back
Top Bottom